Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Three suitors one husband!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali lako kwa upande wanguVipi unaweza pokea hela kutoka kwa mwanamke kwa ajili ya mahari yake?
Oh sawaNshaelewa umeuliza kwa mantiki ipi ila japo kwenye hili siko upande wowote na sijaonyesha hilo maana kuna tamaduni mfano wahindi mwanamke anatoa mahari,au familia nyengine za ki Africa hazikubali mahari kupokea wala kutoa zikiamini kufanya hvyo nikumuuza mtoto zinatoa baraka tu kikubwa maridhiano ila sidhani pia kuna ubaya mwanamke kujilipia kama familia inalazimisha na jamaa hana uwezo akiamua kumsaidia ili afanikishe haraka hilo jambo la baraka ukute mume mwenyewe wa kisulisuli ni sawa tuSwali lako kwa upande wangu
Mimi siwezi kukubali mwanamke ajilipie mahari nitatoa mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23] walishapoteaga hao watu kipindi kileeeeeee cha WW2Anaeweza anyooshe mkono juuu
aseee nakufata leo leo...
Ndoa wiki ijayo..
Oh sawa
Mkipenda wanawake mnaweuka sana mnajisahauSiwezi kufanya huo upuuzi ata siku moja...hiyo tu tuko kwenye uchumba afu aniambie tufungue mradi fulani kakope nami nikope siwezi...sembuse kumlipia mahari? Looooh [emoji50][emoji50]
Mwanamke mwenye akili atanegotiate na familia yake baada ya wewe kusema una kiasi gani! Na ukiona mwanamke hachangii mahari, huyo hakufai Achana naye unless hana hela na kama hana hela anaburgain na wazazi wake wapunguze. Mie binti yangu anaolewa kwa mahari ya elfu kumi tuMmhhh!! Hapana kwa kweli kujioa, nakumbuka shemeji angu alioa dada angu kwa 50000 kwa sababu hali yake kiuchumi haikua nzuri, hivyo dada aliwaeleza ukweli wazazi na wazazi wakapanga mahari kulingana na hali halisi ya muoaji
Hahahaaaa elfu kumi tuMwanamke mwenye akili atanegotiate na familia yake baada ya wewe kusema una kiasi gani! Na ukiona mwanamke hachangii mahari, huyo hakufai Achana naye unless hana hela na kama hana hela anaburgain na wazazi wake wapunguze. Mie binti yangu anaolewa kwa mahari ya elfu kumi tu
Yah, kwani namuuza? Mie nilitoa 7,000 tuHahahaaaa elfu kumi tu
Duh haya mkuuYah, kwani namuuza? Mie nilitoa 7,000 tu
Heee sio kwenye pesa nyingi kiasi iko...ata mahali sitaki aniambie apunguziwe...iyo iyo aliyotajiwa agangamale alipeBaharia bado hajakuteka vizuri maana nyie mkitekwa kwisha kazi
"Utaskia beby nimemuibia baba pesa tuchange tufanye mradi au katengeneze ile pikipiki yako nakuonea huruma unavyotembea kwa miguu makalio yote yameisha ""Mkipenda wanawake mnaweuka sana mnajisahau
Ni utapeli kutoza mahari kubwa. After all siku hizi wanaofaidi ni wazazi na familia ya mwanamke. Utakuta ndugu wa mke wamejazana na wa mume wakija wanapigwa vita sana! Then Kwanini kutoa mahari kubwa?Duh haya mkuu
AkhsanteHallelujah bwana awe nawe
Karibu tena mtumishi
Kama walikuwepo Basi walikuwa wanawake wapumbavu kuwahi kutokea.[emoji23][emoji23][emoji23] walishapoteaga hao watu kipindi kileeeeeee cha WW2
Bora umsaidie mwanaume matumizi mengine yoyote pale anapokwama na Kuna ulazima wa kumsaidia,kuliko ujinga wa kumpa hela ya mahari.Iliwahi chambuliwa kibiblia kuwa mwanamke kujitolea mahari wewe mwenyewe siyo sahihi hata kidogo !
Tena ndoa za hivyo wengi wameishia majuto !
Mwanaume anakuwa tegemezi hakununulii hata chup.
Mwanamke hata kama unafanyakazi nzuri unaingiza hela nyingi lakini hela ya mume nayo inautamu wake!