Je, mwanamke uko tayari kumpa pesa mchumba wako akakulipie mahari kwenu?

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Habari ndungu wana JF ,

Karibuni tujadili mada hiyo hapo juu
Ikiwa una mchumba ambae mnapendana kwa dhati lakini lakini hayupo vizuri kiuchumi na amedhamiria kukuoa.

Kutokana na tatizo la kukosa pesa hana uwezo wa kulipa mahari kwenu ili muoane.

Na kwa upande wako wewe kiuchumi upo vizur.i Je, upo tayari kumpa pesa ili akatoe kwenu uolewe.

Pia mpo tayari kuchukua pesa hiyo na kwenda kulipa ukweni ili muoe?
=========
Michango:









 
Hii kabisa ,siwezi fanya hii!

Ila kiuhalisia mpaka naandika hapa kuna wadada kama sita ninaowafahamu wamewapa wachumba zao mahari wakalipe na wakatunukiwa ndoa zisizokuwa na maisha marefu.

Mfano.1

Hii moja baada ya mahari kulipwa ,mwanaume akamuoa mdada, kilichotokea mdada akawa ndo baba mwenye nyumba anahudumia familia kama hana akili nzuri ,mwanaume hataki kufanya kazi yoyote, zaidi sana mwanaume anataka apewe hadi hela za matumizi na kumtia demu kama kichaaa. Ndoa imekufa

Mfano. 2

Mdada ana mnyanyasa mwanaume kichzi...jamaa hapumui hata kidogo halafu jamaa anapenda sex hatari kwahyo anatia wadada wa kazi maana mkewe hampi kabisa uchi anasema jamaa mvivu hawez ndo maana hata mahari alimpa akamlipie.


Huu usenge, mwanamke usimpe mwanaume wako mahari akakulipie ni umaku. Kosa la jinai na umburulaaa.
 
kama mahari tu hawezi kulipa vipi kuhusu kuudumia familia? nakubali kweli kua kuna mapito wanaume tunapitia kwenye hali mbaya sana ya kiuchumi, kwanini uoe wakati uo? mimi binafsi siwezi pokea pesa ya mwanamke nikamlipie nayo mahari, labda tu nitachelewa kulipa uku nikiweka mambo sawa.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 ngoja nimalize kucheka ntarudi
 
Hayo mambo mbona yapo hadi Magu anafaham ilo , Talking with experience Binam yangu flan Alimpa mahari bwana (Serengeti boy) wake amlipie mahari akajifanya anavihela after 6months Kazi alikuwa nayo kaachishwa Nyumbani alafu Serengeti boy alishazoeya Vya Bure Kazi hana ni mvivuu balaa...
As we speack asaivii ndoa inataka kuvunjika ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…