Je, mwanamke uko tayari kumpa pesa mchumba wako akakulipie mahari kwenu?

Je, mwanamke uko tayari kumpa pesa mchumba wako akakulipie mahari kwenu?

Ndiyo kutowapa kabisa, km kweli amenipenda na anahtj niwe mkewe naimani atatafuta tu mpk atoe, sio kiasi kikubwa ata elfu hamsini ni mahari tu
Kuna wanaokosa hata 50 elfu kweli na wanataka kuoa ?
 
Mmhhh!! Hapana kwa kweli kujioa, nakumbuka shemeji angu alioa dada angu kwa 50000 kwa sababu hali yake kiuchumi haikua nzuri, hivyo dada aliwaeleza ukweli wazazi na wazazi wakapanga mahari kulingana na hali halisi ya muoaji
Wazazi hawakuogopa Dada yako ataishije huko mkuu?
 
Mie sina kazi ya kuelweka asee future wife ana mjengo huo fulu mkwanja na ndinga juu alileta hzo akanunue pete nimveshe nimegomaaaa na home kwake nimemwambia sikai nikioa tunaenda kupanga
 
Back
Top Bottom