Je, mwanamke uko tayari kumpa pesa mchumba wako akakulipie mahari kwenu?

Je, mwanamke uko tayari kumpa pesa mchumba wako akakulipie mahari kwenu?

wiser1, Mahaba ni kitu ingine mazee!
SAA hiyo mahaba iko fully mdada anaweza Fanya lolote kwa mwanaume wake.
Wapo wadada wengi tu wamebeba hilo jukumu la kuwapa wanaume zao mkwanja Wa mahari na wakagharamia shughuli nzima ya harusi na wanalea mume na watoto walowakuta nao maisha yanaendelea.
Kuna rafiki angu mmoja kafanyiwa hivyo na mwanamke wake Mimi huwa namtania sasa ameoa au ameolewa( anakasirika then anacheka tu ananiita kichaa ila meseji namfikishia)
 
Wapo wanawake wengiiiiiiiiiiiiiiiii wanafanya ivyo wanamkopesha mpenzi pesa lipe mahari lkn cha moto anakuja kukiona akiwa ndani ndo anajua kuwa sio sawa kufanya alichokifanya
 
Hii ilitokea kwa rafiki yetu...alichanga pesa...michango kibao na akauza vitu ili akalipe mahari...!!wazazi walimpa zile hela mahari yote mwanamke akaanze maisha....na mwanamke akamrudishia mshkaj...!!ilikuwa mwaka 2014...!!cjaickia teena tangu awam ya 5 iingie tena
 
Mmmmh uko ni kujidanganya tu, kutoa kama mkopo atakayelipa basi ni muelewa sana na anajua nafasi yake ila wengi wao hawalipi kabisa, ndo washasahau hiyo
Wapo tayari kama upo tayari kupewa kama mkopo
 
Mlivyo wagumu kutoa hela zenu sijui wenzetu huwa mnazitoa wapi ? Mwanauke akikuomba 5,000 tu utajiuliza maswali 200. Huko kwenye mahari ni mbali sana.
Mwanaume anaombaje mwanamke pesa??????????? Kuwa serious bro
 
Mmmmh uko ni kujidanganya tu, kutoa kama mkopo atakayelipa basi ni muelewa sana na anajua nafasi yake ila wengi wao hawalipi kabisa, ndo washasahau hiyo
Nashukuru mimi nipo kwenye kundi la waelewa
 
Back
Top Bottom