Je mwenendo wa Chuo cha SUA kuipeleka nchi kwenye Vijishamba vya mjini badala ya kukuza mashamba ya vijijini upo sawa?

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Chuo cha Kilimo SUA kiliwekwa makusudi ili kuleta tija katika kilimo chenye kutupatia chakula na mazao ya biashara.
Kwa uchunguzi wangu naona kama vile kinataka kutupoteza na sasa kinatoa wahitimu na ujuzi wa kilimo cha nchi zisizokuwa na utajiri wa ardhi.
Wengi wa wahitimu wa SUA wanakuwa na wajuzi wa kilimo cha mjini ...yaani graduate anatoka na ujuzi wa kulima kwenye magunia na pvc pipes badala ya uwezo wa kufungua pori huko kisiju na kuongeza uzalishaji.
SUA inatia graduates wa ufugaji wa samaki kwenye mabwawa ya plastic badala ya kutumia water bodies tulizonazo kama vile bahari ya hindi,zuwa Tanganyika,Nyasa na viktoria.

Chuo hiki kinapaswa kuja na majibu ya kutumia kwa urahisi kabisa bila kutumia rasilimali kutoka nje ,madawa yanayiharibu mazingira n.k

SUA Inapaswa kutufanya watanzania tusile broiler badala yaje tule na kuuza kuku wa kienyeji.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
 
Uongo huo!
 
Hakuna mada yenye kichwa wala miguu hapo! Kwa akili yako unaona hicho kilimo wanapoteza muda na unafikri ndicho peke yake wanachofundishwa! Utakuwa huijui SUA
Mada hii ni kubwa kwako nenda Insta
 
Hakuna mada yenye kichwa wala miguu hapo! Kwa akili yako unaona hicho kilimo wanapoteza muda na unafikri ndicho peke yake wanachofundishwa! Utakuwa huijui SUA
kama wanafundishwa kwa nini hatuoni wahitimu wa SUA wanaoendeleza mashamba makubwa?
 
Sasa wewe unaishi mjini utayaona wapi? Ndiyo maana unaishia kuona vertical gardens na unafkri ndicho wanachofundishwa peke yake!
 
Naishi mjini na vijijini ...naona proliferation ya gardens badala ya mashamba makubwa
 
Chuo cha Kilimo SUA kiliwekwa makusudi ili kuleta tija katika kilimo chenye kutupatia chakula na mazao ya biashara.
Kwa uchunguzi wangu naona kama vile kinataka kutupoteza na sasa kinatoa wahitimu na ujuzi wa kilimo cha nchi zisizokuwa na utajiri wa ardhi.
Wengi wa wahitimu wa SUA wanakuwa na wajuzi wa kilimo cha mjini ...yaani graduate anatoka na ujuzi wa kulima kwenye magunia na pvc pipes badala ya uwezo wa kufungua pori huko kisiju na kuongeza uzalishaji.
SUA inatia graduates wa ufugaji wa samaki kwenye mabwawa ya plastic badala ya kutumia water bodies tulizonazo kama vile bahari ya hindi,zuwa Tanganyika,Nyasa na viktoria.

Chuo hiki kinapaswa kuja na majibu ya kutumia kwa urahisi kabisa bila kutumia rasilimali kutoka nje ,madawa yanayiharibu mazingira n.k

SUA Inapaswa kutufanya watanzania tusile broiler badala yaje tule na kuuza kuku wa kienyeji.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
 
Attachments

  • IMG-20260827-WA0012.jpg
    IMG-20260827-WA0012.jpg
    22.3 KB · Views: 16
  • IMG-20260824-WA0073.jpg
    IMG-20260824-WA0073.jpg
    38.2 KB · Views: 11
Ni upuuzi kuanzisha vizimba baharini badla ya kupromote deep sea fishing
 
Halafu wanaokuja kupiga hela kupitia kilimo na ufugaji ni akina Mr Kuku,Mr Manguruwe etc😁
 
Chuo sio tatizo, inategemea na dira inasemaje; nadhani ni wizara ya kilimo, mipango na zinginezo kutenga maeneo makubwa ya kilimo na ufugaji kila kanda, na chuo kikapewa usimamizi wa hayo maeneo.

Nadhani, matokeo yanaweza kuonekana.​
 
Degree Programs nyingi zilixopo SUA ni za kufutwa,na zimepitwa na soko la ajira
Mfano: Bachelor of Science in Family and Consumer Studies
Fani sio mbaya, kwa mazingira tuliopo ni vizuri wanaosoma hiyo fani wapate ujuzi wakajiajiri kwenye kilimo na ufugaji biashara.
 
Back
Top Bottom