fadhili muhala
Senior Member
- Aug 13, 2012
- 137
- 319
Nilimuuliza prof mmoja wa Aquaculter, mbona huna hata bwawa lakufugia sato na hela unazo, akajibu hawez kuwekeza ktk biashara isiokua
Elimu imemfanya awe tegemezi wa mshahara na sio kutengeneza ajiraNilimuuliza prof mmoja wa Aquaculter, mbona huna hata bwawa lakufugia sato na hela unazo, akajibu hawez kuwekeza ktk biashara isiokua
Mchango wa SUA kwenye uchumi wa nchi yetu ni mdogo sana. Kilimo ni kama ajira isiyokuwepo.Chuo cha Kilimo SUA kiliwekwa makusudi ili kuleta tija katika kilimo chenye kutupatia chakula na mazao ya biashara.
Kwa uchunguzi wangu naona kama vile kinataka kutupoteza na sasa kinatoa wahitimu na ujuzi wa kilimo cha nchi zisizokuwa na utajiri wa ardhi.
Wengi wa wahitimu wa SUA wanakuwa na wajuzi wa kilimo cha mjini ...yaani graduate anatoka na ujuzi wa kulima kwenye magunia na pvc pipes badala ya uwezo wa kufungua pori huko kisiju na kuongeza uzalishaji.
SUA inatia graduates wa ufugaji wa samaki kwenye mabwawa ya plastic badala ya kutumia water bodies tulizonazo kama vile bahari ya hindi,zuwa Tanganyika,Nyasa na viktoria.
Chuo hiki kinapaswa kuja na majibu ya kutumia kwa urahisi kabisa bila kutumia rasilimali kutoka nje ,madawa yanayiharibu mazingira n.k
SUA Inapaswa kutufanya watanzania tusile broiler badala yaje tule na kuuza kuku wa kienyeji.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!