Uongo huo!Chuo cha Kilimo SUA kiliwekwa makusudi ili kuleta tija katika kilimo chenye kutupatia chakula na mazao ya biashara.
Kwa uchunguzi wangu naona kama vile kinataka kutupoteza na sasa kinatoa wahitimu na ujuzi wa kilimo cha nchi zisizokuwa na utajiri wa ardhi.
Wengi wa wahitimu wa SUA wanakuwa na wajuzi wa kilimo cha mjini ...yaani graduate anatoka na ujuzi wa kulima kwenye magunia na pvc pipes badala ya uwezo wa kufungua pori huko kisiju na kuongeza uzalishaji.
SUA inatia graduates wa ufugaji wa samaki kwenye mabwawa ya plastic badala ya kutumia water bodies tulizonazo kama vile bahari ya hindi,zuwa Tanganyika,Nyasa na viktoria.
Chuo hiki kinapaswa kuja na majibu ya kutumia kwa urahisi kabisa bila kutumia rasilimali kutoka nje ,madawa yanayiharibu mazingira n.k
SUA Inapaswa kutufanya watanzania tusile broiler badala yaje tule na kuuza kuku wa kienyeji.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Mada hii ni kubwa kwako nenda Insta
kama wanafundishwa kwa nini hatuoni wahitimu wa SUA wanaoendeleza mashamba makubwa?Hakuna mada yenye kichwa wala miguu hapo! Kwa akili yako unaona hicho kilimo wanapoteza muda na unafikri ndicho peke yake wanachofundishwa! Utakuwa huijui SUA
Sasa wewe unaishi mjini utayaona wapi? Ndiyo maana unaishia kuona vertical gardens na unafkri ndicho wanachofundishwa peke yake!kama wanafundishwa kwa nini hatuoni wahitimu wa SUA wanaoendeleza mashamba makubwa?
Wako wap mana hatuoni mrejesho na msimu wa kuvuna umepitB.B.T
ChoiceVariable Dogo Mytake Kilimo mpeni Msomali.
Chuo cha Kilimo SUA kiliwekwa makusudi ili kuleta tija katika kilimo chenye kutupatia chakula na mazao ya biashara.
Kwa uchunguzi wangu naona kama vile kinataka kutupoteza na sasa kinatoa wahitimu na ujuzi wa kilimo cha nchi zisizokuwa na utajiri wa ardhi.
Wengi wa wahitimu wa SUA wanakuwa na wajuzi wa kilimo cha mjini ...yaani graduate anatoka na ujuzi wa kulima kwenye magunia na pvc pipes badala ya uwezo wa kufungua pori huko kisiju na kuongeza uzalishaji.
SUA inatia graduates wa ufugaji wa samaki kwenye mabwawa ya plastic badala ya kutumia water bodies tulizonazo kama vile bahari ya hindi,zuwa Tanganyika,Nyasa na viktoria.
Chuo hiki kinapaswa kuja na majibu ya kutumia kwa urahisi kabisa bila kutumia rasilimali kutoka nje ,madawa yanayiharibu mazingira n.k
SUA Inapaswa kutufanya watanzania tusile broiler badala yaje tule na kuuza kuku wa kienyeji.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Fani sio mbaya, kwa mazingira tuliopo ni vizuri wanaosoma hiyo fani wapate ujuzi wakajiajiri kwenye kilimo na ufugaji biashara.Degree Programs nyingi zilixopo SUA ni za kufutwa,na zimepitwa na soko la ajira
Mfano: Bachelor of Science in Family and Consumer Studies
Hawakua wote wa sua lakini nikama watu walijipigia shengeli wakaend kuanzish ishu zingne,ni swali muhimu sana...je ni wahitimu wa SUA?
Kilimo cha kisasa kinahitaj pesa sana, ndo mana wengi wanaishia kuja kutengeneza vyungu vya kupandia maua kandoFani sio mbaya, kwa mazingira tuliopo ni vizuri wanaosoma hiyo fani wapate ujuzi wakajiajiri kwenye kilimo na ufugaji biashara.
Uko sahihi, lakini kama wataungana na kusajili umoja wao, kuna kitu wanaweza kufanya. maisha ya sasa yanahitaji ujanja na ushapu mwingiKilimo cha kisasa kinahitaj pesa sana, ndo mana wengi wanaishia kuja kutengeneza vyungu vya kupandia maua kando