Je mwenendo wa Chuo cha SUA kuipeleka nchi kwenye Vijishamba vya mjini badala ya kukuza mashamba ya vijijini upo sawa?

Mchango wa SUA kwenye uchumi wa nchi yetu ni mdogo sana. Kilimo ni kama ajira isiyokuwepo.

Sababu ni nini? And yet kuna watu wanatamba ni maprofessor
 
Sidhani kama wamepewa zana za kilimo za kisasa pamoja na mashamba makubwa huko maporini ili wafanye hivyo ili wawe mfano kwa wakulima wengi na si vile vitalu wanavyolima kando kando ya bara bara kama ni wao inatakiwa wapelekwe mahakamani aisee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…