Waki kaa pamoja na mkoloni mweusi [ CCM ], ki vipi wataweza kumuondosha ?Sasa mkuu unataka waingie barabarani.
Nyerere asingekaa na wakoloni unadhan tungepata uhuru mwaka gani.
Mkuu hili ni swali fikirishi kweli, na ni watu wachache sana wenye uwezo wa kukuelewa..Habari jf ,namekaa nimefikiria sana kinachoendelea Pale CHADEMA .
Kwa hali ilivyo ya maisha ya watanzania ilivyo ngumu wengine wakitegemea ajira za laana kama zilivyopewa jina na Lema na Tundu lissu .
Hivi mbowe anatoa wapi nguvu za kuwasahau watanzania na kukaa pamoja na CCM ambao nenda rudi tunapigana watoke madarakani ?
Je Mwenyekiti yuko huru kweli ? Au ni mfungwa anae tembea na kutekeleza maagizo aliyopewa ?
We have to negotiate alot..a lot...Waki kaa pamoja na mkoloni mweusi [ CCM ], ki vipi wataweza kumuondosha ?
Habari JF,
Namekaa nimefikiria sana kinachoendelea Pale CHADEMA .
Kwa hali ilivyo ya maisha ya Watanzania ilivyo ngumu wengine wakitegemea ajira za laana kama zilivyopewa jina na Lema na Tundu Lissu.
Hivi Mbowe anatoa wapi nguvu za kuwasahau watanzania na kukaa pamoja na CCM ambao nenda rudi tunapigana watoke madarakani?
Je, Mwenyekiti yuko huru kweli? Au ni mfungwa anayetembea na kutekeleza maagizo aliyopewa?
Mkuu usimhukumu mtu kihostoria.. mbona kuna viongozi wasanii, wanamitindo au video vixen, madreva bodaboda. Pia Mbona kuna wasomi waliopita shule za dini majambazi..Historia ndio utoa taharifa kamili ya mtu alivyo, Mbowe ni muhuni tu kwa taharifa yako fupi alikuwaga DJ pale bilcans club, fatilia historia za watu aina ya Mbowe utapata jibu.
Nakuambia hakuna mtu wa kutegemewa upinzani na Tanzania nzima kama Mbowe. Mkimpoteza mtasubiri miaka 20 ijayo.Habari JF,
Namekaa nimefikiria sana kinachoendelea Pale CHADEMA .
Kwa hali ilivyo ya maisha ya Watanzania ilivyo ngumu wengine wakitegemea ajira za laana kama zilivyopewa jina na Lema na Tundu Lissu.
Hivi Mbowe anatoa wapi nguvu za kuwasahau watanzania na kukaa pamoja na CCM ambao nenda rudi tunapigana watoke madarakani?
Je, Mwenyekiti yuko huru kweli? Au ni mfungwa anayetembea na kutekeleza maagizo aliyopewa?
Umewahi kuwaza kuhusu usalama wa maslahi ya CCM ?We have to negotiate alot..a lot...
Time huru ya uchaguzi....
Fair competition ground.
Binadamu haishi kwa mkate tu.Wakati Yuko rumande mtanzania gani aliandamana? Muacheni na yeye ale
Maslah ni kwa nchi hata kama wahafidhina hawatakiUmewahi kuwaza kuhusu usalama wa maslahi ya CCM ?
Unataka nitaje mpka na majambazi tena majambazi wa magari huko kwenu?,acha tumwongelee tu mzee HaikaelMkuu usimhukumu mtu kihostoria.. mbona kuna viongozi wasanii, wanamitindo au video vixen, madreva bodaboda. Pia Mbona kuna wasomi waliopita shule za dini majambazi..
Mabarabara yamejaa nchi nzima kaitishe maandamano uyaongoze, Mbowe kaamua kufanya mazungumzoBinadamu haishi kwa mkate tu.
Tunahitaji kuwaza zaidi ya mkate wa kila siku
Umasikini wa fikra na mali unatufanyabtuwaze kula, kulamba asali na vinavyofanana na hivyo.
Ni muhimu tujitoe mhanga kwa ajili ya vizazi vijavyo hata kama hatuna hakika ya mkate wa siku zote za maisha yetu.
Vizazi vijavyo ni muendelezo wa maisha yetu na hivyo tusifikirie kibinafsi kwa kuishia kwenye uhai wa nafsi zetu tu.
Maendeleo endelevu kwa jamii na taifa hadi dunia na ulimwengu kwa ujumla yatakuwepo tu baada ya fikra za kibinafsi kuondoka.
mlipoambiwa muandamane kipindi cha uporwaji wa kura mlisema aandamane na watoto wake so na nyinyi pambaneni na familia zenu.Habari JF,