Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Ingekuwa ni mama yako ulitaka afanyaje?Habari JF,
Namekaa nimefikiria sana kinachoendelea Pale CHADEMA .
Kwa hali ilivyo ya maisha ya Watanzania ilivyo ngumu wengine wakitegemea ajira za laana kama zilivyopewa jina na Lema na Tundu Lissu.
Hivi Mbowe anatoa wapi nguvu za kuwasahau watanzania na kukaa pamoja na CCM ambao nenda rudi tunapigana watoke madarakani?
Je, Mwenyekiti yuko huru kweli? Au ni mfungwa anayetembea na kutekeleza maagizo aliyopewa?