Je, mwenyekiti Mbowe ni mtu huru?

Je, mwenyekiti Mbowe ni mtu huru?

Sasa mkuu unataka waingie barabarani.

Nyerere asingekaa na wakoloni unadhan tungepata uhuru mwaka gani.
Mkuu Tanzania haikuwa koloni la Uingereza, bali uingereza alikabidhiwa kututawala hadi tuwe tayari kujitawala. Waingereza hawakuwahi kuwa na uchu wa kuitawala Tanzania, vinginevyo tusingepata uhuru wa maongezi. Huo uhuru tulipewa na UN baada ya Nyerere kwenda kusema tuko tayari, kumbe naye alitaka atutawale hadi afie madarakani. Kwa bahati mbaya aliharibu uchumi katika kiwango kilichomfanya aone aibu hadi kung'atuka.
 
Habari JF,

Namekaa nimefikiria sana kinachoendelea Pale CHADEMA .

Kwa hali ilivyo ya maisha ya Watanzania ilivyo ngumu wengine wakitegemea ajira za laana kama zilivyopewa jina na Lema na Tundu Lissu.

Hivi Mbowe anatoa wapi nguvu za kuwasahau watanzania na kukaa pamoja na CCM ambao nenda rudi tunapigana watoke madarakani?

Je, Mwenyekiti yuko huru kweli? Au ni mfungwa anayetembea na kutekeleza maagizo aliyopewa?

Mbowe alichemsha baada ya kumpokea Lowassa, kwa sasa haamini kuwa hastahili kuendelea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA, ndio maana anajaribu kila njia ili ahakikishe anapata sifa kwa CCM baada ya kupoteza ushawishi kwa wafuasi wa CHADEMA.
 
Mkuu swali fikirishi sana hilo... Niwachache sana wenye uwezo wa kukuelewa...

Mkuu hili ni swali fikirishi kweli, na ni watu wachache sana wenye uwezo wa kukuelewa..
Mbowe ni mtu huru kabisa, hakuna mtu aliyemzuia mbowe...
Muda huo huo, Mbowe ni mfungwa. Ni mfungwa kwa kushindwa kueleza finance za chama zinaenda vipi. Ni mfungwa huru, ni mfungwa mwenye mapenzi na chama na mke mdogo pesa. Kumpinga mtawala ni kama kufanya usaliti, ni kumpinga mfadhili anayekufandhili mfuko na chama..
Mbowe ni mfungwa huru
Ni mfungwa huru kwasababu kesi ilimalizwa kwa mashart ndio maana alipotoka tu lupango kaenda moja kwa moja kuookea maagizo
 
Habari JF,

Namekaa nimefikiria sana kinachoendelea Pale CHADEMA .

Kwa hali ilivyo ya maisha ya Watanzania ilivyo ngumu wengine wakitegemea ajira za laana kama zilivyopewa jina na Lema na Tundu Lissu.

Hivi Mbowe anatoa wapi nguvu za kuwasahau watanzania na kukaa pamoja na CCM ambao nenda rudi tunapigana watoke madarakani?

Je, Mwenyekiti yuko huru kweli? Au ni mfungwa anayetembea na kutekeleza maagizo aliyopewa?
Kama kawasahau wewe si una Mdomo? Kwani Mvowe kazaliwa kuwasemea nyie? Alivyo.kamatwa ulitoka hadhalinu kulaani?
 
Habari JF,

Namekaa nimefikiria sana kinachoendelea Pale CHADEMA .

Kwa hali ilivyo ya maisha ya Watanzania ilivyo ngumu wengine wakitegemea ajira za laana kama zilivyopewa jina na Lema na Tundu Lissu.

Hivi Mbowe anatoa wapi nguvu za kuwasahau watanzania na kukaa pamoja na CCM ambao nenda rudi tunapigana watoke madarakani?

Je, Mwenyekiti yuko huru kweli? Au ni mfungwa anayetembea na kutekeleza maagizo aliyopewa?
Muacheni Mbowe maana hata akisema muingie barabarani mnajificha anabaki anateseka yeye na familia yake, mna ushujaa huku kwenye key board, amejaribu kila njia kuitsha maandamano, kupinga utawala na kususia uchaguzi lakini kila anachofanya mnamkebehi sijui mnataka afanye nini

Hebu kama mnaona ni rahisi nyie watanzania mnaohisi kusalitiwa anzisheni chama chenu muwapiganie watanzania wanyonge
 
Historia ndo utoa taharifa kamili ya mtu alivyo, mbowe ni muhuni tu kwa taharifa yako fupi alikuwaga Dj pale bilcans club,fatilia historia za watu aina ya mbowe utapata jibu.

Kuna mwenye proof kuwa huyu bwana alikuwa dj?
 
Mkuu Tanzania haikuwa koloni la Uingereza, bali uingereza alikabidhiwa kututawala hadi tuwe tayari kujitawala. Waingereza hawakuwahi kuwa na uchu wa kuitawala Tanzania, vinginevyo tusingepata uhuru wa maongezi. Huo uhuru tulipewa na UN baada ya Nyerere kwenda kusema tuko tayari, kumbe naye alitaka atutawale hadi afie madarakani. Kwa bahati mbaya aliharibu uchumi katika kiwango kilichomfanya aone aibu hadi kung'atuka.
Kwamba CCM atawapa nchi kwa mazungumzo .
 
Wajasiliasiasa. Huwa wanakuwa hivi.
 
Back
Top Bottom