Je, mwenyekiti Mbowe ni mtu huru?

Ingekuwa ni mama yako ulitaka afanyaje?
 
Mbowe ni Mwenyekiti wetu ila kwa sasa na Mimi napata Shaka sana .

Uzuri wa sheria za Tanzania hazina ukomo wa kusajili vyama. Anzisha chama chako, kuwa mwenyekiti. Tafuta wanachama wanaoweza leta mabadiliko maisha yaendelee.

Achana na hao akina Mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…