Mgambilwa ni mntu
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 2,869
- 3,187
Tangu Chombo cha Wamarekani Apollo 11 kilichoongozwa na Neil Armstrong kimefika mwezini mwaka 1969, ni miaka 50 sasa, hakujawahi tena kupelekwa wanaanga wengine mwezini. Nini kilijiri kwenye hiyo safari? Why Wamarekani na mataifa mengine walipoteza interest na Mwezi?
Je, hiyo haiwezi kuwa imetokana na kwamba, kuna kitu Wamarekani walikutana nacho ila hawataki kueleza ukweli?
Hata hivyo kuna Wasomi wa Conspiracy Theory, wanaamini kuwa, Mwezi ni artifial creation na ulitengenezwa na unknown Intelligent Beings kwa lengo la kutupeleleza.
Wasomi hao wanadai kuwa, kulingana na stori za Apollo 11 mwaka 1969, wakati wa kutua kulisikika mtetemo uliofumu muda mrefu hali inayoonyesha kuwa ndani ya mwezi ni hollow. Eneo la nje, limetengenezwa kuwapumbaza wanadamu.
Baadhi ya story za miaka ya zamani zinaeleza kuwa, zamani mwezi huo haukuwepo.
Wajuvi njooni muvavadue hizi Conspiracy Theories zenye mambo magumu na mazito kama haya.

Attachments
Last edited: