Tangu Chombo cha Wamarekani Apollo 11 kilichoongozwa na Neil Armstrong kimefika mwezini mwaka 1969, ni miaka 50 sasa, hakujawahi tena kupelekwa wanaanga wengine mwezini. Nini kilijiri kwenye hiyo safari? Why Wamarekani na mataifa mengine walipoteza interest na Mwezi?
Je, hiyo haiwezi kuwa imetokana na kwamba, kuna kitu Wamarekani walikutana nacho ila hawataki kueleza ukweli?
View attachment 817735
Hata hivyo kuna Wasomi wa Conspiracy Theory, wanaamini kuwa, Mwezi ni
artifial creation na ulitengenezwa na
unknown Intelligent Beings kwa lengo la kutupeleleza.
Wasomi hao wanadai kuwa, kulingana na stori za kutoka kwenye vyombo ambavyo vimewahi kufikia mwezini, wakati wa kutua huwa kunasikika mwangwi unaoonyesha kuwa kuna ndani ya mwezi ni hollow. Eneo la nje, limetengenezwa kuwapumbaza wanadamu.
Baadhi ya story za miaka ya zamani zinaeleza kuwa, zamani mwezi huo haukuwepo.
View attachment 817744
View attachment 817745 View attachment 817746
Wajuvi njooni muvavadue hizi Conspiracy Theories zenye mambo magumu na mazito kama haya.