Hata mimi limenifikirisha sana hilo kwa muda mrefu tangu nilipokutana na hii theory. Cha ajabu, Sayari zote zina miezi ukiacha Pluto. Lakini angalizo ni hili: Nani alikwambia kuwa Sayari nyingine hazina uhai? Je, siyo hao hao wanaoweza kuwa wanatudanganya kuhusu uwepo/kutokuwepo kwa Aliens? Je, unadhani ukisikia uhai unategemea ufanane na wa kwetu?
Hilo haliwezekani. Kumbuka Big Bang ndio iliyozaa sayari zote na all heavenly bodies lakini ziliumbwa (formed) kwa kipindi tofauti. Kuna Galaxies zina umri mkubwa kuliko hata Milk Way ambayo ni ya kwetu. Sasa, kama kuna Galaxy, ama Sayari ni older or even much older kuliko yetu, there is a great possibility kuwa zina more intelligent creature than we human beings.
Usisahau kuwa, sisi wanadamu tuna umri mdogo wa miaka chini ya
milioni 5. Au viumbe vyote kwenye Dunia yetu vina umri wa chini ya miaka
bilioni 3.6 ya
Evolution. So fikiria huko angani kuna civilization ina miaka hata milioni 100 pekee, watakuwa na uwezo gani, kama sisi tumetumia miaka 6,000 (3,500 BC - 2,018) pekee ya Civilisations?
View attachment 817786