Je, Mwezi ni Chombo kilichowekwa na Aliens kutupeleleza? Mbona ni miaka 50 tangu USA mwaka 1969?

Je, Mwezi ni Chombo kilichowekwa na Aliens kutupeleleza? Mbona ni miaka 50 tangu USA mwaka 1969?

Wapi nimesema uhai huo huo wa duniani wa kutegemea hewa ndio huo huo wa extra terrestrial?

Unaelewa kwamba hizo type zote za civilization ni classification according to energy use?

Unanieleza mimi Kardashev Scale leo kama mtu ambaye sijawahi kuisikia wakati mimi nimeisoma hiyo na Drake Equation USIS Peugeot House tangu 1994 ?

Nime wapa SETI cycles tangu 2000!

Sasa wewe utajuaje kwamba hawana sources tofauti kabisa za energy na hizo ulizozitaja?

Unanishambulia kwa kuwa anthropic (kitu ambacho sijafanya), halafu wewe mwenyewe unakuwa anthropic!

Unaelewa kwamba hayo maneno yako mwenyewe uliyoyaleta yanasema kwamba hizi ni habari hypothetical na usichukulie kwamba hizo civilizations zipo kwa sababu watu wame hypothesize hivyo tu?

Unaelewa hypothesis ni nini?

Unaelewa kwamba unafanya kosa ku present hypothesis kama fact?

What's next? Can the Drake Equation tell us how many intelligent communicable civilizations live in the Milky Way Galaxy?

drake-equation.jpg
we nawe huishiwi mbwembwe...''kujifanya'' unajua kila kitu.

enzi zile ndg Monstgala alipokuwa anakuja na nondo zake kuhusu sayansi ya anga ulikuwa hutii mguu kuchangia achilia mbali kukosoa.
 
Inasemekana vyombo vya usa vilitua area 51 ndio walizuga kuwa wapo mwezini.kuna theory nyingi balaa
 
kama wazungu wenyewe kwa wenyewe tu huko ughaibuni wanabishana kuhusu suala la akina amstrong kufika mwezini, ni vipi wewe mswahili mwenzetu unakubari kirahisi namna hii?.
duh mkuu bado uko mbali sana....yaan mzungu akisema kitu hakuna mwafrica anayetakiwa kubisha au kutilia shaka? aisee sijawahi fikiria kama bado kuna watu wenye mawazo km haya...hii ya leo ni kali
 
duh mkuu bado uko mbali sana....yaan mzungu akisema kitu hakuna mwafrica anayetakiwa kubisha au kutilia shaka? aisee sijawahi fikiria kama bado kuna watu wenye mawazo km haya...hii ya leo ni kali
wao ndio walioutangazia ulimwengu kuwa wamefika mwezini, sio mtu mweusi.

sasa kwanini tusishangae pale wao kwao wanapokosoana?.
 
wao ndio walioutangazia ulimwengu kuwa wamefika mwezini, sio mtu mweusi.

sasa kwanini tusishangae pale wao kwao wanapokosoana?.
mkuu basi sio mtu mweusi pekee bali waingereza, wachina, warusi n.k na wao hawatakiwi kubisha maana na wao walitangaziwa tu na mmarekani ambaye ndiye aliyedai kufika huko......so wengine wote hatutakiwi kukubaliana ama kukataa hcho ndo unachomaanisha wewe,
 
Kama ni alien waliweka mwezi basi hata Dunia wameumba wao na sisi ni wao na mafundisho matakatifu ni yao
 
hahahaa kwajili ya kutupeleleza? sasa wataexplain vip ukweli kwamba sayari ya jupiter isio na dalili yoyote ya kuwapo uhai ina miezi zaidi ya sitini? jee hizo sattelites zaidi ya sitini zinamchunguza nani huko jupiter? mars nayo ina mwezi pia je mwezi wa huko unawapeleleza kina nani huko mars?
Ila tambua hizo habari ni aina ya ujinga unaomezeshwa ili ukae kwenye mfumo wa watu Fulani. Labda tu nikwambie hakuna kitu kinachoitwa solar system yaani habari za sayari zingine ni uongo tu jua ni dogo kwa dunia, haliwezi kuzaa sayari 9, kingine ni kwamba kama jua lilineguka ndio zikatokea sayari? Kwanini kila sayari ilitua kwenye njia salama, hebu tumia za kuzaliwa umbali kutoka dunia hadi juani ni km mln 67 hivi huu umbali unapimwaje? Haya sema kuhusu umbali ilipo Pluto, Za kuambiwa,.........
 
sas mkuu kama vyombo vinatumwa vinafika kwann binadamu asifike? umbali kati ya dunia na mwezi ni km 384,000 tu pana umbali gani hapo wkati watu wametuma vyombo mpk kwe orbit ya jupiter huko karibu KM milioni 300 na zaidi
Ukijumlisha safari za ndege yangu kugunduliwa hazijafikisha jumla ya hizo km, hesabu ndege zipo ngapi halafu wao wametuma chombo na kimefika huko
 
Ila tambua hizo habari ni aina ya ujinga unaomezeshwa ili ukae kwenye mfumo wa watu Fulani. Labda tu nikwambie hakuna kitu kinachoitwa solar system yaani habari za sayari zingine ni uongo tu jua ni dogo kwa dunia, haliwezi kuzaa sayari 9, kingine ni kwamba kama jua lilineguka ndio zikatokea sayari? Kwanini kila sayari ilitua kwenye njia salama, hebu tumia za kuzaliwa umbali kutoka dunia hadi juani ni km mln 67 hivi huu umbali unapimwaje? Haya sema kuhusu umbali ilipo Pluto, Za kuambiwa,.........
Ila we jamaa ni kilaza sijawah ona
 
Nakubaliana na hoja yako juu ya sayari kibao kuwa na miezi. Hata hivyo, kama nilivyokwambia, concept ya uhai achana nayo kabisa. Kuna hofu kuwa Aliens wanaweza kuwa wako pamoja nasi but hatuwaoni coz probably wana uwezo wa kujibadilisha.
Kwa kuwa, haya mambo ni fikirishi, jiulize maswali haya:
  • Watu waliokufa (mahakama) ambao mababu zetu waliabudu/wanaabudu wako wapi?
  • Majini yanaishi wapi?
  • Mizimu inaishi wapi?
Mbona makundi yote hayo yanaelewa vyema sisi tunachowaza wakati sisi hatuelewi chochote juu yao?
Ulishawahi kusikia juu ya Annunaki? Fuatilia kwanza Sumerian Civilisation na hawa watu, utasaidia sana bandiko hili kwani tutaupanua mjadala zaidi.
Fuatilia pia juu ya theory ya Sayari ya Nibiru (Planet X).
Kaka ukianza kufikiria juu ya haya utasahau hata asili yako,
 
Sawa unaongea fact. But the problem is that truth does not necessarily means reality. So tukubali kujifunza zaidi kwa sababu kujua kuwa, Jupita ama Saturn ina miezi mingapi ni elimu ya Primary but suala la kuhisi tu kuwa, ndani ya mwezi kunaweza kuwepo hollow, siyo elimu ya layman tu kama sisi, ni lazima watu wametengeneza hypotheses zao.
Mnakumbuka zamani, wanadamu waliamini Jua ndilo linalozunguka Dunia mpaka Karne ya 17 wakati Isaac Newton alivyokuja na Gavitational Force Theory, ndipo alipoweza kuconvince conclusively juu ya Dunia kuzunguka Jua, licha ya akina Johannes Kepler, Galileo Galilei na Plato kusimamia theory ya Dunia kuizunguka Jua tangu miaka 1500-1600 AD na ya 300 BC respectively.
Hivi unapajua juu,? Dunia inazunguka juu, hivi juu hupaoni au, hivi kama dunia inazunguka jua mbona kila siku jua linatokea mashariki??? Kama dunia iko juu na jua lipo juu mbona hatuliona jua likiwa pembeni yetu??

Awali ni awali hakuna awali mbovu, walivosema awali kuwa jua linazunguka hawajakosea hata kidogo, .
 
Ukijaribu kupitia vyanzo mbali mbali vya wailsamu wenyewe wamekanusha kwamba Armstrong hakubadili dini na kama alibadili hakuna reliable source inayoonyesha kwamba alibadili dini. Wenyewe wanasema ni fabricated stories to make the religion famous. Zaidi soma hapa
Is the story that the astronaut Neil Armstrong became Muslim true? - islamqa.info
Na pia mtandao mwingine wa waislamu wa answering-islam wameongea the same thing
View attachment 818033View attachment 818034View attachment 818035
Pia katika mtandao wa wikipedia nao wanasema
Kwahyo hujawahi kufikiria kwamba NASA wana uwezo wa kudukua na kupenyeza taarifa hizo kwenye mtandao wa waislam ili kuuchafua umma wa waislam?
 
Ila we jamaa ni kilaza sijawah ona
Hawa watu wengine unamsoma halafu unashindwa hata pa kuanzia.

Anaibishia sayansi hiyo hiyo iliyomtengenezea internet ya kuweza kubisha.

Vipimo vilivyotumika kupima umbali na ukubwa wa jua ndivyo hivyo hivyo vimetumika kurusha satellite angani na kutupa mawasiliano kwa mtandao wa internet.

Sasa sijui atabisha internet anayoitumia kubisha nayo haipo? Satellites hazipo?
 
Hawa watu wengine unamsona halafu unashindwa hata pa kuanzia.

Anaibishia sayansi hiyo hiyo iliyomtengenezea internet ya kuweza kubisha.

Vipimo vilivyotumika kupima umbali na ukubwa wa jua ndivyo hivyo hivyo vimetumika kurusha satellite angani na kutupa mawasiliano kwa mtandao wa internet.

Sasa sijui atabisha internet anayoitumia kubisha nayo haipo? Satellites hazipo?
Et hakuna kitu kinaitwa solar system na jua ni dogo kuliko sayar hata mwanangu swalehe hawez sema huu ujinga
 
Ila tambua hizo habari ni aina ya ujinga unaomezeshwa ili ukae kwenye mfumo wa watu Ful za kuzaliwa umbali kutoka dunia hadi juani ni km mln 67 hivi huu umbali unapimwaje? Haya sema kuhusu umbali ilipo Pluto, Za kuambiwa,.........
sasa usiseme kuwa ni uongo kwasababu haufahamu wanapimaje? ile torchi ya polisi inaweza pima speed ya gari yako ukiwz uko mbali kabisa pia inaweza onesha uko umbali gani kutoka hapo walipo! mbn haohao wanasayansi ndio waliosema kuwa kutakua na kupatwa kwa mwezi hapa juzi na tukasubiri tukaona sa walijuaje kama hawakupima hizo distance unazokataa ww? pia toa evidence kuonesha kuwa solar system haiexist
 
Ukijumlisha safari za ndege yangu kugunduliwa hazijafikisha jumla ya hizo km, hesabu ndege zipo ngapi halafu wao wametuma chombo na kimefika huko
mkuu haya ili kuyaelewa unatakiwa ujifunze vitu vingine pia, sasa kama unasema kuwa hata solar system haiexist hapo mjadala utakuwa mgumu maana hamna tutachoelewana
 
Back
Top Bottom