Wapi nimesema uhai huo huo wa duniani wa kutegemea hewa ndio huo huo wa extra terrestrial?
Unaelewa kwamba hizo type zote za civilization ni classification according to energy use?
Unanieleza mimi Kardashev Scale leo kama mtu ambaye sijawahi kuisikia wakati mimi nimeisoma hiyo na Drake Equation USIS Peugeot House tangu 1994 ?
Nime wapa SETI cycles tangu 2000!
Sasa wewe utajuaje kwamba hawana sources tofauti kabisa za energy na hizo ulizozitaja?
Unanishambulia kwa kuwa anthropic (kitu ambacho sijafanya), halafu wewe mwenyewe unakuwa anthropic!
Unaelewa kwamba hayo maneno yako mwenyewe uliyoyaleta yanasema kwamba hizi ni habari hypothetical na usichukulie kwamba hizo civilizations zipo kwa sababu watu wame hypothesize hivyo tu?
Unaelewa hypothesis ni nini?
Unaelewa kwamba unafanya kosa ku present hypothesis kama fact?
What's next? Can the Drake Equation tell us how many intelligent communicable civilizations live in the Milky Way Galaxy?