Je, Mwezi ni Chombo kilichowekwa na Aliens kutupeleleza? Mbona ni miaka 50 tangu USA mwaka 1969?

Je, Mwezi ni Chombo kilichowekwa na Aliens kutupeleleza? Mbona ni miaka 50 tangu USA mwaka 1969?

huwezi kuelewa uumbaji wa Mungu kwa jinsi utakavyo wewe bali jitahidi kuelewa uumbaji wa Mungu kadri atakavyo yeye
Ukianza kusema uumbaji wa Mungu unatengeneza vichaka vya kuuficha ukweli tunaotakiwa kuujua, ishu ya Mungu sote tunamjua na tunaamini ktk alivyoumba ila kwa hapa penye mashaka wacha watu watiririke kwanza baadae utatuletea injili mkuu.
 
Ukianza kusema uumbaji wa Mungu unatengeneza vichaka vya kuuficha ukweli tunaotakiwa kuujua, ishu ya Mungu sote tunamjua na tunaamini ktk alivyoumba ila kwa hapa penye mashaka wacha watu watiririke kwanza baadae utatuletea injili mkuu.

Wengine hatuamini walakukubali uwepo wa Mungu.
 
Mmh hii mbombo ng'afuu wacha nitulie niangalie wasomi Wa enzi hizi za jiwe labda mtakuwa na neno
 
Mwisho wa siku sote humu tunalumbana kwa hayohayo matango pori tuliyolishwa na haohao tunaowaamini wazungu, tumetulia darasani tumemezeshwa na tunaendelea kumezeshwa wanachotaka tumeze ili wanufaike na kazi zao hasa kuitawala hii dunia.
Hizo sayari na idadi zake, umbali toka sayari moja kwenda nyingine, uhai wa sayari, viumbe hai nakadhalika ni wao wanatueleza, iwe kweli ama uongo ni wao wanajua. Tutulie tu watu wale kazi za mikono yao, walishatangulia wametangulia tu.
 
Tatizo letu kubwa tumepumbazwa na sayansi, watu wengi wanchukulia sayansi ndio kila kitu kumbe sio sahihi, kuna baadhi ya vitu inabidi tutoke nje ya sayansi, maana hata hiyo sayansi mambo mengi ni assumptions tu za watu kama mimi na wewe, chukulia ishu ya bing bang, continental drift nk, pia ugunduzi mwingi wa sayansi umetokea kwa bahati mbaya tu mfano electic moter, x rays nk hii inadhihisha wazi kwamba sayansi ni upigaji ramli tu, inaweza ikawa kweli au la. Wanasayansi wanatuaminisha wanachunguza anga za mbali sana, ila mi kwa maono yangu vifaa peke havitoshoshi kutoa ukweli, lia na uthibitisho wa jicho la binadamu, inawezekana vifaa vyao vinachanganywa na mpangilio wa baadhi ya mambo hivyo kuleta suluhisho la jumla
 
Mwisho wa siku sote humu tunalumbana kwa hayohayo matango pori tuliyolishwa na haohao tunaowaamini wazungu, tumetulia darasani tumemezeshwa na tunaendelea kumezeshwa wanachotaka tumeze ili wanufaike na kazi zao hasa kuitawala hii dunia.
Hizo sayari na idadi zake, umbali toka sayari moja kwenda nyingine, uhai wa sayari, viumbe hai nakadhalika ni wao wanatueleza, iwe kweli ama uongo ni wao wanajua. Tutulie tu watu wale kazi za mikono yao, walishatangulia wametangulia tu.
Hizi si zama za kukubali kushindwa kirahisirahisi kwa hoja nyepesi za "wazungu waache".

1. Kulishana matangopori ni sehemu ya ubinadamu katika kutafuta kutawala wengine. Mchezo huo wala hawajaanza wazungu. Wakati wazungu wanatangatanga katika mapango ya Ulaya hawajui hata kuandika wala kuvaa nguo, Wababeli na Wamisri walishakuwa na falme kubwa, hawa hawakuwa wazungu.

2. Habari nyingi zinazosemwa za "wazungu" si za wazungu haswa, ni habari zilizopokewa nao na kufanyiwa maboresho. Hivyo, hata sisi leo tunaweza kupitia habari zile zile ambazo tumezipata tena kutoka kwao tukaziboresha. Ukifuatilia historia ya ujuzi wa kisayansi utaona kuna mstari wa moja kwa moja kutoka maendeleo ya leo ya nchi za magharibi (Ulaya na Marekani) unaorudi nyuma kwenye ufalme wa Uingereza na Ufaransa ya "Ancien Regime" na kurudi nyuma kwenye falme za Warumi na kabla ya hapo Wagiriki, na Wagiriki walitoa habari za ujuzi wao Misri (Pythagoras na Eratosthenes etc wote walisoma Misri).Ukimsoma Cheik Anta Diop utaona kwamba utanashati wa Misri kielimu, ulitoka kusini ukaja kaskazini,hususan na mto Nile. Kwa maneno mengine, hata hao Wazungu unaowaona wajanja, ujanja wao wameutoa Afrika.

3. Ukisoma hesabu utakuta maneno mengi yenye msingi wa kiarabu (algebra, cube has the same root as al-qabba etc). Similarly terms like alkali in Chemistry are of Arabic etymology. Hiyo "alphabet" ya leo ya magharibi,neno "alphabet" limetokana na herufi za mwanzo za Kiarabu, alif baa taa.

There is a whole Wiki on this
Mathematics in medieval Islam - Wikipedia

Alchemy and chemistry in medieval Islam - Wikipedia

4. The Chinese were very advanced,they discovered many things, including gunpowder, before the west. Then they got cocky and said since they are the center of civilization, they don't need to travel, the world needs to come to them. That was the beginning of their downfall.Some accounts place the Chinese in America before Colombus. They came to Africa before Vasco da Gama.

Six Centuries Ago, Chinese Explorers Left This Coin Behind in Africa | Smart News | Smithsonian

What happenned?

They got complacent and gave up constant reinvention and seeking for knowledge.

To stay at the top, one must constantly be reinventing oneself and seeking for knowledge.

5. Not all the blame to go around is attributable to Wazungu, we have been free of colonialism for over 50 years now, surely some of this misery is due to our own making.



So this whole thing about Wazungu this, Wazungu that is whinning on many levels.

1. The whole wazungu thing is a big myth, if you analyze the history of decolonization and WWII you will see "Wazungu" is a collective to us outsiders, to them, they all have their internal natinalstate and ethnic beefs just like everybody else. They are not monolithic.

2. Even if they were monolithic, they did not get there by themselves.They did not always have the advantages they currently have. They struggled to better their situations, so can you.

3. The struggle nowadays is largely shifting from "wazungu vs weusi" to "the haves vs the have nots".Even Wazungu have poor people and blacks have millionaires. Donot get stuck in a utopian dichotomy of "wazungu vs weusi" while the real dichotomy is "the haves vs the have nots"

4. The world is understandable. Start by this ground rule. If some mzungu is lying, we can figure that out. ll we have to do is work to get the tools we need to do this, that tool is knowledge.

5.A paradigm shift could swing the pendulum of change anywhere. It is not written in stone that a certain kind of people will always be at the top. Therefore, be sure to be prepared in case you are flung to a position that could make a difference.
 
Last edited:
una sababu za kubackup claim yako mkuu?
Technology ya kpnd kile ilikuwa very low compared na sasa ambao wote hawana interest ya kwenda bado tech haijaruhusu
Refer iwezo wa makombola makubwa kusafiri kwa sasa
Moon landing was faked for reasons
 
Kuna video niliiyona inaeleza uongo Wa hao wanaodai wamefika mwezini. Moja ilikuwa hivi, inaelezwa kuwa mwezini hakuna hewa (upepo) hivyo inaleta ugumu Wa kukubali kiakili kwa zile picha zilizopigwa za Bendera ya marekani kuonekana inapepea wakati nikinyume na hali iliyopo mwezini.
 
Technology ya kpnd kile ilikuwa very low compared na sasa ambao wote hawana interest ya kwenda bado tech haijaruhusu
Refer iwezo wa makombola makubwa kusafiri kwa sasa
Moon landing was faked for reasons
mkuu unaamini kuwa warusi walipeleka mtu space mwaka 1961?
 
Kuna video niliiyona inaeleza uongo Wa hao wanaodai wamefika mwezini. Moja ilikuwa hivi, inaelezwa kuwa mwezini hakuna hewa (upepo) hivyo inaleta ugumu Wa kukubali kiakili kwa zile picha zilizopigwa za Bendera ya marekani kuonekana inapepea wakati nikinyume na hali iliyopo mwezini.

Why do people believe the moon landing hoax or other conspiracy theories?




D5JFXVCS5IYC7E7HALTYLK4L7I.jpg

Conspiracy theorists say a flag that appears to be flapping in a nonexistent breeze is evidence the moon landing was faked. (NASA)

By Elizabeth SvobodaJuly 20

Forty-nine years ago Friday, the Apollo 11 spacecraft delivered the first astronauts to the surface of the moon. The footprints Buzz Aldrin left in lunar soil are still around — and so are the throngs of conspiracy theorists who claim the entire landing was faked. For one thing, they argue, the flag the crew planted seemed to flutter in videos, which shouldn't happen since there's no wind on the moon. Besides, wouldn't mini-meteors have killed the astronauts the moment they ventured outside?
The “moon landing hoax” was among the first conspiracy theories to gain traction with the American public. In the years since, the theories have multiplied like jack rabbits, swarming all corners of the cultural landscape. After the terrorist attacks of Sept. 11, 2001, some fringe activists insisted the U.S. government, rather than al-Qaeda, had planned the attacks. Conspiracies about President Trump's ties to Russia compete with all the real news on the topic. “Pizzagate” conspiracists claimed Hillary Clinton was operating a pedophile ring in a D.C. pizza parlor, leading one true believer to fire a gun in the restaurant.

It's tempting to dismiss conspiracy theorists as wearers of tinfoil hats. But the theories should be taken seriously for their effects on political and social discourse — and research suggests that, under the right circumstances, many people are susceptible to their allure.

While people's attraction to conspiracy theories might seem illogical, it stems from a very logical desire to make sense of the world. Assigning meaning to what happens has helped humans to thrive as a species, and conspiracy theories are internally cohesive stories that “help us to understand the unknown whenever things happen that are fearful or unexpected,” said Jan-Willem van Prooijen, a social psychologist at Vrije University in Amsterdam. For some believers, the sense of comfort and clarity such stories bring can override the question of their truth value.

Conspiracy theorists often have a high degree of tolerance for contradiction that allows them to ignore evidence against their theories. In one study at the University of Kent in the United Kingdom, people who said Osama bin Laden had died before the U.S. raid on his compound were also more inclined to say he was still alive. The stories might have clashed, but both versions denied the Obama administration's report that bin Laden had been killed during the raid.
Conspiracy theories also supply a seductive ego boost. Believers often consider themselves part of a select in-group that — unlike the deluded masses — has figured out what's really going on. In a study at Johannes Gutenberg University in Germany, belief in conspiracy theories was stronger among people who said they wanted to stand out from the crowd. People with a high “conspiracy mentality” also expressed more belief in a conspiracy theory when they were told a minority of survey-takers believed it, as opposed to a majority.

Rejection and hardship can intensify people's need to believe a story that empowers them or justifies their situation, whether the story is true. People who are dissatisfied with the state of the world — such as the unemployed or those who support extreme ideologies — are highly vulnerable to conspiracy theories, van Prooijen said: “If people are satisfied, they are less likely to pursue this sort of theory.”

While conspiracy theories have been around for millennia, they are thriving in a political moment that rewards those who reject established knowledge. “Conspiracy theories are becoming part of our national dialogue,” said University of Miami political scientist and conspiracy theory researcher Joseph Uscinski.

When such theories become entrenched in the public consciousness, however, they erode people's trust in authorities and the status quo. In a vicious cycle, that creates fertile ground for the emergence of ever more outlandish conspiracy theories.
Part of the foundation of democracy, as writer Stephen Harrington points out, is a broad consensus about basic facts that persists even when the meaning of these facts is hotly debated. But conspiracy theorists operate from a set of facts untethered to reality, and people who call their bluff are often ignored or labeled as part of the proposed conspiracy. When people believe “there is no credible source of news,” said Peter Kreko, director of the Political Capital institute in Budapest, “there can be no real source of debunking.”

In 2016, Kreko and his colleague, social psychologist Gabor Orosz of Budapest's Eötvös Loránd University, tested the usefulness of various ways to counter conspiracy theories. First, they played participants a recording of a conspiracy “super-theory” stating that Jews, bankers and the European Union were exploiting Hungary. Then the researchers tried three debunking strategies: rationally arguing against the conspiracy theory; ridiculing those who believed in the theory; and empathizing with the people the theory targeted.

It turned out that both rationality and ridicule were somewhat effective in reducing participants' belief in the theory, while empathy was largely ineffective. Showing concern for a conspiracy theory's victims, the study suggests, isn't a good debunking strategy — especially when the theory is racist, discriminatory or otherwise harmful.

What's the best way to put effective pushback tactics into practice? (Aldrin once punched someone who accused him of faking the moon landing, but that's probably not the best solution.) If someone in your family or social circle is an ongoing fount of conspiracy theories, it's worthwhile to counter their stories with the truth — which will often be at your fingertips. “Just check on our cellphone the story the other guy just told us,” Orosz said. “We can use these rational strategies in everyday situations, say, 'These are the facts, my friend.' ” The theorist may or may not prove willing to accept reality, but either way, others who are listening will be able to hear evidence against a conspiracy.

It makes sense to inoculate yourself against conspiracy theories, as well, and people who exercise the logical parts of their brains seem to have some immunity. In one University of Westminster study, people who were primed to think analytically by playing a sentence-unscrambling game were less likely to endorse conspiracy theories afterward.
You can also give yourself an up-close look at how the sausage is made. Kreko has given some of his students a unique assignment: Take two completely unconnected events (9/11 and North Korea's nuclear bomb testing, for instance) and invent a plausible connection between them — which, as the Internet shows, is exactly what real conspiracy theorists do. “Think about any tragic events in the past 100 years,” Kreko said. “Google this tragedy and 'Jews,' and you will find something.” His students find the theory-generating exercise surprisingly easy, and he hopes it makes them wary of future supposed conspiracies they catch wind of.

While it may be hard to remember in the heat of a debunking session, many conspiracy theorists' motives are noble, even if their yarn-spinning is not. “People who believe conspiracy theories are deeply concerned about the future of society,” van Prooijen said. “Why would we [try to] make sense of events we don't care about?”
Still, Uscinski doesn't foresee much true evolution for the hardest-core believers. “They're living in a different world,” he said, “and it's very tough to bring them back.”
Read more:
 
Kuna video niliiyona inaeleza uongo Wa hao wanaodai wamefika mwezini. Moja ilikuwa hivi, inaelezwa kuwa mwezini hakuna hewa (upepo) hivyo inaleta ugumu Wa kukubali kiakili kwa zile picha zilizopigwa za Bendera ya marekani kuonekana inapepea wakati nikinyume na hali iliyopo mwezini.
ni kweli ila kwanza inabidi ufahamu kitu chenye uzito sawa na bendera kinabehave vipi kikiwa kwenye gravity ya dunia na kitabehave vipi kikiwa kwe gravity kubwa au ndogo kwa ile ya dunia baada ya hapo utaweza kujua bendera itabehave vipi kwe surface ya mwezi ambayo gravity yake ni 0.166667 ya hapa chini duniani baada ya hapo jenga hoja yako
 
Tuanzie hapa kwanza. ALIEN NI NINI?ukishajibu swali then tunaweza jadiliana kuanzia hapo.

Hakuna kitu kinaitwa ALIEN ni mipango yao tu wazungu na movies zao kujaza watu imagination za kipumbavu ndio maana mpk now unaamini kweli kuna aliens. Dunia ina miaka sijui milioni sijui bilioni hao allien mpk leo bado hawajakusanya data za kutosha tu tangu hatujagundua moto mpaka sasa kuna ma sky scraper?? Hao Aliens watakuwa vilaza kupindukia.
Achana na stori za abunuasi za kizungu
 
ni kweli ila kwanza inabidi ufahamu kitu chenye uzito sawa na bendera kinabehave vipi kikiwa kwenye gravity ya dunia na kitabehave vipi kikiwa kwe gravity kubwa au ndogo kwa ile ya dunia baada ya hapo utaweza kujua bendera itabehave vipi kwe surface ya mwezi ambayo gravity yake ni 0.166667 ya hapa chini duniani baada ya hapo jenga hoja yako
Umejibu kifizikia zaidi.

Hapo mtu itabidi atafute gravity mwezini, ukubwa wa bendera, material yake, uzito wake, jinsi ilivyofungwa,na jinsi uhusiano wa vyote hivyo utakavyofanya bendera ifanye.

Kazi kubwa sana.

Kusema tu "bendera haipepei mwezini" ni rahisi zaidi.

Watu wanakimbilia kile kinachoonekana ubishi rahisi badala ya uchunguzi mgumu.

Frankly the moon landing is so unimpressive by now, sasa mtu anayebisha moon landings ukimueleza habari za Voyager 1 and 2 being outside of the solar system atasemaje?

Ni kama mtu ananibishia kwamba sijawahi kutoka nje ya nyumba yangu kufika kibarazani kwangu mlango wa mbele Dar es salaam, wakati niko Marekani!
 
Back
Top Bottom