Je, Mwezi ni Chombo kilichowekwa na Aliens kutupeleleza? Mbona ni miaka 50 tangu USA mwaka 1969?

Je, Mwezi ni Chombo kilichowekwa na Aliens kutupeleleza? Mbona ni miaka 50 tangu USA mwaka 1969?

Conspiracy theory za extra terrestrial intelligent civilizations, zimejaza madude makubwa kama haya hapa chini.

IMG_5391.JPG
 
yeah sure bt wanaohoji hapa wengi wanauliza kuwa binadamu anawezaje pita through van allen radiation belts, sasa lazima waseme kwanza kwe hio belts kuna aina gani ya radiation ambayo haiwezekani kujikinga nayo? maana hata hizo unmanned probe zilizokwenda mars and beyond kiukweli lazima zikingwe pia coz zile charged particles za pale zinaweza tibua mambo kwe zile computer za hizo probe[/QUOTE
Hilo mzee sijafahamu vyema namna zinavyopita hapo. Wataalamu wa Astronomy huku waendelee kushuka points tu.
 
Kwani uhai wa duniani wa kutegemea hewa, ndio huo huo unaoweza kutumika na extra-terrestrial intelligent beings?
Angalia hizi civilizations, ndio utajua possibly kuna uwezekano wa aina nyingine ya maisha ambayo ni too complex.
View attachment 818617

Kardashev scale - Wikipedia
Wapi nimesema uhai huo huo wa duniani wa kutegemea hewa ndio huo huo wa extra terrestrial?

Unaelewa kwamba hizo type zote za civilization ni classification according to energy use?

Unanieleza mimi Kardashev Scale leo kama mtu ambaye sijawahi kuisikia wakati mimi nimeisoma hiyo na Drake Equation USIS Peugeot House tangu 1994 ?

Nime wapa SETI cycles tangu 2000!

Sasa wewe utajuaje kwamba hawana sources tofauti kabisa za energy na hizo ulizozitaja?

Unanishambulia kwa kuwa anthropic (kitu ambacho sijafanya), halafu wewe mwenyewe unakuwa anthropic!

Unaelewa kwamba hayo maneno yako mwenyewe uliyoyaleta yanasema kwamba hizi ni habari hypothetical na usichukulie kwamba hizo civilizations zipo kwa sababu watu wame hypothesize hivyo tu?

Unaelewa hypothesis ni nini?

Unaelewa kwamba unafanya kosa ku present hypothesis kama fact?

What's next? Can the Drake Equation tell us how many intelligent communicable civilizations live in the Milky Way Galaxy?

drake-equation.jpg
 
Shuka madude mzee, achana na kushambulia. Ndo maana bandiko la kwanza niliandika wazi kuwa hii ni conspiracy theory.
Nimejaribu kuwakumbusha watu kuwa, hata Kanuni muhimu sana na iliyotransform ulimwengu wa sayansi hasa wa Physics: Gravity is now questionable. Hiyo inaonyesha wazi kuwa, the truth of today is not necessarily the one in tomorrow. Hata leo watu wana-question the theory of reality.
 
You can question anything, that is not the point.

The point is, how are you questioning? From what context? What are your justifications? What logic do you use? What is your epistemology? Are you making testable predictions to support your critique?

For example, one can question if East is East and West is West. If your foundation is lack of arbitrariness, yes, all these sides are arbitrary and therefore not sacred.

But, if you want to circumnavigate the world, you damn well better have another way before discarding these established conventions.

So, with that in mind, how do you question gravity? Do you dispute Einstein's general theory of relativity?

How do you question the theory of reality?
 
Hakuna kitu kinaitwa ALIEN ni mipango yao tu wazungu na movies zao kujaza watu imagination za kipumbavu ndio maana mpk now unaamini kweli kuna aliens. Dunia ina miaka sijui milioni sijui bilioni hao allien mpk leo bado hawajakusanya data za kutosha tu tangu hatujagundua moto mpaka sasa kuna ma sky scraper?? Hao Aliens watakuwa vilaza kupindukia.
Achana na stori za abunuasi za kizungu
Hahahahaa, et viraza, ila hata mm najiuliza hizo data wanakusanya kwa kipind chote hiko wanatafuta nn, ingeleta mantiki kama mwezi ungekua unatoweka kwa muda fulan na kurudi lakin isiwe "smart periodically" kama ilivo kwa sasaa., labda ungekua hata baadhi ya miaka hauonekan kabisa kdogo ingeleta uzito wa swala hili..
 
Mwezi hajauweka binadamu ila Muumba. Watu kufika mwezini kunanitatanisha ni kweli?? Tutajifunza mengi kuhusu sayari na nyota ila kukaribia huko ni miujiza. Waende kwenye jua tuwaone!!!
Muumba alimpa mwanadamu mamlaka ya kutawala vitu vyote kasoro kale kamti ka ujuzi wa mema na mabaya, kwa hiyo mkuu unaruhusiwa kutembelea vitu vyote vilivyoumbwa na muumba tena anza kufanya mchakato wa kwenda kuzuru Pluto🙂🙂
 
hahahaa kwajili ya kutupeleleza? sasa wataexplain vip ukweli kwamba sayari ya jupiter isio na dalili yoyote ya kuwapo uhai ina miezi zaidi ya sitini? jee hizo sattelites zaidi ya sitini zinamchunguza nani huko jupiter? mars nayo ina mwezi pia je mwezi wa huko unawapeleleza kina nani huko mars?
hahaaaa ujinga mtupu" Tangu waanze kupeleleza " mpaka leo " hii hkuna walichokipata" Bila Shaka wangekuwa wameshavamia "duniani " na kutekeleza azma yao " iliyowalazimu wao " kutupeleleza aisee
 
lakin nchi zenye reputation kubwa kwe maswala ya anga kama russia hawajawahi dispute anything kuhusu moon landing wewe unasimamia wapi unaposema kuwa ni lie? toa sababu mkuu......vipi kuhusu international space stations(ISS) na sattelites zngne zlrudhwazo kila siku ni uongo? wanafaidika nini kutumia matrilioni ya pesa ili tu kudanganya mkuu tujuzane
achana nao hao " hawajui walisemalo " anabisha kuhusu watu kwenda mwezini " then anatumia simu na internet " ambazo kimsingi zinafanya kazi kwa kupokea signal Toka kwenye satellite zilirushwa angani "" Mkuu amini usiamini ", ....bangi ni mbaya sana
 
Hahahahaa, et viraza, ila hata mm najiuliza hizo data wanakusanya kwa kipind chote hiko wanatafuta nn, ingeleta mantiki kama mwezi ungekua unatoweka kwa muda fulan na kurudi lakin isiwe "smart periodically" kama ilivo kwa sasaa., labda ungekua hata baadhi ya miaka hauonekan kabisa kdogo ingeleta uzito wa swala hili..
We imagine tangu binadamu anaishi mapangoni. Hajui kuvaa hajui kusoma then akaanza kustaarabika akaelimika mpk anakuwa na techology bado huyu allien kakaaa tu anasubiri lini ndo avamie. Kama alishindwa tukiwa hatujui tutapataje hata Moto ndo ataweza sasa hivi watu wana tech za kutosha.
Maana kama kuna viumbe walioweza kuweka mwezi eti utuchunguze then hao watu wana tech ya kutisha na wana elimu so kipindi tunapekecha tupate moto wangeshakuja na kumiliki hii sayari ikawa yao milele. Lakini wamekaa tu miaka milioni wanachunguza nn? Au walikuwa wanasubiri JIWE awe rais??
Story za Aliens ni story za uongo kuwawekeni sawa siku wakileta mipango yao ya kishenzi. So mtakuwa tayari mshawekwa vitu kwneye mind na mkaviamini...so itakuwa simple kuwadanyanga baadae.
 
Swali la kwanini Wamarekani wamepoteza interest na mwezi, ni sawa uniambiemimi mtoto wa Upanga ambaye sasa hivi naishi New York, ambaye nilikulia kwenda kuangalia sinema, kurekodi muziki na kucheza basketball Don Bosco, kwa nini nimepoteza interest na front porch yangu Don Bosco sionekani tena siku hizi?

I have got bigger fish to fry on Wall St.

Watu wamepeleka probes mpaka Pluto.

Voyager I na Voyager II zimeshavuka na kutoka nje ya solar system

Voyager - Mission Status

watu wanatafuta jinsi ya kwenda Alpha Centauri, mtu anauliza kwa nini hawajaenda mwezini tena?

Mtu anakwambia kwenye mwezi kunasikika mwangwi.

Kwenye mwezi hakuna hewa, ili usikie mwangwi unahitaji hewa. Huo mwangwi utausikiaje bila hewa?

Hizi ni conspiracy theories za kitoto kufurahisha watu wanaotaka kutunga science fiction bila ya kusema hilo.
Salute kiongozi
haya ndo mambo matamu ya kujadili ninayo kuappreciate
Full nondo
 
Muumba alimpa mwanadamu mamlaka ya kutawala vitu vyote kasoro kale kamti ka ujuzi wa mema na mabaya, kwa hiyo mkuu unaruhusiwa kutembelea vitu vyote vilivyoumbwa na muumba tena anza kufanya mchakato wa kwenda kuzuru Pluto🙂🙂
Ni vyema ufahamu kuwa, binadamu bado hajaweza kutengeneza chombo cha anga chenye kasi kama ya mwanga, ambayo ni karibia km 300,000 kwa sekunde. Sisi duniani Chombo cha kasi ni km 58,000 km/hr. Inadaiwa kwa speed ambayo Galaxies zinapanuka, haitawezekana tena kuzifikia kwani zinapanuka kwa kasi kuliko speed ya mwanga.

IMG_5420.jpg

IMG_5418.jpg
 
Last edited:
Ni vyema ufahamu kuwa, binadamu bado hajaweza kutengeneza chombo cha anga chenye kasi kama ya mwanga, ambayo ni zaidi ya km 300,000 kwa sekunde. Sisi duniani Chombo cha kasi ni km 58,000 km/hr. Inadaiwa kwa speed ambayo Galaxies zinapanuka, haitawezekana tena kuzifikia kwani zinapanuka kwa kasi kuliko speed ya mwanga.

View attachment 819787

View attachment 819790
Corrections.

The sped of light in a vacuum is 299 792 458 m / s, that is slightly less than, not more than km 300,000 per second.

The average rate of expansion of the universe is 67 km/s. Since Edwin Hubble's observation, it is established that far away galaxies are moving away from us faster than nearer ones due to the nature of the exoansion of spacetime.

That average expansion rate of 67 km/s is significantly less than the above given speed of light.

Per relativity and Hubbke based observation, the average rate of the expansion of the universe is about 0.02 % of the speed of light.
 
Last edited:
Correctiins.

Yes, I know that the expansion is not that much but the factor that leads to my statement emanate from the fact that there's immense distance from our own Milk Way to the nearest one. So considering the distance plus the respective galaxies expansion, it won't happen for humanity to be able to catch the glimpse of other galaxies apart from.
Am sure, you know how small is our Solar System in our local Galaxy.
 
Naandika Kiswahili iki kuongeza uwazi.

Ukikosea, ni uungwana kukubali unaposahihishwa.

1. Umekosea kuitaja spidi ya mwanga. Ninekusahihisha. Kubali.

2. Umekosea kusema galaxies "zinapanuka" kwa speed kuliko speed ya mwanga.

3. Unakosea kusema kwamba sababu ya sisi kutoweza kufika galaxy nyingine ni exoansionnof the universe. Tatizo letu ni aina ya energy tutakayotumia na chombo cha kuweza kusafiri umbali huo.

Unapoandika it sont happen fir humanity to catch a glimpse of other galaxies naona labda una matatizo ya kiingereza au astronomy.

Watu wanaona galaxies kila siku mbona?

In fact, unaweza kuina galaxies fulani bika hata kutumia telescope.

Pur neighbor Andromeda is a good example.
Can you see other galaxies without a telescope?
 
Mkuu andromeda inaonekana kama jinsi tunavyoiona sagittarius a ya milkway au?
 
Mkuu andromeda inaonekana kama jinsi tunavyoiona sagittarius a ya milkway au?
Mimi hupenda watu waliochunguza mambo zaidi yangu, wenye credibility na ujuzi zaidi yangu kunisaidia kujibu maswali.

NASA walishaulizwa hili swali.

Can you see other galaxies without a telescope?

Question:
Can you see other galaxies without a telescope?

Answer:
Yes, you can see a few other galaxies without using a telescope! Our nearest neighbors, the Large and Small Magellanic Clouds, are easy to see from the southern hemisphere. However, one of the most beautiful galaxies we can see with the naked eye is visible in the night sky all this month (November). The nearby Andromeda Galaxy, also called M31, is bright enough to be seen by the naked eye on dark, moonless nights. The Andromeda Galaxy is the only other (besides the Milky Way) spiral galaxy we can see with the naked eye.
 
Anhaa
Nilijua view yake usiku ni kama kikundinyota
Kumbe huonekana kama nyota ya kawaida
m31_chart.gif
 
Back
Top Bottom