Je, Mwezi ni Chombo kilichowekwa na Aliens kutupeleleza? Mbona ni miaka 50 tangu USA mwaka 1969?

Maoni yangu mwezi haujatwngenezwa na kiumbe yoyote bali ni asili toka uumbaji ulipoanza. Na lengo la uwepo wa mwezi huyo mtengenezaji alikadiria vipimo kwa makini sana maana kama mwezi ukitolewa sasa hivi hii dunia haivewezi kua kama ilivyo sana sana ita kua ni mwisho wake.

Kumbuka dunia inazunguka na vile ilivyokubwa na uzito wake ikizunguka bila balance huo mzunguko hauta kua steble na kwa hivyo hata sisi tulio duniani tungekua tunayumbishwa.

Huyo mtengenezaji pia alikadiria mahesabu yake kulingana na aina ya maisha aliokusudua viumbe wake waishi kwa majira na nyakati. Katika mzuko huo wa dunia ndiko tunapata majira ya siku na miaka.
Mwezi unaivuta dunia kuifanya izunguke kwa makadirio alio yaweka huyo mtengenezaji ili siku iwe saa 24. Na mwezi huo huo unaizunguka dunia na mzunguko wake mmoja kwetu ni nyakati fulani.

Kwa hio mwezi ndio kisababishi cha nyakati za masika kiangazi vuli nk, bila hivyo kusingekua na aina hii ya maisha tulio nayo.

Hao wamarekani kama wameenda mwezini ok kama hawajaenda ok lakini mwezi sio bandia wala haujawekwa na alieni. Kila jema nawatakieni.
 
hahahaa kwajili ya kutupeleleza? sasa wataexplain vip ukweli kwamba sayari ya jupiter isio na dalili yoyote ya kuwapo uhai ina miezi zaidi ya sitini? jee hizo sattelites zaidi ya sitini zinamchunguza nani huko jupiter? mars nayo ina mwezi pia je mwezi wa huko unawapeleleza kina nani huko mars?
Fact
 
Sababu moja wapo inayosemekana ni ukanda wa high radiation rays ujulikanao kama Van Allen Radiation Belt, wanasema hakuna chombo chochote wala teknolojia mpaka sasa iliyofanikiwa kutengeneza chombo kitakachoweza kuwithstands miale hiyo. Hivyo hata apollo 11 isingeweza kupita hapo kuelekea mwezini. Ukipata wasaa tafuta kwa undani ukanda huo wa miale
ISS ilipitaje hapo?
 
Ndio, kuna ukanda unaoizunguka hii satellite (mwezi) unaitwa Van allen radiation belt. Hakuna kiumbe hai kinachoweza kupita hapo na kikabaki hai.

uoni kama kuna tatizo?

The moon landing is the biggest lie of the 20 th century!
mkuu nkurekebishe kdg, van allen radiation belt inazunguka dunia na si mwezi, so lazima mtu kupita hp kama anatk kwenda mwezini mars na kwe sayari yyte ile nyngnembali na dunia...lakin hii radiation belts sio pysical thing ila ni charged ions particles tu , sasa labda hapa mtu aseme ni particle gani au aina gani ya radiation ambayo huwezi tengeneza protection dhidi yake ndio ingekuwa argument bora zaidi, wao wameeleza aina zote za charged particles zinazopatikana kwe hii belt na kueleza jinsi ya walivyoprotect system zao na watu wa humo ndani, may be hapa unge analyze hizo particles then utaje ni ipi ambayo ni impossible kujikinga nayo
 
ISS ilipitaje hapo?
ISS iko chini val allen iko mbali, ISS na sattelites zngne zote zinazunguka bellow this belt maana hata zenyewe zinaweza kudhuriwa na hii kitu unless zimekuwa protected na layers ambazo hizi radiation haziwez kupenya...ila kwa zile probe zinazoenda mwezin and beyond lazima uziprotect lasivyo system zake lazima zizingue zikikutana na hii kitu
 
Anhaa kwa hiyo kuna uwezekano apollo 11 iliwekewa layers wakapita
Pia voyager 1 na 2 nazo ziliwekewa maana zipo mbali sana kwa sasa(voyager 1 inakaribia oort cloud)
 
yeah kunakuwa protectors pia na watu lazima wavae zile suti za maalumu za space nazo pia zinawaprotect from those radiations
 
hahahaa kwajili ya kutupeleleza? sasa wataexplain vip ukweli kwamba sayari ya jupiter isio na dalili yoyote ya kuwapo uhai ina miezi zaidi ya sitini? jee hizo sattelites zaidi ya sitini zinamchunguza nani huko jupiter? mars nayo ina mwezi pia je mwezi wa huko unawapeleleza kina nani huko mars?
Jupiter ina miezi(moon) 12
 
Jiulize nani aliyesambaza kwamba hiyo safari ni feki. Jiulize kwa nini jamaa aliposilimu alikuwa akiishi maisha ya kujificha ficha.
Kwa nn kila kitu ninyi mnapenda kuweka udini hata pasipostahili?
imani yake inahusuje marekani?
Kwani Marekani ni dini?
Ninyi kwa kweli mko inferior mno
ndo maana kila kitu mnapeleka kidini dini
 
Kiranga tunaomba ulete shule hapa
Swali la kwanini Wamarekani wamepoteza interest na mwezi, ni sawa uniambiemimi mtoto wa Upanga ambaye sasa hivi naishi New York, ambaye nilikulia kwenda kuangalia sinema, kurekodi muziki na kucheza basketball Don Bosco, kwa nini nimepoteza interest na front porch yangu Don Bosco sionekani tena siku hizi?

I have got bigger fish to fry on Wall St.

Watu wamepeleka probes mpaka Pluto.

Voyager I na Voyager II zimeshavuka na kutoka nje ya solar system

Voyager - Mission Status

watu wanatafuta jinsi ya kwenda Alpha Centauri, mtu anauliza kwa nini hawajaenda mwezini tena?

Mtu anakwambia kwenye mwezi kunasikika mwangwi.

Kwenye mwezi hakuna hewa, ili usikie mwangwi unahitaji hewa. Huo mwangwi utausikiaje bila hewa?

Hizi ni conspiracy theories za kitoto kufurahisha watu wanaotaka kutunga science fiction bila ya kusema hilo.
 
Vyombo kadhaa vimekuwa vikitumwa angani na Nchi mbalimbali hasa USA na USSR (Russia) but ukweli unabakia kuwa, huwa wanatuma vyombo visivyo na wanaanga (unmanned spacecrafts). So, urushwaji wa wanadamu kwenye Mwezi bado ni extraordinary licha ya kupita miaka 50 Sasa.
 
Huja address points zangu.

1. Wmaefika na kupaona na sasawameendeleza research kwingine.
2. Habari za kusikia mwamngwi kwenye mwezi ni uongo, mwezi hauna hewa na huwezi kusikia mwangwi.
 
Swali la kwanini Wamarekani wamepoteza interest na mwezi, ni sawa uniambiemimi mtoto wa Upanga ambaye sasa hivi naishi New York, ambaye nilikulia kwenda kuangalia sinema, kurekodi muziki na kucheza basketball Don Bosco, kwa nini nimepoteza interest na front porch yangu Don Bosco sionekani tena siku hizi?

I have got bigger fish to fry on Wall St.

Watu wamepeleka probes mpaka Pluto.

Voyager I na Voyager II zimeshavuka na kutoka nje ya solar system

Voyager - Mission Status

watu wanatafuta jinsi ya kwenda Alpha Centauri, mtu anauliza kwa nini hawajaenda mwezini tena?

Mtu anakwambia kwenye mwezi kunasikika mwangwi.

Kwenye mwezi hakuna hewa, ili usikie mwangwi unahitaji hewa. Huo mwangwi utausikiaje bila hewa?

Hizi ni conspiracy theories za kitoto kufurahisha watu wanaotaka kutunga science fiction bila ya kusema hilo.
Kwani uhai wa duniani wa kutegemea hewa, ndio huo huo unaoweza kutumika na extra-terrestrial intelligent beings?
Angalia hizi civilizations, ndio utajua possibly kuna uwezekano wa aina nyingine ya maisha ambayo ni too complex.
IMG_5396.jpg

Kardashev scale - Wikipedia
 
Vyombo kadhaa vimekuwa vikitumwa angani na Nchi mbalimbali hasa USA na USSR (Russia) but ukweli unabakia kuwa, huwa wanatuma vyombo visivyo na wanaanga (unmanned spacecrafts). So, urushwaji wa wanadamu kwenye Mwezi bado ni extraordinary licha ya kupita miaka 50 Sasa.
yeah sure bt wanaohoji hapa wengi wanauliza kuwa binadamu anawezaje pita through van allen radiation belts, sasa lazima waseme kwanza kwe hio belts kuna aina gani ya radiation ambayo haiwezekani kujikinga nayo? maana hata hizo unmanned probe zilizokwenda mars and beyond kiukweli lazima zikingwe pia coz zile charged particles za pale zinaweza tibua mambo kwe zile computer za hizo probe
 
Back
Top Bottom