Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Tuanzie hapa , kwa nini unataka niweke udini pembeni.Mzee ebu weka udini pembeni kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuanzie hapa , kwa nini unataka niweke udini pembeni.Mzee ebu weka udini pembeni kwanza
Facthahahaa kwajili ya kutupeleleza? sasa wataexplain vip ukweli kwamba sayari ya jupiter isio na dalili yoyote ya kuwapo uhai ina miezi zaidi ya sitini? jee hizo sattelites zaidi ya sitini zinamchunguza nani huko jupiter? mars nayo ina mwezi pia je mwezi wa huko unawapeleleza kina nani huko mars?
ISS ilipitaje hapo?Sababu moja wapo inayosemekana ni ukanda wa high radiation rays ujulikanao kama Van Allen Radiation Belt, wanasema hakuna chombo chochote wala teknolojia mpaka sasa iliyofanikiwa kutengeneza chombo kitakachoweza kuwithstands miale hiyo. Hivyo hata apollo 11 isingeweza kupita hapo kuelekea mwezini. Ukipata wasaa tafuta kwa undani ukanda huo wa miale
mkuu nkurekebishe kdg, van allen radiation belt inazunguka dunia na si mwezi, so lazima mtu kupita hp kama anatk kwenda mwezini mars na kwe sayari yyte ile nyngnembali na dunia...lakin hii radiation belts sio pysical thing ila ni charged ions particles tu , sasa labda hapa mtu aseme ni particle gani au aina gani ya radiation ambayo huwezi tengeneza protection dhidi yake ndio ingekuwa argument bora zaidi, wao wameeleza aina zote za charged particles zinazopatikana kwe hii belt na kueleza jinsi ya walivyoprotect system zao na watu wa humo ndani, may be hapa unge analyze hizo particles then utaje ni ipi ambayo ni impossible kujikinga nayoNdio, kuna ukanda unaoizunguka hii satellite (mwezi) unaitwa Van allen radiation belt. Hakuna kiumbe hai kinachoweza kupita hapo na kikabaki hai.
uoni kama kuna tatizo?
The moon landing is the biggest lie of the 20 th century!
Well said!Hakuna mwanadamu amewahi kwenda mwezini, uongo tu wawa zungu kujifanya wana uwezo sana.
Well said!
Hoax tupu!
ISS iko chini val allen iko mbali, ISS na sattelites zngne zote zinazunguka bellow this belt maana hata zenyewe zinaweza kudhuriwa na hii kitu unless zimekuwa protected na layers ambazo hizi radiation haziwez kupenya...ila kwa zile probe zinazoenda mwezin and beyond lazima uziprotect lasivyo system zake lazima zizingue zikikutana na hii kituISS ilipitaje hapo?
Anhaa kwa hiyo kuna uwezekano apollo 11 iliwekewa layers wakapitaISS iko chini val allen iko mbali, ISS na sattelites zngne zote zinazunguka bellow this belt maana hata zenyewe zinaweza kudhuriwa na hii kitu unless zimekuwa protected na layers ambazo hizi radiation haziwez kupenya...ila kwa zile probe zinazoenda mwezin and beyond lazima uziprotect lasivyo system zake lazima zizingue zikikutana na hii kitu
yeah kunakuwa protectors pia na watu lazima wavae zile suti za maalumu za space nazo pia zinawaprotect from those radiationsAnhaa kwa hiyo kuna uwezekano apollo 11 iliwekewa layers wakapita
Pia voyager 1 na 2 nazo ziliwekewa maana zipo mbali sana kwa sasa(voyager 1 inakaribia oort cloud)
Jupiter ina miezi(moon) 12hahahaa kwajili ya kutupeleleza? sasa wataexplain vip ukweli kwamba sayari ya jupiter isio na dalili yoyote ya kuwapo uhai ina miezi zaidi ya sitini? jee hizo sattelites zaidi ya sitini zinamchunguza nani huko jupiter? mars nayo ina mwezi pia je mwezi wa huko unawapeleleza kina nani huko mars?
Kwa nn kila kitu ninyi mnapenda kuweka udini hata pasipostahili?Jiulize nani aliyesambaza kwamba hiyo safari ni feki. Jiulize kwa nini jamaa aliposilimu alikuwa akiishi maisha ya kujificha ficha.
Swali la kwanini Wamarekani wamepoteza interest na mwezi, ni sawa uniambiemimi mtoto wa Upanga ambaye sasa hivi naishi New York, ambaye nilikulia kwenda kuangalia sinema, kurekodi muziki na kucheza basketball Don Bosco, kwa nini nimepoteza interest na front porch yangu Don Bosco sionekani tena siku hizi?Kiranga tunaomba ulete shule hapa
ishagundulika mengine mkuu cheki tena mkuu imeshagundulika mingi sana mingine inakaribia sabini nowJupiter ina miezi(moon) 12
Vyombo kadhaa vimekuwa vikitumwa angani na Nchi mbalimbali hasa USA na USSR (Russia) but ukweli unabakia kuwa, huwa wanatuma vyombo visivyo na wanaanga (unmanned spacecrafts). So, urushwaji wa wanadamu kwenye Mwezi bado ni extraordinary licha ya kupita miaka 50 Sasa.Swali la kwanini Wamarekani wamepoteza interest na mwezi, ni sawa uniambiemimi mtoto wa Upanga ambaye sasa hivi naishi New York, ambaye nilikulia kwenda kuangalia sinema, kurekodi muziki na kucheza basketball Don Bosco, kwa nini nimepoteza interest na front porch yangu Don Bosco sionekani tena siku hizi?
I have got bigger fish to fry on Wall St.
Watu wamepeleka probes mpaka Pluto.
Voyager I na Voyager II zimeshavuka na kutoka nje ya solar system
Voyager - Mission Status
watu wanatafuta jinsi ya kwenda Alpha Centauri, mtu anauliza kwa nini hawajaenda mwezini tena?
Mtu anakwambia kwenye mwezi kunasikika mwangwi.
Kwenye mwezi hakuna hewa, ili usikie mwangwi unahitaji hewa. Huo mwangwi utausikiaje bila hewa?
Hizi ni conspiracy theories za kitoto kufurahisha watu wanaotaka kutunga science fiction bila ya kusema hilo.
Huja address points zangu.Vyombo kadhaa vimekuwa vikitumwa angani na Nchi mbalimbali hasa USA na USSR (Russia) but ukweli unabakia kuwa, huwa wanatuma vyombo visivyo na wanaanga (unmanned spacecrafts). So, urushwaji wa wanadamu kwenye Mwezi bado ni extraordinary licha ya kupita miaka 50 Sasa.
Kwani uhai wa duniani wa kutegemea hewa, ndio huo huo unaoweza kutumika na extra-terrestrial intelligent beings?Swali la kwanini Wamarekani wamepoteza interest na mwezi, ni sawa uniambiemimi mtoto wa Upanga ambaye sasa hivi naishi New York, ambaye nilikulia kwenda kuangalia sinema, kurekodi muziki na kucheza basketball Don Bosco, kwa nini nimepoteza interest na front porch yangu Don Bosco sionekani tena siku hizi?
I have got bigger fish to fry on Wall St.
Watu wamepeleka probes mpaka Pluto.
Voyager I na Voyager II zimeshavuka na kutoka nje ya solar system
Voyager - Mission Status
watu wanatafuta jinsi ya kwenda Alpha Centauri, mtu anauliza kwa nini hawajaenda mwezini tena?
Mtu anakwambia kwenye mwezi kunasikika mwangwi.
Kwenye mwezi hakuna hewa, ili usikie mwangwi unahitaji hewa. Huo mwangwi utausikiaje bila hewa?
Hizi ni conspiracy theories za kitoto kufurahisha watu wanaotaka kutunga science fiction bila ya kusema hilo.
yeah sure bt wanaohoji hapa wengi wanauliza kuwa binadamu anawezaje pita through van allen radiation belts, sasa lazima waseme kwanza kwe hio belts kuna aina gani ya radiation ambayo haiwezekani kujikinga nayo? maana hata hizo unmanned probe zilizokwenda mars and beyond kiukweli lazima zikingwe pia coz zile charged particles za pale zinaweza tibua mambo kwe zile computer za hizo probeVyombo kadhaa vimekuwa vikitumwa angani na Nchi mbalimbali hasa USA na USSR (Russia) but ukweli unabakia kuwa, huwa wanatuma vyombo visivyo na wanaanga (unmanned spacecrafts). So, urushwaji wa wanadamu kwenye Mwezi bado ni extraordinary licha ya kupita miaka 50 Sasa.