kwanini unadhani uwezekano wa kwenda mwezini haupo? hebu leta hivyo vifungu vya dini yako tujisomee wenyewe
je sababu ni kuwa huko mwezini ni mbali au sababu hasa ni ipi?
Kwanza nakurekebisha kauli,mimi sio kwamba nadhani,bali nina uhakika hali wa shani zoezi hilo la mtu kwenda mwezini halieezekani na halitowezekana.
Zifuatazo ni sababu :
1. Allah aliyetukuka ameweka vizuizi katika anga lake kwa hekima,kwanza kuzuia majini wasiende kuchukua siri,ndio maana huwa wanapigwa na vimondo,japokuwa wana sayansi vichwa mchunga hikataa bila kuleta ushahidi wowote.
Rejea aya hizi kuona katazo : al-Furqan : 61,as-Saffaat : 6-10,al-Hijr : 17,al-Jinn : 8-9.
2. Pili katika hadithi hassan,mtume anasema umbali wa kutoka duniani (ardhini) kwenda mbinguni ni miaka 73,hii ni kwa umbali wa juu zaidi.
Sasa wao huchukua masiku kadhaa kufika huko,na kwa wao wanavyo dai mwezini hakuna gravity,sasa wanawezaje kutembea au kufanya shughuli zao hali ya kuwa hakuna gravity.
Lakini kwao wao vile vita vya mataifa mawili (Urusi na Marekani),ndio viliwapelekea kuigiza tukio hili la uongo huko marekani katika eneo liitwalo "Area 51"
Ona sasa jinsi nyakati zilivyowaumbua.
Kama utakuwa na maswali juu ya hizo aya utaniuliza ili nikupe ufafanuzi zaidi.
Na Allah anajua zaidi.