Je, Mwezi ni Chombo kilichowekwa na Aliens kutupeleleza? Mbona ni miaka 50 tangu USA mwaka 1969?

Je, Mwezi ni Chombo kilichowekwa na Aliens kutupeleleza? Mbona ni miaka 50 tangu USA mwaka 1969?

Kaka

Ukweli ni kwamba hakuna mtu aliyewahi kwenda mwezini,na mimi sikuhitaji sayansi inionyeshe kwamba ni kweli kwamba mtu hakwenda mwezino,bali mafundisho ya dini yangu yalinionyesha kutowezekana kwa binadamu kwenda mwezini..
kwanini unadhani uwezekano wa kwenda mwezini haupo? hebu leta hivyo vifungu vya dini yako tujisomee wenyewe

je sababu ni kuwa huko mwezini ni mbali au sababu hasa ni ipi?
 
The moon landing was a lie. Humans have never been to the moon. Wamarekani walitengeneza movie tu, bahati mbaya dunia ikaamini!
 
Wenyewe wanasema zaidi hapoView attachment 817934
kutakuwa na kitu cha kuambatanishwa kwenye soli kilicho acha alama hizo kama ambavyo hilo vazi hapo kwenye mikono lazima paunganishwe na kipande kingine pindi mtu avaapo hebu cheki picha hii
IMG_20180724_234849_466.JPG

contradiction kubwa ni kuhusu bendela wanasema huko kuna upepo wa kuifanya ipepee kama hivyo? hebu tizama picha hapa chini
IMG_20180724_235335_969.JPG
 
The moon landing was a lie. Humans have never been to the moon. Wamarekani walitengeneza movie tu, bahati mbaya dunia ikaamini!
je ni kwasababu hatuna technology ya kufika huko au?
 
The moon landing was a lie. Humans have never been to the moon. Wamarekani walitengeneza movie tu, bahati mbaya dunia ikaamini!
lakin nchi zenye reputation kubwa kwe maswala ya anga kama russia hawajawahi dispute anything kuhusu moon landing wewe unasimamia wapi unaposema kuwa ni lie? toa sababu mkuu......vipi kuhusu international space stations(ISS) na sattelites zngne zlrudhwazo kila siku ni uongo? wanafaidika nini kutumia matrilioni ya pesa ili tu kudanganya mkuu tujuzane
 
Mwezi unauhusiano wa moja kwa moja na dunia,kuanzia kwenye rotation, tidal changes, gravitational pull etc mwezi usingekuwepo hata siku ingekua na masaa 6 kwasababu mwezi ndio unaslow down rotation ya earth, kusema kuna viumbe vimeuweka hapo ulipo hilo jambo linautata mkubwa.
 
kutakuwa na kitu cha kuambatanishwa kwenye soli kilicho acha alama hizo kama ambavyo hilo vazi hapo kwenye mikono lazima paunganishwe na kipande kingine pindi mtu avaapo hebu cheki picha hii
View attachment 817960

contradiction kubwa ni kuhusu bendela wanasema huko kuna upepo wa kuifanya ipepee kama hivyo? hebu tizama picha hapa chini
View attachment 817974
Contradictions zipo nyingi sana juu ya moon landing, mojawapo ni
Katika picha zao walizopiga hakuna nyota zilizoonekana angani angalia picha hizi
apollo-11-earth-rise-over-the-moon-july-20-1969_a-l-9632239-8363151.jpg
images%20(14).jpeg
 
Hizo chuki zao tu kisa Neil Armstrong alibadili dini na kuwa muislamu.
Pia ukiangalia kwenye picha hii wanasema kwamba eneo ambalo amesimama ukiangalia kwa nyuma ni mita chache tu eneo linaonekana kama limefika ukingoni na ukiangalia kutoka kwenye reflection ya helment yake utaona kwa mbele pia ni mita chache tu eneo kama linaenda ukingoni, je surface of the moon ni ndogo kiasi hicho?
b28f462251bc6d32ded41f2e7010c0d2--flat-earth-proof-globe-earth.jpg
images%20(15).jpeg
 
Pia ukiangalia kwenye picha hii wanasema kwamba eneo ambalo amesimama ukiangalia kwa nyuma ni mita chache tu eneo linaonekana kama limefika ukingoni na ukiangalia kutoka kwenye reflection ya helment yake utaona kwa mbele pia ni mita chache tu eneo kama linaenda ukingoni, je surface of the moon ni ndogo kiasi hicho?View attachment 818026View attachment 818028
Nakwambiaje hizo chuki za Wamarekani kisa jamaa aliamua kuwa muislamu.
 
Nakwambiaje hizo chuki za Wamarekani kisa jamaa aliamua kuwa muislamu.
Kumbuka huyo Neil Amstrong ni mmarekani na serikali yao ilitumia kiasi kikubwa sana cha fedha (iwe kweli au uongo lakini bajeti ipo indicated)kwa ajili ya tukio hilo so sio rahisi wao wenyewe kutoa taarifa kama hizo kumchafua kisa kabadilika na kuwa muislamu kwa sababu moon landing iliwapelekea heshima sana katika nyanja ya teknolojia. Kumchafua Amstrong ni kuchafua taifa zima la marekani so wasingejichafua wenyewe
 
Kumbuka huyo Neil Amstrong ni mmarekani na serikali yao ilitumia kiasi kikubwa sana cha fedha kwa ajili ya tukio hilo so sio rahisi wao wenyewe kutoa taarifa kama hizo kumchafua kisa kabadilika na kuwa muislamu kwa sababu moon landing iliwapelekea heshima sana katika nyanja ya teknolojia. Kumchafua Amstrong ni kuchafua taifa zima la marekani so wasingejichafua wenyewe
Unaelewa unachokisimamia?
 
kwanini unadhani uwezekano wa kwenda mwezini haupo? hebu leta hivyo vifungu vya dini yako tujisomee wenyewe

je sababu ni kuwa huko mwezini ni mbali au sababu hasa ni ipi?
Sababu moja wapo inayosemekana ni ukanda wa high radiation rays ujulikanao kama Van Allen Radiation Belt, wanasema hakuna chombo chochote wala teknolojia mpaka sasa iliyofanikiwa kutengeneza chombo kitakachoweza kuwithstands miale hiyo. Hivyo hata apollo 11 isingeweza kupita hapo kuelekea mwezini. Ukipata wasaa tafuta kwa undani ukanda huo wa miale
 
Wapi hujaelewa maana naona unalazimisha kuweka dini kwenye jambo ambalo hata halijitaji udini. Mimi nasimamia kwamba safari ya kwenda mwezini ni fake ila sio kwa sababu ya Amstrong kubadili dini na kuwa muislamu.
Jiulize nani aliyesambaza kwamba hiyo safari ni feki. Jiulize kwa nini jamaa aliposilimu alikuwa akiishi maisha ya kujificha ficha.
 
kwanini unadhani uwezekano wa kwenda mwezini haupo? hebu leta hivyo vifungu vya dini yako tujisomee wenyewe

je sababu ni kuwa huko mwezini ni mbali au sababu hasa ni ipi?

Kwanza nakurekebisha kauli,mimi sio kwamba nadhani,bali nina uhakika hali wa shani zoezi hilo la mtu kwenda mwezini halieezekani na halitowezekana.

Zifuatazo ni sababu :

1. Allah aliyetukuka ameweka vizuizi katika anga lake kwa hekima,kwanza kuzuia majini wasiende kuchukua siri,ndio maana huwa wanapigwa na vimondo,japokuwa wana sayansi vichwa mchunga hikataa bila kuleta ushahidi wowote.

Rejea aya hizi kuona katazo : al-Furqan : 61,as-Saffaat : 6-10,al-Hijr : 17,al-Jinn : 8-9.

2. Pili katika hadithi hassan,mtume anasema umbali wa kutoka duniani (ardhini) kwenda mbinguni ni miaka 73,hii ni kwa umbali wa juu zaidi.

Sasa wao huchukua masiku kadhaa kufika huko,na kwa wao wanavyo dai mwezini hakuna gravity,sasa wanawezaje kutembea au kufanya shughuli zao hali ya kuwa hakuna gravity.

Lakini kwao wao vile vita vya mataifa mawili (Urusi na Marekani),ndio viliwapelekea kuigiza tukio hili la uongo huko marekani katika eneo liitwalo "Area 51"

Ona sasa jinsi nyakati zilivyowaumbua.

Kama utakuwa na maswali juu ya hizo aya utaniuliza ili nikupe ufafanuzi zaidi.

Na Allah anajua zaidi.
 
lakin nchi zenye reputation kubwa kwe maswala ya anga kama russia hawajawahi dispute anything kuhusu moon landing wewe unasimamia wapi unaposema kuwa ni lie? toa sababu mkuu......vipi kuhusu international space stations(ISS) na sattelites zngne zlrudhwazo kila siku ni uongo? wanafaidika nini kutumia matrilioni ya pesa ili tu kudanganya mkuu tujuzane

Sasa hilo swali inabidi uwaulize wao,hivi wanafaidika na nini kuudanganya umma ?
 
Jiulize nani aliyesambaza kwamba hiyo safari ni feki. Jiulize kwa nini jamaa aliposilimu alikuwa akiishi maisha ya kujificha ficha.
Ukijaribu kupitia vyanzo mbali mbali vya wailsamu wenyewe wamekanusha kwamba Armstrong hakubadili dini na kama alibadili hakuna reliable source inayoonyesha kwamba alibadili dini. Wenyewe wanasema ni fabricated stories to make the religion famous. Zaidi soma hapa
Is the story that the astronaut Neil Armstrong became Muslim true? - islamqa.info
Na pia mtandao mwingine wa waislamu wa answering-islam wameongea the same thing
Screenshot_2018-07-25-01-09-33.jpg
Screenshot_2018-07-25-01-09-51.jpg
Screenshot_2018-07-25-01-08-34.jpg

Pia katika mtandao wa wikipedia nao wanasema
 
Attachments

  • 20180725_011903.png
    20180725_011903.png
    110.2 KB · Views: 47
Back
Top Bottom