Je, Mwezi ni Chombo kilichowekwa na Aliens kutupeleleza? Mbona ni miaka 50 tangu USA mwaka 1969?

Je, Mwezi ni Chombo kilichowekwa na Aliens kutupeleleza? Mbona ni miaka 50 tangu USA mwaka 1969?

You can question anything, that is not the point.

The point is, how are you questioning? From what context? What are your justifications? What logic do you use? What is your epistemology? Are you making testable predictions to support your critique?

For example, one can question if East is East and West is West. If your foundation is lack of arbitrariness, yes, all these sides are arbitrary and therefore not sacred.

But, if you want to circumnavigate the world, you damn well better have another way before discarding these established conventions.

So, with that in mind, how do you question gravity? Do you dispute Einstein's general theory of relativity?

How do you question the theory of reality?
damn true..
 
Umejibu kifizikia zaidi.

Hapo mtu itabidi atafute gravity mwezini, ukubwa wa bendera, material yake, uzito wake, jinsi ilivyofungwa,na jinsi uhusiano wa vyote hivyo utakavyofanya bendera ifanye.
Marekani!
ni kweli mkuu sa unafikiri utalezaje issue ya ile bendera kuonekana vile? some basic understanding kwe pysics sometime inahitajika kwakweli
 
"Watu wanagalaxy" ndo uthibitisho wa uwepo wa Mungu kutokuwepo?
"Uwepo wa Mungu kutokuwepo" ndiyo dubwana gani hilo?

Mungu ni nini? Unaposema Mungu unamaanisha nini?

Kuna watu wanaamini Beyonve Knowles ni Mungu. Kwao. Beyonce Knowles yupo au hayupo?
 
"Uwepo wa Mungu kutokuwepo" ndiyo dubwana gani hilo?

Mungu ni nini? Unaposema Mungu unamaanisha nini?

Kuna watu wanaamini Beyonve Knowles ni Mungu. Kwao. Beyonce Knowles yupo au hayupo?
Unauliza Mungu ni nini? Mungu ni roho.

Namaanisha Mungu ni roho.

Nani ana amini Beyonce ni mungu? Unadhani sifa za kitu kuwa mungu ni zipi?

Je Wewe unaweza kuwa mungu?
 
Hizi si zama za kukubali kushindwa kirahisirahisi kwa hoja nyepesi za "wazungu waache".

1. Kulishana matangopori ni sehemu ya ubinadamu katika kutafuta kutawala wengine. Mchezo huo wala hawajaanza wazungu. Wakati wazungu wanatangatanga katika mapango ya Ulaya hawajui hata kuandika wala kuvaa nguo, Wababeli na Wamisri walishakuwa na falme kubwa, hawa hawakuwa wazungu.

2. Habari nyingi zinazosemwa za "wazungu" si za wazungu haswa, ni habari zilizopokewa nao na kufanyiwa maboresho. Hivyo, hata sisi leo tunaweza kupitia habari zile zile ambazo tumezipata tena kutoka kwao tukaziboresha. Ukifuatilia historia ya ujuzi wa kisayansi utaona kuna mstari wa moja kwa moja kutoka maendeleo ya leo ya nchi za magharibi (Ulaya na Marekani) unaorudi nyuma kwenye ufalme wa Uingereza na Ufaransa ya "Ancien Regime" na kurudi nyuma kwenye falme za Warumi na kabla ya hapo Wagiriki, na Wagiriki walitoa habari za ujuzi wao Misri (Pythagoras na Eratosthenes etc wote walisoma Misri).Ukimsoma Cheik Anta Diop utaona kwamba utanashati wa Misri kielimu, ulitoka kusini ukaja kaskazini,hususan na mto Nile. Kwa maneno mengine, hata hao Wazungu unaowaona wajanja, ujanja wao wameutoa Afrika.

3. Ukisoma hesabu utakuta maneno mengi yenye msingi wa kiarabu (algebra, cube has the same root as al-qabba etc). Similarly terms like alkali in Chemistry are of Arabic etymology. Hiyo "alphabet" ya leo ya magharibi,neno "alphabet" limetokana na herufi za mwanzo za Kiarabu, alif baa taa.

There is a whole Wiki on this
Mathematics in medieval Islam - Wikipedia

Alchemy and chemistry in medieval Islam - Wikipedia

4. The Chinese were very advanced,they discovered many things, including gunpowder, before the west. Then they got cocky and said since they are the center of civilization, they don't need to travel, the world needs to come to them. That was the beginning of their downfall.Some accounts place the Chinese in America before Colombus. They came to Africa before Vasco da Gama.

Six Centuries Ago, Chinese Explorers Left This Coin Behind in Africa | Smart News | Smithsonian

What happenned?

They got complacent and gave up constant reinvention and seeking for knowledge.

To stay at the top, one must constantly be reinventing oneself and seeking for knowledge.

5. Not all the blame to go around is attributable to Wazungu, we have been free of colonialism for over 50 years now, surely some of this misery is due to our own making.



So this whole thing about Wazungu this, Wazungu that is whinning on many levels.

1. The whole wazungu thing is a big myth, if you analyze the history of decolonization and WWII you will see "Wazungu" is a collective to us outsiders, to them, they all have their internal natinalstate and ethnic beefs just like everybody else. They are not monolithic.

2. Even if they were monolithic, they did not get there by themselves.They did not always have the advantages they currently have. They struggled to better their situations, so can you.

3. The struggle nowadays is largely shifting from "wazungu vs weusi" to "the haves vs the have nots".Even Wazungu have poor people and blacks have millionaires. Donot get stuck in a utopian dichotomy of "wazungu vs weusi" while the real dichotomy is "the haves vs the have nots"

4. The world is understandable. Start by this ground rule. If some mzungu is lying, we can figure that out. ll we have to do is work to get the tools we need to do this, that tool is knowledge.

5.A paradigm shift could swing the pendulum of change anywhere. It is not written in stone that a certain kind of people will always be at the top. Therefore, be sure to be prepared in case you are flung to a position that could make a difference.
meeeen your geniuz at least among many african your head is not empty , this war is not about mazungu vs waafrica its about who have vs who doesn't
 
meeeen your geniuz at least among many african your head is not empty , this war is not about mazungu vs waafrica its about who have vs who doesn't
Ndiyo maana kuna wazungu mpaka leo wanakuja Afrika, wanasaini mikataba ya kuibia nchi za Waafrika, wanasaini na "ndugu zetu" viongozi wa Afrika, wanawakatia cha juu.

Sisi tunabaki tumeumizwa.

Halafu huko Ulaya, kuna watu kama kima Clare Short, viongozi wa Ulaya, wanatuonesha wananchi wa Africa jinsi serikali zetu zinavyofuja fedha za walipakodi kwa madili ya ajabu kama BAE, mpaka BAE anarudisha hela serikali ya Tanzania.

Sasa hapo ukija kichwakichwa na habari za "Wazungu vs Waafrika" utawapaka rangi nzuri viongozi wetu waliotuuza, kwa sababu ni weusi wenzetu, halafu utamsema vibaya Mama Clare Short, kwa sababu mzungu.

Bila kuangalia mchezo mzima ulivyochezwa.

Huyu Mama ilitakiwa Dar es salaam mtaa mmoja upewe jina lake kwa heshima aliyoifanya kupigania hela ya Tanzania irudishwe, mpaka ikarudishwa. Yani mama mzungu kapandisha kisirani dhidi ya serikali yake ya Uingereza, hataki ujinga, mpaka katoka uwaziri. Kawa mzalendo on principle Tanzania irudishiwe hela kuliko viongozi wa Tanzania wenyewe.

Mama kaichamba serikali yake mwenyewe ya Uingereza, ambayo alikuwa Waziri, na uwaziri akaachia, kwa kisa cha serikali yake ku support deal chafu kati ya BAE na serikali ya Tanzania.

Leo hii watoto wanaokua wangapi wanamjua Clare Short? Huyu mama ni "a profile in courage" katika kuonesha ni vipi kiongozi anatakiwa kusimamia haki bila kujali manufaa ya wizi anapata nani.

Ukinipa simplistic narrative kwamba "wazungu wabaya" na Clare Short ni mmoja wa wazungu hao, kimantiki, nitaanzaje kukubali hiyo simplistic narrative?

Clare Short | BAE's government-backed rip-off

BAE's government-backed rip-off
Clare Short

Despite my opposition, BAE won a contract that milked Tanzania of millions. Let it now answer the charge of the bribery
Thu 1 Oct 2009 13.30 EDT First published on Thu 1 Oct 2009 13.30 EDT


The decision of the Serious Fraud Office to recommend prosecution of BAE Systems is to be welcomed. Britain's record in implementing the international convention that makes it illegal to offer a bribe to a public official abroad has been very weak. And I know from my involvement as international development secretary in one of the four cases where the SFO is recommending prosecution, the sale of an air traffic control system to Tanzania, that the record of BAE looks very grubby indeed.
I bumped into this saga in 2000 when we were proposing a big increase in aid to Tanzania in order to help fund universal, free primary education. One of the Department for International Development officials then informed me that an old proposal for the sale of a military air traffic control system, which had been blocked many years earlier, had re-emerged. The old proposal had been divided by BAE into two phases in order to make it appear cheaper.

My problem was that the increased aid would end up paying the BAE bill. Tanzania had recently received debt relief and one of the conditions was that it would not borrow money except on concessional terms such as those available from the development banks. Yet this project was to be funded by a loan from Barclays bank, which claimed to be concessional. Since Barclays is a commercial company, it did not seem credible that they would offer loans below market prices. The suspicion was that they had simply inflated the price and then pretended the loan was concessional.
The local representative of the World Bank therefore asked the International Civil Aviation Organisation to report on the project. The report said that the system was very old technology and was military, not civil. Tanzania had no use for such a system. It did need better civil air traffic control to improve tourism. A loan was available from the European Investment Bank to install a state-of-the-art system for Tanzania and its two neighbours that cost less than half the BAE system.

Read more

At that stage, there was no evidence of bribery but it seemed obvious to me that such a lousy deal could only be explained by corruption. Later, the Guardian exposed evidence of the bribe.

I did all I could to get the government to refuse an export licence. New Labour came to power on a commitment to tighten up on arms sales. Robin Cook had therefore negotiated an EU-wide deal that banned the sale of equipment that threatened aggression, repression or sustainable development. Clearly, this proposal threatened the development of Tanzania, which is one of the poorest countries in the world. My case was strong, but Tony Blair supported BAE, as always, and other ministers would not stand up to him. To our shame, the export licence was granted.

The evidence in this case must be aired in court. BAE must be prosecuted and then an inquiry held to ensure that no future British government supports dirty deals of the type that I am convinced this was.
 
Last edited:
Unauliza Mungu ni nini? Mungu ni roho.

Namaanisha Mungu ni roho.

Nani ana amini Beyonce ni mungu? Unadhani sifa za kitu kuwa mungu ni zipi?

Je Wewe unaweza kuwa mungu?
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo? Unaweza kuthibitisha roho ipo?

Nani anamini Beyonce ni Mungu? Somahapa Beyonce Inspired Religion: 'The National Church of Bey' Opens in Georgia with Hundreds in Attendance to 'Worship The Sanctity of Mother Bey' (VIDEO)

Mimisiamini na sikubali habari za kuwepo Mungu, nimekwambia hapo juu, unaniuliza sifa za kitu kuwa Mungu, hilo swali wewe uniulize mimi nisiyeamini Mungu au mimi nikuulize wewe unayeamini Mungu?

Unaposema Munguni roho, wewe una roho? Kama unayo, wewe ni Mungu?
 
Naandika Kiswahili iki kuongeza uwazi.

Ukikosea, ni uungwana kukubali unaposahihishwa.

1. Umekosea kuitaja spidi ya mwanga. Ninekusahihisha. Kubali.

2. Umekosea kusema galaxies "zinapanuka" kwa speed kuliko speed ya mwanga.

3. Unakosea kusema kwamba sababu ya sisi kutoweza kufika galaxy nyingine ni exoansionnof the universe. Tatizo letu ni aina ya energy tutakayotumia na chombo cha kuweza kusafiri umbali huo.

Unapoandika it sont happen fir humanity to catch a glimpse of other galaxies naona labda una matatizo ya kiingereza au astronomy.

Watu wanaona galaxies kila siku mbona?

In fact, unaweza kuina galaxies fulani bika hata kutumia telescope.

Pur neighbor Andromeda is a good example.
Can you see other galaxies without a telescope?
Naona hatukuelewana kwenye kiingereza, nimetumia neno glimpse siyo kwa purpose ya kuona bali kufika. Nitakushangaa pamoja na yote niliyoandika humu wewe unifundishe kuwa galaxy fulani inaonekana. Kwako unaona ni kitu cha ku-focus ila hukujifikiria kwa nini nimeweka distance kuwa kikwazo cha kuzifikia hizo galaxies - maana yake nafahamu vyema sayari na galaxy iliyofahamika tangu enzi za Greek Civilisation. Mtu akikwambia alimwashia taa kwenye mashindano, utaelewa kuwa kweli alimwashia taa? Usifanye vitu simple kuvilazimisha kuwa complex. Wala usidhani kuwa, sina uelewa na ninavyoongea. Ndo maana nilisema ni Conspiracy Theory, probably hujui maana yake, ndio maana umekazania fact ambazo kila mtu anazijua. Am interested with the new approaches, not merely traditional ones which had been in use since the Enlightenment Period.
Wenzako tunasumbukia kuona namna Theory zilizo-define Sayansi (Gravity), pamoja na Philosophy (Reality), zinavyokosolewa, Wewe umekomalia copy and paste za madarasa tuliyokwisha maliza zamani.
 
Naona hatukuelewana kwenye kiingereza, nimetumia neno glimpse siyo kwa purpose ya kuona bali kufika. Nitakushangaa pamoja na yote niliyoandika humu wewe unifundishe kuwa galaxy fulani inaonekana. Kwako unaona ni kitu cha ku-focus ila hukujifikiria kwa nini nimeweka distance kuwa kikwazo cha kuzifikia hizo galaxies - maana yake nafahamu vyema sayari na galaxy iliyofahamika tangu enzi za Greek Civilisation. Mtu akikwambia alimwashia taa kwenye mashindano, utaelewa kuwa kweli alimwashia taa? Usifanye vitu simple kuvilazimisha kuwa complex. Wala usidhani kuwa, sina uelewa na ninavyoongea. Ndo maana nilisema ni Conspiracy Theory, probably hujui maana yake, ndio maana umekazania fact ambazo kila mtu anazijua. Am interested with the new approaches, not merely traditional ones which had been in use since the Enlightenment Period.
Wenzako tunasumbukia kuona namna Theory zilizo-define Sayansi (Gravity), pamoja na Philosophy (Reality), zinavyokosolewa, Wewe umekomalia copy and paste za madarasa tuliyokwisha maliza zamani.
Ndiyo maana nikasema niandike Kiswahili kwa uwazi zaidi.

Kwa sababu umetumia neno "glimpse", linalomaanisha kuona, kwa kumaanisha kufika.



Hata mimi niliona kimantiki huenda una matumizi mabaya ya maneno ya Kiingereza, ngoja nikuondoe kwenye Kiingereza ambako unanichanganyachanganya ukiandika "glimpse" sielewi unamaanisha kuona au kufika, nikusogeze kwenye Kiswahili.

Hutakiwi kuniambia "Galaxy ya Andromeda huwezi hata kuichungulia" kwa kumaanisha siwezi kuifikia.

Naweza kuwa siwezi kuifikia, lakini kuichungulia naweza, tena bila hata telescope.

Sasa ukisema siwezi hata kui "glimpse" kwa maana ya kwamba siwezi kuifikia, hapo kuna mawili.

1. Una matatizo ya msamiati na matumizi mazuri ya maneno ya Kiingereza. Sehemu ya kusema "reach" kwa maana ya kufikia umetumia neno "glimpse" kwa maana ya kufikia. Umeharibu, umetumia "kuchungulia" badala ya "kufikia" huku ukimaanisha kufikia.

2. Labda huna matatizo ya msamiati wa Kiingereza, una matatizi ya nidhamu ya matumizi ya lugha kimantiki. Huna nidhamu. Unajua neno "reach", lakini unatumia neno "glimpse" sehemu ya reach kwa sababu ya ushairi usio na tija unaochanganya wasomaji wako.

Pia,

Wewe hujui hata speed of light. Umeikosea. Ninekukosoa.

Hata kushukuru umekosolewa hujashukuru.

Unabishana kwamba neno "glimpse" halijabadilisha maana nzima ya ulichoandika.

Kitu kingine umedanganya umeandika galaxies zinajitanua kwa speed kuzaidi ya speed ya mwanga. Nimekusahihisha kwa namba. Umejibaraguza kama hujaona.

Unapokosea, ukakosokeea, kubali.

Kuna watu wanafuatilia hapa wanajifunza unaweza kuwapotosha.
 
Last edited:
Wazungu wako mars the next level, sisi tuendelee kukalia kuwa hawajafika mwezini
 
Wazungu wako mars the next level, sisi tuendelee kukalia kuwa hawajafika mwezini
Voyager 1 and 2 za Wamarekani zimeshatoka kwenye Solar System.

Ukiwaambia wapo Mars watu hawa unawashusha.

Halafu si "wazungu". Wamarekani. Wapo watu wa kutoka kila sehemu ya dunia.

Hata simu ukisikia Kiranga Mnyamwezi wako nawakilisha Bongo chama la NASA (hata kwa ufagizi tu, si lazima niruke angani, kwanza nina ngiri kubiringita zero gravity siwezi) usishangae sana.
 
Last edited:
sas mkuu kama vyombo vinatumwa vinafika kwann binadamu asifike? umbali kati ya dunia na mwezi ni km 384,000 tu pana umbali gani hapo wkati watu wametuma vyombo mpk kwe orbit ya jupiter huko karibu KM milioni 300 na zaidi
Umewashuhudia wakifanya iyo safari????!?
 
aisee yaan sijui itakuwaje...ila unajua hizi galaxies zina mtindo wa kumove pia huwa zinamerge..mfano wanasayansi wanadai kuwa hii galaxy yetu ilikuwa na sibling wake enzi hizo ila sema ilimerge na galaxy nyingine, pia kuna nyota zngne inasemekana zina nguvu mara laki tano zaidi ya jua letu sasa nyota kama hio ikisogea karibu na solar system yetu usishangae ikapokonya baadhi ya sayari aisee..najaribu tu kuimagine
Usiburuzwe kifikra jiongeze ww sio mdori japo kila kitu umekikuta.
 
Back
Top Bottom