KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Hapa Monduli, wanachinjwa ng'ombe wasio na idadi, mbuzi na kondoo kwa fujo. Wachinjaji ni wenzetu Wamasai, wanyama wanachinjwa kimila hamna kugeuziwa Quibla, wala MAKA, hamna cha Bismillah al-Rahman al-Rahim wala nini. Watu kama wamejitoa ufahamu wa mafundisho ya vitabu vitakatifu, ni mwendo wa kula nyama kwa fujo.
kimsboy, The Boss, THE BIG SHOW, na FaizaFoxy wanakandamiza minofu Kisukuma.
LOWASSA buriani, tutakukumbuka daima.
kimsboy, The Boss, THE BIG SHOW, na FaizaFoxy wanakandamiza minofu Kisukuma.
LOWASSA buriani, tutakukumbuka daima.