Je Mwislam kula nyama iliyochinjwa na Mkristo ni dhambi?

Je Mwislam kula nyama iliyochinjwa na Mkristo ni dhambi?

Hapa Monduli, wanachinjwa ng'ombe wasio na idadi, mbuzi na kondoo kwa fujo. Wachinjaji ni wenzetu Wamasai, wanyama wanachinjwa kimila hamna kugeuziwa Quibla, wala MAKA, hamna cha Bismillah al-Rahman al-Rahim wala nini. Watu kama wamejitoa ufahamu wa mafundisho ya vitabu vitakatifu, ni mwendo wa kula nyama kwa fujo.
Niliuliza hili swali jana nikaambiwa itifaki zimezingatiwa
 
Back
Top Bottom