GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ni matumaini yangu Makubwa kuwa hizo Helicopter huwa zinakuwa Salama na zinafanyiwa Matengenezo makubwa kwani kwa mwaka huu Watanzania hatuhitaji Kuomboleza tena.
Halafu wala msihangaike kwenda huko Avic Town Kigamboni ilipo Yanga SC Kisirisiri kwani wengine tunawajua hata mlivyokuwa Uongozini 2005 hadi 2015 mlikuwa ni wana Yanga SC na mpaka sasa mnaipenda mno huku mkihaha kwa kila namna kwa kutumia 'influence' zenu ( japo mmeshastaafu ) ili mwaka huu iwe isiwe wawe Mabingwa.
Sijui na Rais Hayati Dkt. Magufuli nae angestaafu kwa Mapenzi yake makubwa kwa Simba SC ( Timu iliyobarikiwa Kimafanikio na Mwenyezi Mungu ) nae angekuwa anatoka Chato Mkoani Geita na Helicopter 'Kisirisiri' kwenda Kambini Bunju Mo Arena kuonana na Wachezaji, kula nao Bata na kuwapa Pesa nyingi tu huku akiwataka wahakikishe Wanabeba Ubingwa kwani japo amestaafu ila nchi bado ipo mikononi mwake na aliyeko Magogoni na Chamwino anammudu.
Mzee hizo Helicopter unaziamini mno?