GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #41
Wasiwasi wangu Kwake ni Usalama tu wa hizo Chopper ambazo huwa anazitumia kwenda nazo huko Avic Town Kigamboni kwani Watanzania kwa mwaka huu hatutaki tena Kuomboleza Msiba wa Mwandamizi yoyote Mstaafu au aliyeko Kazimi sawa?Ila ukushangaa makonda alivyokua anashangilia simba waziwazi Tena anasema lazima itachukua ubingwa kabla hata msimu kuisha
Ila unasahu kikwete ni binadamu na ana hisia na anapenda mpira kosa lake ni lipi kushabikia Yanga unataka umpangie vitu vya kufanya katika maisha yake
Halafu ni kwanini huwa anafanya Usiri mkubwa akienda huko? Kwahiyo alidhani Watu wote walioko Yanga SC na hasa Wafanyakazi wa kule Avic Town Kigamboni iliko Klabu yake pendwa ni wana Yanga SC tu?
Mwambieni tunayajua mengi tu ayafanyayo juu ya Klabu hiyo akimtumia mno Waziri Mmoja ( mwana Yanga SC lia lia ) katika Wizara Muhimu iliyo mkabala na Chuo cha IFM Posta ( japo sasa Makao Makuu yake ) yako Mkoani Dodoma.