Je, na Rais Hayati Magufuli nae angestaafu angekuwa anaenda Bunju kwa 'Helicopter' kuiangalia Simba kama afanyavyo mwingine huko Kigamboni kwa Yanga?

Huna IQ ya Kuelewa Threads zangu hivyo wapishe Werevu wanaonielewa Wachangie na Wewe kwa Kubarikiwa Kwako na Upumbavu na Chuki zako dhidi yangu huenda ukajifunza Kitu.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE ( alias ) Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer sawa?

Huo Ugonjwa wa Akili unaosema ninao nadhani aliyekuleta duniani ndiyo anao zaidi yangu na ndiyo maana katuletea zawadi ya Certified Fool na Uncircumcised Baboon kama Wewe hapa Tanzania na JamiiForums pia.
Tukananeni lakini msisitukane sisi wazazi wenu. Hapo mzazi wa mtu ameingiaje katika malumbano yenu? Tafadhali heshim wazazi wa mwenzio kama unavyomheshim wazazi wako.
 
Ni matumaini yangu Makubwa kuwa hizo Helicopter huwa zinakuwa Salama na zinafanyiwa Matengenezo makubwa kwani kwa mwaka huu Watanzania hatuhitaji Kuomboleza tena.

Halafu wala msihangaike kwenda huko Avic Town Kigamboni ilipo Yanga SC Kisirisiri kwani wengine tunawajua hata mlivyokuwa Uongozini 2005 hadi 2015 mlikuwa ni wana Yanga SC na mpaka sasa mnaipenda mno huku mkihaha kwa kila namna kwa kutumia 'influence' zenu ( japo mmeshastaafu ) ili mwaka huu iwe isiwe wawe Mabingwa.

Sijui na Rais Hayati Dkt. Magufuli nae angestaafu kwa Mapenzi yake makubwa kwa Simba SC ( Timu iliyobarikiwa Kimafanikio na Mwenyezi Mungu ) nae angekuwa anatoka Chato Mkoani Geita na Helicopter 'Kisirisiri' kwenda Kambini Bunju Mo Arena kuonana na Wachezaji, kula nao Bata na kuwapa Pesa nyingi tu huku akiwataka wahakikishe Wanabeba Ubingwa kwani japo amestaafu ila nchi bado ipo mikononi mwake na aliyeko Magogoni na Chamwino anammudu.

Mzee hizo Helicopter unaziamini mno?
Ila ukushangaa makonda alivyokua anashangilia simba waziwazi Tena anasema lazima itachukua ubingwa kabla hata msimu kuisha

Ila unasahu kikwete ni binadamu na ana hisia na anapenda mpira kosa lake ni lipi kushabikia Yanga unataka umpangie vitu vya kufanya katika maisha yake
 
Hata wakiuondoa ila Ukweli nimeshauweka Hadharani hapa Mkuu na huyo Mstaafu ajue kuwa hakuna Siri hapa duniani na tunajua ni Mawaziri gani katika Serikali ya Rais Samia anawatumia ili kuhakikisha Yanga SC yake iwe isiwe inakuwa Bingwa na mpaka Pesa zingine za Hazina zinachomolewa na kwenda kuwapa Wachezaji wa Yanga SC.
Simba imechukua ubingwa Mara nne mfulululizo lakin Yanga hawakulalamika Leo hii yanga nafasi anayo Ila hajachukua ubingwa lakin mmeshaanza kumlalamikia na kumtafuta mchawi
 
Sentensi moja tu, helkopter unaziamini? Hapa ndio neno lilipo.
 
Ni matumaini yangu Makubwa kuwa hizo Helicopter huwa zinakuwa Salama na zinafanyiwa Matengenezo makubwa kwani kwa mwaka huu Watanzania hatuhitaji Kuomboleza tena.

Halafu wala msihangaike kwenda huko Avic Town Kigamboni ilipo Yanga SC Kisirisiri kwani wengine tunawajua hata mlivyokuwa Uongozini 2005 hadi 2015 mlikuwa ni wana Yanga SC na mpaka sasa mnaipenda mno huku mkihaha kwa kila namna kwa kutumia 'influence' zenu ( japo mmeshastaafu ) ili mwaka huu iwe isiwe wawe Mabingwa.

Sijui na Rais Hayati Dkt. Magufuli nae angestaafu kwa Mapenzi yake makubwa kwa Simba SC ( Timu iliyobarikiwa Kimafanikio na Mwenyezi Mungu ) nae angekuwa anatoka Chato Mkoani Geita na Helicopter 'Kisirisiri' kwenda Kambini Bunju Mo Arena kuonana na Wachezaji, kula nao Bata na kuwapa Pesa nyingi tu huku akiwataka wahakikishe Wanabeba Ubingwa kwani japo amestaafu ila nchi bado ipo mikononi mwake na aliyeko Magogoni na Chamwino anammudu.

Mzee hizo Helicopter unaziamini mno?
Yanga itachukua ubingwa kwa uwezo sio influence ya mtu
 
Hata wakiuondoa ila Ukweli nimeshauweka Hadharani hapa Mkuu na huyo Mstaafu ajue kuwa hakuna Siri hapa duniani na tunajua ni Mawaziri gani katika Serikali ya Rais Samia anawatumia ili kuhakikisha Yanga SC yake iwe isiwe inakuwa Bingwa na mpaka Pesa zingine za Hazina zinachomolewa na kwenda kuwapa Wachezaji wa Yanga SC.
Mkuu una maanisha yule Waziri anaevaa Bendera shingoni ambaye mwaka 2015 alichafua majabali kuwa yeye ndio namba MOJA wa nchi si ndio??!!Halafu mkuu mwaka wa Mapinduzi huu Sasa anazitumia chopa ni HATARI Sana kwani akipata hitilafu Hadi Mama nae atapata heart attack na kushindwa kuendeleza serikali take!!!
 
Nihali yamaisha ukichanganya naufinyu wamawazo kutaabika ndiokunafanya haya ytatokee
 
Ina maana Sana wala MOD isiiondoe mwache muhusika ajitetee kwa sababu yupo humu.
Nawashukuru sana JamiiForums Moderators huu Uzi wangu ambao nimeuanzisha Mahsusi kwa lengo la Kuibua, Kukemea na kutaka Usawa wa Watawala wetu na 'influence' zao ndani ya Michezo ( hasa kwa Klabu zao pendwa ) kwani kuna Hatari nimeanza kuiona kwa mbali na Wadau tusipokuaa makini ipo Siku itakuja Kutugharimu.

CARDLESS huu Uzi wangu kwa Chuki zako na Wivu wako wa Umaarufu wangu JF ambao ulitaka ( tena kwa Kushadadia ) kuwa Ufutwe na Mods ( Moderators ) sasa upo Ukurasa ( Page ) ya Pili je, una lolote la kusema?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE ( alias ) Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer sawa?
 
Tukananeni lakini msisitukane sisi wazazi wenu. Hapo mzazi wa mtu ameingiaje katika malumbano yenu? Tafadhali heshim wazazi wa mwenzio kama unavyomheshim wazazi wako.
Aliyekuambia Mimi pia ninayetukanwa siyo Mzazi nani? Mnafiki mkubwa na Foolish Wewe hebu nitokee hapa sawa?
 
Back
Top Bottom