Je, na Wagombea wengine wa 'Urais' nchini Tanzania nao watakuwa na 'Confidence' kubwa ya Kuongea Kiingereza na Balozi wa US kama alivyoweza Lissu?

Hivi si hata hizo sheria zetu zimeandikwa kwa kiinglish, hata tuki-kikwepa vipi lazima kihusike tu, nikama kenge anavyokimbia mvua na kukimbilia mtoni [emoji23]
 
Lissu aliitwa kimkakati..angalia Twitter Pompeo ana jambo lake katuma..coincidence???
 

Kwa mfano kama alienda China au Russia je? Nyerere alikuwa na yule mama wa kihindi kwa ajiri ya kumsaidia kifaransa.
Kwa ufupi, sioni lolote la maana kwenye haya mambo ya lugha, kwa kiongozi wa ngapi ya juu. Kama kipimo kingekuwa lugha, hao wamalawi wangelikuwa matajiri wakubwa sana
 
Hili la Lissu kuonana na kuongea na Balozi wa US hapa nchini, LIMEWAKUNA SANA? Mmeona kama vile "kipofu" kaona mwezi? Mbona haya ni ya kawaida sana kwa Comrade Magufuli na wakifika kwake ni Kiswahili kwa kwenda mbele na wanaelewana vizuri. Lakini kwa Lissu imekuwa story na issue kubwa humu JF, VIPI NYIE?
 
Kwani GENTAMYCINE huwezi kutoa hoja humu JF mpaka utukane, wewe vipi?
Hivi neno 'Pumbavu' ni Tusi? Watafute Watu wa BAKITA / TUKI ili 'Wakuelimishe' zaidi juu ya hilo neno kwani nimegundua nawe ni 'Mpumbavu' tu.
 
Labda kama balozi anaongea kisukuma
 
Kiingereza sio kipaumbele kwa sasa mkuu kwahiyo kama kuna mgombea anasema I was been in school aachwe mara mocha mura
 
"Si MNAYATAKA TUKIN'GOLEWA TUKIENGULIWA TUTAINGIA BARABARANI"

Tundu Lissu (Mzee Wa Faragha)

Mpka sasa wameshaenguliwa 500 🤣😂🤣😂 Hakuna hata iliengia Service Road wacha Barabarani
????
 
Hicho tulichokisikia kwenye mapokezi ya Chakwera basi tuishie hapo maana balozi hataelewa chochote anaweza kufikiri anafokewa bure balozi mzima! Hapana hapana tuishie hapo inatosha!
 
childish statement
 
Naona umedhamiria kujidhalilisha na kuwadhalilisha watu wa Chama chako. Watu wanajikita kwenye Mambo ya msingi wewe unaongea habari ya kingereza!

Punguani wahedi
 
Yale yale ya spoiled kids waliokwenda international schools.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…