Je, na Wagombea wengine wa 'Urais' nchini Tanzania nao watakuwa na 'Confidence' kubwa ya Kuongea Kiingereza na Balozi wa US kama alivyoweza Lissu?

Msichojua ni kuwa huyo balozi anajua kiswahili vizuri sana tena cha Zanzibari. Lugha sio tatizo kwake. Endeleeni kubabaika. Mtapata tabu sana
 
Shida ipo Sana hasa nyie mnaotukuza English...unadhani Putin anazungumza English? Unadhani marais wote wanazungumza English?
Unadhani huyo Putin degree zake amefanya kwa English au hao marais wengine. Mtu tangia form 1 hadi PhD anatumia english halafu hajui simple grammar and pronunciation kweli mtihani.
 
Usipojua English inakuondolwa uwezo wa kuongoza ?! Mawazo ya English, English, English ni ya kikoloni na ulimbukeni uliopitiliza...ni kasumba iliyopitiliza..ni lack of self confidence...kwamba eti ukijua English ndio umeelimika...
 
Ili kuonyesha tu kuwa Lugha ya 'Kiingereza' ni muhimu ndiyo maana hata Wewe pamoja na 'Kuichukia' bado umeitumia hapa katika Maelezo yako.
 
Kuna 'Mgombea' Mmoja hivi (bahati mbaya Jina lake limenitoka ghafla tu) nami natamani kweli kweli akishamaliza tu Ratiba yake ya Kugawa 'Kopi' za 'Vinyago' vyenye Mbuga zetu za Wanyama kwa Wageni wake Waalikwa basi nae akatishe zake aende Kupiga 'Stori' mbili tatu hivi na Balozi wa Marekani kama ambavyo leo 'Mgombea' Tundu Lissu amefanya.

Na huyu 'Mgombea' ambaye natamani nae akafanye hayo 'Mazungumzo' na Balozi huyo basi aruhusu 'Wanahabari' wote wamuweke 'Mubashara' kabisa ili Wananchi tumsikie nae akitema 'Ung'eng'e' wake ambao utamzidi alionao Tundu Lissu.

Na inasemekana kuwa huyu 'Mgombea' Yeye ndiyo 'Kihistoria' ameanza Kutangulia kwenda Ulaya mno hasa hasa Ujerumani kuliko Mwenzake Lissu.
Ukiwa unafikra ndogo basi heading yako itakuwa kama hii
"

Je, na Wagombea wengine wa 'Urais' nchini Tanzania nao watakuwa na 'Confidence' kubwa ya Kuongea Kiingereza na Balozi wa US kama alivyoweza Lissu?"​

Mimi siichukii English...naipenda...napenda lugha zote...kipare, kigogo, kijerumani, kirusi, kiswahili na kadhalika...lakini kutozungumza vizuri lugha hainisumbui kabisa...
 
Mwenyezi Mungu 'angekupendelea' na kukupa hata tu 5% ya 'IQ' yangu 'iliyotukuka' nadhani 'ungeringa' mno ila akakupa tu hiyo ya 0.03%. Pole!!
 
Hebu nitokee hapa 'Mpuuzi' na 'Mnafiki' mkubwa Wewe.
 
Unajibizana na kichaa mkuu.
Atajijuu mwenyewe...yaani Hawa wenzetu sijui wakoje...wakishindwa hoja wanakimbilia kwenye matusi na kejeli..hovyo Sana Hawa watu...Kila muda matusi na kejeli..kuna mtu amemwita Rais wetu mjusi...yaani huyu ana bahati Sana..
 
Lissu amewaaribu sana baadhi ya watanzania balozi ambae akiingilia mambo ya ndani ya Tanzania serikali inaweza mtimua kama walivyofanya kwa balozi wa UK kwenye sakata la Escrow.

Leo hii mmeanza aminishwa kupitia Lissu raisi au wagombea wa hiyo nafasi wanatakiwa wajipendekeze kwa mabalozi wa kigeni tena walio ndani ya Tanzania.

Siasa za wafuasi wa CDM ni hatari sana kwa national security propaganda za ndani. Fikra za jamii pia ni vita ya kila siku huko duniani ndio maana watu wana media ili wakupe view points zao. Halafu huku kwetu unakuta watu wanafanya kazi ya mabeberu bila ya kutambua tena kwa kutumia nguvu kweli.

Imagine media za US zitumie muda mwingi kuanza aminisha raia wake China is military strong kushinda nchi yao; that will never happen. Ilitakiwa tujiulize balozi anaweza communicate na raisi wetu, sio raisi wa nchi anaweza ongea na balozi. Serikali ya Tanzania can summon any ambassador but they can’t reciprocate.
 
Mwenyezi Mungu 'angekupendelea' na kukupa hata tu 5% ya 'IQ' yangu 'iliyotukuka' nadhani 'ungeringa' mno ila akakupa tu hiyo ya 0.03%. Pole!!
Hiyo IQ ya kuandika heading kama hii kaa nayo wala siitaki na ni kweli una IQ iliyo tukuka

"Je, na Wagombea wengine wa 'Urais' nchini Tanzania nao watakuwa na 'Confidence' kubwa ya Kuongea Kiingereza na Balozi wa US kama alivyoweza Lissu?"​

Kuna 'Mgombea' Mmoja hivi (bahati mbaya Jina lake limenitoka ghafla tu) nami natamani kweli kweli akishamaliza tu Ratiba yake ya Kugawa 'Kopi' za 'Vinyago' vyenye Mbuga zetu za Wanyama kwa Wageni wake Waalikwa basi nae akatishe zake aende Kupiga 'Stori' mbili tatu hivi na Balozi wa Marekani kama ambavyo leo 'Mgombea' Tundu Lissu amefanya.

Na huyu 'Mgombea' ambaye natamani nae akafanye hayo 'Mazungumzo' na Balozi huyo basi aruhusu 'Wanahabari' wote wamuweke 'Mubashara' kabisa ili Wananchi tumsikie nae akitema 'Ung'eng'e' wake ambao utamzidi alionao Tundu Lissu.

Na inasemekana kuwa huyu 'Mgombea' Yeye ndiyo 'Kihistoria' ameanza Kutangulia kwenda Ulaya mno hasa hasa Ujerumani kuliko Mwenzake Lissu.
Huyo balozi anaweza kutema kisukuma kama mgombea wetu? au hata kiswahili tu?
 
Mtu anayejielewa kabisa kabisa na yupo makini kuhakikisha mustakabali wa nchi upo kwenye mikono salama atatumia muda wake mwingi na akili zake nyingi kufuatilia na kuelewa na kisha kuchakata alichoelewa na hasa "kilichozungumzwa" si "kilivyozungumza" katika mazungumzo ya namna hii!!!

Ajabu sana watu wanaojiapiza kuwa wao ni 'wabarikiwa wa akili nyingi' ndiyo wamejazana kwenye foleni ya wale wanaofutilia namna mambo "yanayovyozungunzwa" badala ya kule kwenye foleni ya mambo "yanayozungumzwa"!!!

Sisi hatuna namna zaidi ya kuwasikitikia kisha tunawapa Pole!
 
Lissu amewaaribu sana baadhi ya watanzania balozi ambae akiingilia mambo ya ndani ya Tanzania serikali inaweza mtimua kama walivyofanya kwa balozi wa UK kwenye sakata la Escrow.

Leo hii mmeanza aminishwa kupitia Lissu raisi au wagombea wa hiyo nafasi wanatakiwa wajipendekeze kwa mabalozi wa kigeni tena walio ndani ya Tanzania.

Siasa za wafuasi wa CDM ni hatari sana kwa national security propaganda za ndani. Fikra za jamii pia ni vita ya kila siku huko duniani ndio maana watu wana media ili wakupe view points zao. Halafu huku kwetu unakuta watu wanafanya kazi ya mabeberu bila ya kutambua tena kwa kutumia nguvu kweli.

Imagine media za US zitumie muda mwingi kuanza aminisha raia wake China is military strong kushinda nchi yao; that will never happen. Ilitakiwa tujiulize balozi anaweza communicate na raisi wetu, sio raisi wa nchi anaweza ongea na balozi. Serikali ya Tanzania can summon any ambassador but they can’t reciprocate.
According to Lissu Tz inawahitaji mabeberu na mabeberu hawatuhitaji sisi.

Yaani tayari ameshauza nchi..
 
Kuna 'Mgombea' Mmoja hivi (bahati mbaya Jina lake limenitoka ghafla tu) nami natamani kweli kweli akishamaliza tu Ratiba yake ya Kugawa 'Kopi' za 'Vinyago' vyenye Mbuga zetu za Wanyama kwa Wageni wake Waalikwa basi nae akatishe zake aende Kupiga 'Stori' mbili tatu hivi na Balozi wa Marekani kama ambavyo leo 'Mgombea' Tundu Lissu amefanya.

Na huyu 'Mgombea' ambaye natamani nae akafanye hayo 'Mazungumzo' na Balozi huyo basi aruhusu 'Wanahabari' wote wamuweke 'Mubashara' kabisa ili Wananchi tumsikie nae akitema 'Ung'eng'e' wake ambao utamzidi alionao Tundu Lissu.

Na inasemekana kuwa huyu 'Mgombea' Yeye ndiyo 'Kihistoria' ameanza Kutangulia kwenda Ulaya mno hasa hasa Ujerumani kuliko Mwenzake Lissu.
Kiingereza ni lugha tu kama lugha nyingine. Na lugha ni njia za kimfumo za kuwasiliana kwa kutumia sauti au alama za kawaida. Cha maana ni mawasiliano tu.

Una uhuru wa kutumia lugha yoyote kufikisha ujumbe wako. Unataka kusema kwamba Kiswahili hakifai kwa mawasiliano au kufikisha ujumbe?

Kwetu sisi Kiingereza ni lugha ya kujipendeza tu ili tuombe misaada. Kama uhitaji msaada, ongea nao hata kwa Kinyaturu wamtafisirie.

BN: Lugha zote hazijatengezwa na binadamu, ni za Mungu. Na kila kilicho cha Mungu ni kitakatifu. Kwa hiyo Kiswahili ni lugha takatifu. Ukidharau kiswahili, umemdharau mwenye lugha.
 
Back
Top Bottom