Yaani kwa imani yako huyo unayemuita kilaza hajui kiingereza!?!Soma uelewe nilichoandika. Siyo wote wanajua kwani kuna waliosoma kwa kutumia lugha nyingine. Lakini kwa huyu kilaza wetu tunachojiuliza ni ilikuwaje akapita kuanzia shule ya sekondari mpaka hiyo level ambako kote huko alikuwa anafundishwa na kufanya research kwa kiingereza lakini hakiwezi?
Hajui. Nimeshamsikia anazungumza na siyo mara moja. Kila neno kwake anaongeza herufi ya wingi (herufi s) hata kama halihitaji wingi. na zaidi kuna siku alikuwa na Museveni mwandishi mmoja akauliza swali kwa kiingereza rahisi kabisa akashindwa kabisa kuelewa na kujibu mpaka Museveni akamsaidia. Hajui! Ona alivyotoa macho kama mjusi aliyebanwa kwa swali rahisi sana.Yaani kwa imani yako huyo unayemuita kilaza hajui kiingereza!?!
Hawezi ongea kiingereza hata siku moja,,, labda kihutuKuna 'Mgombea' Mmoja hivi ( bahati mbaya Jina lake limenitoka ghafla tu ) nami natamani kweli kweli akishamaliza tu Ratiba yake ya Kugawa 'Kopi' za 'Vinyago' vyenye Mbuga zetu za Wanyama kwa Wageni wake Waalikwa basi nae akatishe zake aende Kupiga 'Stori' mbili tatu hivi na Balozi wa Marekani kama ambavyo leo 'Mgombea' Tundu Lissu amefanya.
Na huyu 'Mgombea' ambaye natamani nae akafanye hayo 'Mazungumzo' na Balozi huyo basi aruhusu 'Wanahabari' wote wamuweke 'Mubashara' kabisa ili Wananchi tumsikie nae akitema 'Ung'eng'e' wake ambao utamzidi alionao Tundu Lissu. Na inasemekana kuwa huyu 'Mgombea' Yeye ndiyo 'Kihistoria' ameanza Kutangulia kwenda Ulaya hasa hasa Ujerumani kuliko Mwenzake Lissu.
Yaani Rais unamfananisha na mjusi?! Yaani unafika huko na kumdharau Rais wa TZ kiasi hicho?! Ukikamatwa na kuburuzwa mahakamani utasema huo ni uminywaji wa demokrasia? Huna heshima kwa Rais wako na ambaye ni alama ya taifa? DuhHajui. Nimeshamsikia anazungumza na siyo mara moja. Kila neno kwake anaongeza herufi ya wingi (herufi s) hata kama halihitaji wingi. na zaidi kuna siku alikuwa na Museveni mwandishi mmoja akauliza swali kwa kiingereza rahisi kabisa akashindwa kabisa kuelewa na kujibu mpaka Museveni akamsaidia. Hajui! Ona alivyotoa macho kama mjusi aliyebanwa kwa swali rahisi sana.
Umeshindwa hoja na sasa umekimbilia kutoa vitisho mbuzi! π π π. Maweee! Jaribu kuangalia hiyo clip uone alivyotoa macho kwa woga! Mtu unajiita msomi, una uzoefu wa kuwa kiongozi kwa muda mrefu swali rahisi kama hilo linakufanya upanic hata watoto wadogo wakushtukie. Nenda zako huko. Hujui demokrasia ni pamoja na kusema ukweli? Kawatishie hao hao wajinga jinga wenzako na siyo mimi! You are facing a different animal this time ..you idiot!Yaani Rais unamfananisha na mjusi?! Yaani unafika huko na kumdharau Rais wa TZ kiasi hicho?! Ukikamatwa na kuburuzwa mahakamani utasema huo ni uminywaji wa demokrasia? Huna heshima kwa Rais wako na ambaye ni alama ya taifa? Duh
Yaani Rais unamfananisha na mjusi?! Yaani unafika huko na kumdharau Rais wa TZ kiasi hicho?! Ukikamatwa na kuburuzwa mahakamani utasema huo ni uminywaji wa demokrasia? Huna heshima kwa Rais wako na ambaye ni alama ya taifa? Duh
Kama ni hivyo ndiyo matatizo ya moderator kuwa biased...yaani kumtukana Rais eti ndio uhuru wa kutoa maoni...Lissu akishughulikiwa eti ni kuminya demokrasia...Lissu anamtukana Rais eti hiyo ndiyo demokrasia..kwa mujibu wa Lissu eti Magufuli ameharibu diplomasia na nchi karibu na kwanba eti nchi pekee rafiki ni Burundi...yaani mtu mzima humu jf anamfsnanisha Rais wetu na mjusi na moderators wapo wanaona sawa tu...tuMimi huwa nawashangaa kwanini Moderator @fung @mod1 kwanini wanaruhusu matusi sana shidi ya Rais? Kwanini akitukanwa Lissu wana react?
Hiyo misaada ya miradi huwa inaombwa kwa kisukuma?Kingereza hakijawahi kunijengea hata kilomita moja ya barabara ya lami
Duh...facing a different animal..idiot..why shouldn't you first ask your dad and mom...tell them..dad you are idiot...mom...idiot...then come back here and tell us how they responded...Umeshindwa hoja na sasa umekimbilia kutoa vitisho mbuzi! π π π. Maweee! Jaribu kuangalia hiyo clip uone alivyotoa macho kwa woga! Mtu unajiita msomi, una uzoefu wa kuwa kiongozi kwa muda mrefu swali rahisi kama hilo linakufanya upanic hata watoto wadogo wakushtukie. Nenda zako huko. Hujui demokrasia ni pamoja na kusema ukweli? Kawatishie hao hao wajinga jinga wenzako na siyo mimi! You are facing a different animal this time ..you idiot!
1.Putin hajawahi fanya Phd kwa English.Shida ipo Sana hasa nyie mnaotukuza English...unadhani Putin anazungumza English? Unadhani marais wote wanazungumza English?
''Akili ni mali''.
... hilo swali hawajawahi kulijibu! Watarukaruka mara Putin, mara Xi, mara Angela, mara Macron, mara Berlusconi, mara Khamenei, watazunguka mno lakini "mzizi wa hoja" ambao ni jibu la hilo swali wanajifanya hamnazo!
Yes they are suppose to speak english. You know here in Tanzania people used to die in the lakes..we are suppose to fight this together. Yes English is not our mother language.thank you for this welcoming I will give your my mother free kichekooooo
Ndio maana hauna''Akili ni mali''.