fundimchundo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2010
- 739
- 1,032
Kwanza kabisa, ni muhimu ujue kuwa Nchi yetu imeuzwa na walioko madarakani, CCM, wanaong'ang'ania kuendelea kuifilisi nchi yetu kama kupe.Shida ni wewe na wenzio mnaoleta hoja za lugha Kama silaha...shida ni nyie pia mnaodhani huyo mliomtaja hajui English..shida ni nyie wenye mawazo mfilisi mnaotupia Kila aina ya lawama kwa CCM...shida ni nyie mliokata tamaa na msioridhika kwa chochote...shida ni nyie ambao mko tayari kuiuza nchi...nyie iko kwenu mnaoteseka na ushindi wa CCM was muda na hamna mikakati ya kuiondoa madarakani isipokuwa kwa mikakati ya kwamba Fulani hajui kuzungumza English.
Hakuna mtu hata mmoja mwenye uchungu na uzalendo wa Nchi yetu na mwenye akili timamu anayeweza kukiunga mkono Chama cha Majambazi, CCM.
Tunasikia porojo za Mamluki fulani kuwa Nchi yetu ni tajiri sana. Jiulize, kwa Nchi tajiri kwa kiwango ambacho Mamluki hao wanajisifia, kwa nini Deni la Taifa linazidi kuongezeka? Tulitegemea tusikie kuwa Hazina ya Dhahabu ya Taifa inaongezeka, badala yake kinachoongezeka ni Deni la Taifa.
Tatizo ni CCM.
CCM, kama walivyo majambazi wote, wanatumia bunduki na mabomu ya machozi kuendelea kuwakandamiza Watanzania.
Amini nakuambia, siku za Chama cha Majambazi zinahesabika.