Je, na wewe uliziona ndege 12 zikitembea kwa mstari jana usiku?

Ok
 
Camera za google hizo zinatengeneza maps 🤣🤣🤣
 
Nilikuwa natoka kariakoo mitaa ya kwa mwinyi kama unaelekea kawe mida ya saa moja hv nikazioona nilishangaa sn na nilishindwa kujua kuwa ni kitu gani kile
 
Ni kweli kabisa hata mimi niliziona jana mishale ya saa moja kuelekea saa mbili usiku, zikiwa zinawaka mawinguni huku zimepangana mstari.
 
 
Ni satellites za internet [emoji2930] ya StarLink za bwana mkubwa Elon Musk... Nchi nyingi tu huwa zinaonekana hata huko Marekani na nchi zingine za ulaya wanazionaga...
Sasa uku zinakuja kufanya Nini sisi tunazo za asili
 
Umri wako ni miaka mingapi? Unamacho kumchuzi au makengeza, tulichokiona ni mkanda wa taa kama muonekano wa mabehewa ya treni wakati wa usiku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…