Je, nafasi ya Suzan Kaganda kuchukuliwa na Deborah Magiligimba? Inawezekana IGP ajaye akawa ni Dkt. Magiligimba

FPT

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
1,216
Reaction score
1,848
Baada ya CP Suzan Kaganda kuteuliwa kuwa balozi Sasa naona nafasi yake Kama kamishna wa fedha na mipango inaenda kuchukuliwa na mjumbe wa kamati ya fedha ya shirikisho la Polisi wanawake duniani-IAWP SACP Dkt.Deborah Magiligimba. Baada ya CP , Je ndio atakuwa IGP ajaye?
 
Jeshi nidhamu yake imeisha kabisa. Watu wamepoteza imani na matumaini nalo.
Haileweki nani anayefanya uhalifu na hakamatiki, kwa jina la asiyejulikana.
Unashindwa kuelewa wapinzani wamekosea nini mpaka nguvu kubwa zitumike kwenye mambo yasiyo na tija.
Mzee Warioba alisema sahihi....ila nafikiri ipo haja ya kufanya mabadiliko
 
Susan ndio alipaswa kuwa IGP wa sasa
 
Kuna mstari mwembamba sana unaotenganisha shughuli za Green Guards, UVCCM, pamoja na Jeshi la Polisi.

Nathubutu kusema hii ndiyo hasa "the evil of axis" inayotenda kazi hivi sasa kwa jina la wasiojulikana. Hawa ndiyo watekaji, watesaji, na wauaji, ambao wanajaribu kuikoa CCM ambayo ipo katika steji ya "last kicks of the dying horse".
 
Igp anatakiwa atoke jeshini ili jeshi la polisi linyooke na mambo ya hovyo ya utekaji yaishe.wanajeshi ni wazalendo sana na hawajawahi kupokea rushwa hata kidogo na wanachukia sana utekaji.vitengo vya polisi vikubwa vikubwa vinatakiwa vikaliwe na wanajeshi maana polis hawajui kujisimamia na kujiongoza fullstop
 
Jeshi nidhamu yake imeisha kabisa. Watu wamepoteza imani na matumaini nalo.
Haileweki nani anayefanya uhalifu na hakamatiki, kwa jina la asiyejulikana.
Unashindwa kuelewa wapinzani wamekosea nini mpaka nguvu kubwa zitumike kwenye mambo yasiyo na tija.
Mzee Warioba alisema sahihi....ila nafikiri ipo haja ya kufanya mabadiliko
Mabadiliko yapi mkuu
 
Back
Top Bottom