Je, nani anaweza kumzidi mwenzake soko kati ya Azam na DStv endapo hili likifanyika?

Mlalamikaji daily

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2014
Posts
744
Reaction score
1,621
Wadau nimejaribu kuwaza endapo haya makampuni mawili yakafanya kile ambacho kila mmoja anafanya.

Je, nani atafungasha virago? Nani atapoteza pambano?

Najiuliza endapo Azam ataonesha UEFA, EPL na Europa ligue

Ama DSTV akionyesha Ligi ya bongo (VPL)

Nani atakimbia?
 
Kibongo bongo,
mchawi ni LIGI KUU BARA

Atakaeonyesha ligi ndo atakaekamata soko.

Hizo Uefa, Europa.
Washabiki wachache.

Na Watu washazoea kuangalia kwenye mabanda umiza Miaka na Miaka.
Sio kweli nipo mbeya mbalizi 1999 tunatoka hom saa tatu kwenda kuangalia uefa hatujawah kuangalia mech za ligi yetu had azam anakuja je hao watu na mashabiki wa timu za ulaya wengi wametokea wap ikiwa mpira wa bongo kipaumbele?

Na hadi muda huu sijawah na siwez na sitakaa kuangalia mpira wa bongo siupend ni utopolo tu hadi watakapo anza kucheza mpira wa kweli nitaanza kuangalia
 
Azam akifanya hao uliosema DSTV atafunga biashara kama GOTV.
DSTV ukitoa UCL, EPL na ligi nyingine hakuna cha ziada nakuambia ninayo mwaka wa 6 sasa.
Tena miaka ya hivi karibuni ndo wanajikaanga na mafuta yao wenyewe
 
Nina zote DStv tangu 2007 na Azam mwaka wa 3 sasa,mimi nina uhakika Azam atafungasha. Mbali na mpira Dstv ina vitu vingi vya ziada,Crime and Investigation Channels,M-net channels,Cartoon za watoto option channels zaidi ya kumi,Channels kama History hupati kwa Azam,achilia mbali Channels za Habari kama CNN, Sky News,BBC na nyinginezo.
 
Usifananishe DStv na vitu vya kijinga,Mimi Nina ving'amuzi viwili vya DStv na Azam,lakini tofauti yake ni Kama mbingu na ardhi.

Same here nina vyote,DSTV ni habari nyingine.
 
Nina zote DStv tangu 2007 na Azam mwaka wa 3 sasa,mimi nina uhakika Azam atafungasha. Mbali na mpira Dstv ina vitu vingi vya ziada,Crime and Investigation Channels,M-net channels,Cartoon za watoto option channels zaidi ya kumi,Channels kama History hupati kwa Azam,achilia mbali Channels za Habari kama CNN, Sky News,BBC na nyinginezo.
Mkuu ukiachana m-net hizo nyingine azam anazo history ipo IDX ipo, national geographic ipo nk
 
Endapo Azam ataonesha Ligi mbalimbali duniani

1. Bidding zake ilikuonesha ni ghali sana, itamlazimu kupandisha gharama hata mara tano au mara kumi ili apate faida. Wateja watapotea wenyewe. AZAM atapotea

2. Soko la AZAM lina upana namna gani hapa Africa (East, Southern, Northern na western) ukilinganisha na Dstv? AZAM atapotea

3. Professional na ubora wa vipindi mbalimbali hususani soccer...... AZAM bado sana.

4. Coverage sio kuangalia soko la ndani pekee AZAM na dstv wanatofauti kubwa sana ya coverage, kukubalika,
 
Wadau nimejaribu kuwaza endapo haya makampuni mawili yakafanya kile ambacho kila mmoja anafanya.

Je, nani atafungasha virago? Nani atapoteza pambano?

Najiuliza endapo Azam ataonesha UEFA, EPL na Europa ligue

Ama DSTV akionyesha Ligi ya bongo (VPL)

Nani atakimbia?
Wakionyesha chanels zinazofanan, MWENYE BEI YA JUU KWA KIFURUSHI KINACHOFANAN NA MWENZIE ATAKIMBIA
 
Sio kweli nipo mbeya mbalizi 1999 tunatoka hom saa tatu kwenda kuangalia uefa hatujawah kuangalia mech za ligi yetu had azam anakuja je hao watu na mashabiki wa timu za ulaya wengi wametokea wap ikiwa mpira wa bongo kipaumbele?

Na hadi muda huu sijawah na siwez na sitakaa kuangalia mpira wa bongo siupend ni utopolo tu hadi watakapo anza kucheza mpira wa kweli nitaanza kuangalia

Mkuu fanya tathmini ndogo kwa kuongea na wenye banda umiza.

Siku Yanga au Simba wakicheza mapato yanakuwa ya kueleweka kuliko game za Ulaya. Mimi naona watu wanajaa sana hizi game za ndani, hasa Yanga na Simba.

Labda tu kwa sababu big matches ni nyingi Ulaya, unaweza kupata namba zaidi ukii-sumup kwa mwezi.
 
Kwa mech ya simba na yanga nakubaliana na ww mkuu
 
Mkuu fanya tathmini ndogo kwa kuongea na wenye banda umiza.

Siku Yanga au Simba wakicheza mapato yanakuwa ya kueleweka kuliko game za Ulaya. Mimi naona watu wanajaa sana hizi game za ndani, hasa Yanga na Simba.

Labda tu kwa sababu big matches ni nyingi Ulaya, unaweza kupata namba zaidi ukii-sumup kwa mwezi.
Nakubaliana na wewe asilimia 99
 
Back
Top Bottom