Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
Sio kweli nipo mbeya mbalizi 1999 tunatoka hom saa tatu kwenda kuangalia uefa hatujawah kuangalia mech za ligi yetu had azam anakuja je hao watu na mashabiki wa timu za ulaya wengi wametokea wap ikiwa mpira wa bongo kipaumbele?Kibongo bongo,
mchawi ni LIGI KUU BARA
Atakaeonyesha ligi ndo atakaekamata soko.
Hizo Uefa, Europa.
Washabiki wachache.
Na Watu washazoea kuangalia kwenye mabanda umiza Miaka na Miaka.
Mkuu,Azam hawezi kuonesha ligi ya uingereza kwani gharama zake ni kubwa mno base yake ya subscribers ni ndogo
Azam akifanya hao uliosema DSTV atafunga biashara kama GOTV.
DSTV ukitoa UCL, EPL na ligi nyingine hakuna cha ziada nakuambia ninayo mwaka wa 6 sasa.
Tena miaka ya hivi karibuni ndo wanajikaanga na mafuta yao wenyewe
Usifananishe DStv na vitu vya kijinga,Mimi Nina ving'amuzi viwili vya DStv na Azam,lakini tofauti yake ni Kama mbingu na ardhi.
Mkuu ukiachana m-net hizo nyingine azam anazo history ipo IDX ipo, national geographic ipo nkNina zote DStv tangu 2007 na Azam mwaka wa 3 sasa,mimi nina uhakika Azam atafungasha. Mbali na mpira Dstv ina vitu vingi vya ziada,Crime and Investigation Channels,M-net channels,Cartoon za watoto option channels zaidi ya kumi,Channels kama History hupati kwa Azam,achilia mbali Channels za Habari kama CNN, Sky News,BBC na nyinginezo.
Wakionyesha chanels zinazofanan, MWENYE BEI YA JUU KWA KIFURUSHI KINACHOFANAN NA MWENZIE ATAKIMBIAWadau nimejaribu kuwaza endapo haya makampuni mawili yakafanya kile ambacho kila mmoja anafanya.
Je, nani atafungasha virago? Nani atapoteza pambano?
Najiuliza endapo Azam ataonesha UEFA, EPL na Europa ligue
Ama DSTV akionyesha Ligi ya bongo (VPL)
Nani atakimbia?
Sio kweli nipo mbeya mbalizi 1999 tunatoka hom saa tatu kwenda kuangalia uefa hatujawah kuangalia mech za ligi yetu had azam anakuja je hao watu na mashabiki wa timu za ulaya wengi wametokea wap ikiwa mpira wa bongo kipaumbele?
Na hadi muda huu sijawah na siwez na sitakaa kuangalia mpira wa bongo siupend ni utopolo tu hadi watakapo anza kucheza mpira wa kweli nitaanza kuangalia
Kwa mech ya simba na yanga nakubaliana na ww mkuuMkuu fanya tathmini ndogo kwa kuongea na wenye banda umiza.
Siku Yanga au Simba wakicheza mapato yanakuwa ya kueleweka kuliko game za Ulaya. Mimi naona watu wanajaa sana hizi game za ndani, hasa Yanga na Simba.
Labda tu kwa sababu big matches ni nyingi Ulaya, unaweza kupata namba zaidi ukii-sumup kwa mwezi.
Nakubaliana na wewe asilimia 99Mkuu fanya tathmini ndogo kwa kuongea na wenye banda umiza.
Siku Yanga au Simba wakicheza mapato yanakuwa ya kueleweka kuliko game za Ulaya. Mimi naona watu wanajaa sana hizi game za ndani, hasa Yanga na Simba.
Labda tu kwa sababu big matches ni nyingi Ulaya, unaweza kupata namba zaidi ukii-sumup kwa mwezi.