Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Tajiri Sina BAYA we si waki shua?, kacheze naye bro I'll
Litoto lenyewe lina mishavu hiloThe boy with all the toys but no one to play with.
the boy is waiting for anyone to mention his name
He is like ooh God please let anyone throw anything to us.
I mean no malice to nobody
View attachment 3382271
Shida nini tena π€Mkuu nimegeukia pombe sasa utajiri wangu hauna thamani tena tafuta mtu sahihi mimi niache nipumzike.
View attachment 3382284
Lina kula minofu hiloπLitoto lenyewe lina mishavu hilo
Marry.. nimekataliwa hadi na Marry mkuu.Shida nini tena π€
Mna karibishwa kucheza nayeHuyo jamaa mshamba tu
Mwanaume una lia lia kisa mapenzi?, we kumbe chizi ehhMarry.. nimekataliwa hadi na Marry mkuu.
ana tamani hata wamtukane bahati mbayaπ€£πKim huko alipo anasikitisha sana kuona Iran analambwa huku yeye yupo na mabomu yake hayafanyi kazi
enheHuyo ni wa kawaida TU nchi yake haina rasilimali muhimu west wanazoitaji la sivyo angeshagongwa mapema TU.
Inasikitisha sanaKim huko alipo anasikitisha sana kuona Iran analambwa huku yeye yupo na mabomu yake hayafanyi kazi
Mwanaume una lia lia kisa mapenzi?, we kumbe chizi ehh
Raisi Dennis robert naye kafungua uzi leo anatafuta mke ili awe first lady ππMarry.. nimekataliwa hadi na Marry mkuu.
Cammilla ya kweli haya?Hujawahi kupenda mkuu.
View attachment 3382305
Hawa wote madishi π€£Raisi Dennis robert naye kafungua uzi leo anatafuta mke ili awe first lady ππ