Je nani ata cheza na Mtoto huyu?

Huyo ni wa kawaida TU nchi yake haina rasilimali muhimu west wanazoitaji la sivyo angeshagongwa mapema TU.
Unajidanganya, West walimfuata miaka ya 1950s ila kilichowakuta hawatakaa na kusahau.
China alikaa nyuma yake huyo bwana na kumsaidia weeeee pale Jangsari walikufa wakorea kusini wengi na wamarekani wa kutosha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…