Je, naweza kufahamu kama Mzazi wangu marehemu aliwahi kufanya kazi Usalama wa Taifa?

Status
Not open for further replies.
kwan wewe nawe si usalama wa taifa lazima ulinde taifa lako ...au hujui ilo ...
 
nashkuru wote waliotoa mawazo na ushauri wa kunisaidia.
kwan wewe nawe si usalama wa taifa lazima ulinde taifa lako ...au hujui ilo ...
umeelewa uzi? sijajizungumzia mimi hata kidogo. kama huna cha kuzungumza pita kimya kimya
 
mkuu haihusiani kabisa, tfadhali naomba usiingize siasa. unaweza ukapita kimya kimya
Sio siasa nakuona ni kama mtu uliyechanganyikiwa baada ya kuchoka kuwa jobless sasa unakumbuka watu waliokufa labda watakusaidia!
 
Leta majina yake inibox picha yake mkoa wake na mwaka aloyokufa mara ya mwisho alifanyawapi kazi
 
Sasa mbona umejibu kama wewe ndio umeambiwa,huna lolote uwe makini unapotumia ID zaidi ya moja ona sasa ulivyoumbuka mimi nafikiri najibishana na watu wengi kumbe ni wewe mwenyewe!
Mmezidi kumsema. Nimemfata inbox kumuuliza kama nia yzke niz hiyo na kama amesoma maana badala ya kumpa majibu mnasema ana tatizo la ajira n.k ndio maana kanibu Mkuu (mmoja), mzee mbona uko na hasira sana
 
na hiyo ndiyo maana yangu mkuu kwa hyo nilichokiandika ni sawa na unachokielewa tuko pamoja[emoji109] [emoji109] [emoji109]
 
Hata ukijua haitakusaidia heri usijue kabisa kama kuna malipo anayestahili ni mama. Wewe komaa kivyako ndugu never waste your time seeking very fictitious story.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…