Je, naweza kufahamu kama Mzazi wangu marehemu aliwahi kufanya kazi Usalama wa Taifa?

Je, naweza kufahamu kama Mzazi wangu marehemu aliwahi kufanya kazi Usalama wa Taifa?

Status
Not open for further replies.
KalistusM, mzee amefariki 20 years ago (RIP). Muache apumzike kwa amani. Hata ukijua alikuwa recruited na TISS inakusaidia nini sasa?

Umeshasema mzee alikuwa mhasibu na aliajiriwa na shirika la wazungu. Huyo babu mwingine aliyehisi mzee alikuwa TISS labda ni kwa kuwa mzee alikuwa anasafiri sana. Nothing more.
 
sawa nashkuru Mkuu
 
Hapo ni vigumu sana kufahamu mkuu kwani hawa jamaa(TISS) wanapomfunza mtu (shushushu) hawamwajiri kama usalama wa taifa bali huwekwa kwenye kada mbalimbali za taasisi za serikali hata binafsi kulingana na malengo/uhitaji..

mfano wengine unaweza kumkuta ni mwalim, asikari jeshi, polisi, magereza, madaktari nk. sasa hapo hata anapofariki process zote za mazishi hufanywa na taasisi au kada iliyokuwa imemuajiri na sio TISS, haijawahi popote kutokea eti shushushu anazikwa na idara ya usalama wa taifa ( TISS), Jiulize je hakuna wanausalama wanaokufa?

Inawezekana ukabahatika lakini si virahisi kiivo zaidi utaambiwa hawakuwahi kuwa na mtu kama huyo ijapokuwa kweli alikuwa TISS,
Mkuu nisaidie. Mshahara hupewaje? Mi kuna maswali najiulizaga Au huchukua mkononi?
Maana kuna mwalimu namjua huwa anahudhuria vikao vya usalama vya wilaya sina shida nalo ila sioni hali yake ya uchumi ikiwa njema kupita wenzake
Kama wanapewa hela benk, wafanyakazi wa bank si watawatangaza?
 
Sasa aking'aa sana si atakuwa haendani na kazi ambayo jamii mnamuona akiifanya 😱. Kazi yake itakuwa haiendani na maisha yake
 
Sasa aking'aa sana si atakuwa haendani na kazi ambayo jamii mnamuona akiifanya 😱. Kazi yake itakuwa haiendani na maisha yake
Sasa anapata faida gani kifedha kwa kuwa huko
 
Sasa anapata faida gani kifedha kwa kuwa huko
Nilichomaanisha kulipwa analipwa ila sasa labda ili afanye vizuri kazi yake inamlazimu ajiweke hivyo hata kama anaweza kung'aa zaidi. Hao ndio utaskia yuko hivyo alafu unaweza kumkuta mkoa mwingine kapiga zake suti yake kali anaendesha usafiri wake.
 
Sasa anapata faida gani kifedha kwa kuwa huko
Faida anaipata kwakuwa mlinzi wa taifa lake,,kingine usalama huwa hawatakagi mtu wakujishaua sana,au mwenye Maneno mingimingi,,Nna mtoto wa mdogo wangu alikuwa anasoma chuo MKWAWA,,walimfuataga wamchukue,,sijui iliishiaga wapi,,maana Now ni mwalimu huko Mkoa. Dogo ni mkimiya balaa,,ila ana akili
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom