Shillingi bandia kwenye circulation zipo za kutosha mno......tena haya ma-MPESA yameongeza watu wanaofanya ilegal money transfer kuziingiza kwenye circulation.........cheki hiki kisa[emoji117][emoji3578]
Iran imewekewa vikwazo na USA,so pesa ya Iran,1usd= Iran Rial elfu 40,000......na benki nyingi duniani zimekatazwa na hazifanyi, transaction ya USD to Iranian Rial,kasoro benki mbili tu zipo U.A.E[emoji1][emoji1787].
Lakini uchumi wa Iran ni stable kuliko uchumi wa nchi yeyote ile Africa,unajua hawa waajemi wanachokifanya?
Shuka na mimi hapa
Wao bidhaa zao hawauzi tena kwa Iran Rial au usd.....wanatumia system of blockchain,unatuma let's say cryptos kdhaa wanakupelekea mafuta au gesi.....then wao wanabadili his crypto kua pesa yeyote wanayoitaka duniani,hapo wanakua na double advantage,kuzuia inflation ya pesa yao dhidi ya USD,pili ni low transactions fee,......pia vijana wengi wanainvolve na issue za mining ya cryptos.....so wakilipwa mining fee,wanaziconvert into usd na kuagiza bidhaa zozote zile wanazohitaji duniani.
Itakuhitaji kua na Iran Rial 80,000 kunywa kikombe cha kahawa Iran,[emoji16][emoji119]lakini hio si kitu kwao......haina effect kwenye economy yao.
1 Tsh =18 Iran Rial,ila uchumi wa Iran ni mara elfu 1 ya uchumi wa Tanzania.
That is the future of decentralized currencies,watu hawapangiwi cha kufanya kuhusu uchumi na pesa zao.[emoji1]
Imefika kipindi hadi umeme umekua mdogo,wadau wanakula units za kutosha mjini Tehran ili kumine coins za kutosha waweze kujiachia na international transaction[emoji119][emoji119][emoji119]
Hizi nondo hata Professa wa uchumi UDSM Hajawahi kuzisikia sema ndio watu wanazitumia kupata mkate wao wa kila siku........ninyi endeleeni kukalilishana notes za miaka ya 1929[emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji16]
View attachment 1808328