Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
There you have it, hilo ndio jibu la swali lakeKwa vendors/ suppliers wanaotoa hizo huduma kulingana na matakwa ya benki.
Katika kampuni waaminifu duniani ni hizo za kuchapisha pesaNina wasiwasi hawa tunaowapa kazi ya kuchapisha pesa zetu wanachapisha na makontena ya ziada na kuyaingiza kwenye mzunguko kimya kimya. Should i be concerned?
USA inachapisha nje ya nchi?! Naona hujielewi wewe, au bado una hangover?!Katika kampuni waaminifu duniani ni hizo za kuchapisha pesa
Chukulia hata nchi kama marekani pesa zao zinachapushwa nje ya nchi
Hizo kampuni ni chache mno na uaminifu wao ndio mtaji wao mkuu
Haijawahi tokea kitu kama hicho
Dola zinachadpishwa uingereza na kampuni binafsi ya familia ya Thomas de Rue ni kampuni ambayo wafanyakazi wake ni wana familia tu na ipo kwa karne nyingi na huchapa pesa za nyingi sana duniani .Siri zote hutunzwa na familia tu .Hawaokotezi kuajiri watu nje ya familiaUSA inachapisha nje ya nchi?! Naona hujielewi wewe, au bado una hangover?!
Hilo suala la kampuni kuwa waaminifu ni a myth, au mkurugenzi na wafanyakazi wote ni malaika?
Aise shughuri pevu kwakweli duhKuna kiazi mmoja amehoji,
Serikali inachapisha hela, alafu inaziachia kwa watu (inaziingiza kwenye mzunguko) alafu baadaye inaanza kuzitafuta na kukusanya kutoka kwa watu tena,
si hela zikija wachukue zao mapema ndio tusisumbuane tena
Wewe ni muongo!Dola zinachadpishwa uingereza na kampuni binafsi ya familia ya Thomas de Rue ni kampuni ambayo wafanyakazi wake ni wana familia tu na ipo kwa karne nyingi na huchapa pesa za nyingi sana duniani .Siri zote hutunzwa na familia tu .Hawaokotezi kuajiri watu nje ya familia
What?! Unaijua ‘bureau of engraving and printing’ ni kitu gani na ipo nchi gani?Dola zinachadpishwa uingereza na kampuni binafsi ya familia ya Thomas de Rue ni kampuni ambayo wafanyakazi wake ni wana familia tu na ipo kwa karne nyingi na huchapa pesa za nyingi sana duniani .Siri zote hutunzwa na familia tu .Hawaokotezi kuajiri watu nje ya familia
Nenda kasome hiyo siyo elimu ya memkwa Hadi itolewe hapa jukwaani.Hata hapa unaweza kutupa hizo lessons, ndio maana na dhima ya jukwaa, isn’t it? Then tujadili katika kuvunja mind set mliyokaririshwa mashuleni, kwa hoja na mantiki.
Elimu ni tatizo, anadhani wanachapisha kwenye kiwandani kama vile pale urafiki textiles.Money printing Tanzania mtafanyia wapi?
Mitambo na technology ya kuweka security features mnayo?
Aiseee
Hii comment yako ni fallacy, hakuna namna inajibika, hata ningetaka kuijibu najibu nini sasa? Uzi tujadili hapa wewe uniambie nikasome google, wewe uliyesoma na tueleze hapa ukichoelewe ili mjadala uendelee kwa mtiririko wa kimantiki.Nenda kasome hiyo siyo elimu ya memkwa Hadi itolewe hapa jukwaani.
Au unataka akupe pia elimu ya kutengeneza mashine za kuchapisha hela hapa jukwaani kwa kujibu thread yako?
Huna elimu labda umri umekuacha somesha watoto wako wasije leta thread kama yako.
Kwhyo kumbe taifa lina jinsia ya ke!!!^If a government cannot protect herself, if she cannot defend her own freedom and sovereignty, if she cannot help her own people to keep their properties and life, the only logical option for her is to remain a colony^ ~ Anonymous