FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #21
Sembuse shillingiDola bandia kutoka Korea Kaskazini zilivyosambaa duniani na kutumika kwa zaidi ya 20 bila kujulikana. | JamiiForums Dola bandia kutoka Korea Kaskazini zilivyosambaa duniani na kutumika kwa zaidi ya 20 bila kujulikana.
Kuna kiazi mmoja amehoji,Nimewaza ingekuwa Tanzania tumepewa kazi ya kuchapisha noti za Kenya, tungewafanya kitu kibaya sana, sijui tumetumia akili za kichwani au za wapi kuwapa watu wengine kazi ya kuchapisha pesa zetu, halafu tunawalipa pesa hizo hizo walizochapisha kama malipo ya kazi yao, hivi vichwani mwetu kuna funza au ni nini?! 😂
Haiziachii kwa watu, huwalipa wale tu waliovujia jasho ile pesa na kuipa thamani, maana pesa ni karatasi tu na hupata thamani baada ya jasho kumwagika, vinginevyo ukichapisha tu pesa bila uzalishaji ili kuipa thamani, pilipili moja tunanunua trillioni 10. Lakini pia kuchapisha pesa ni njia moja wapo inayotumika kukusanya kodi, ila hii njia husababisha pesa kushuka thamani.Kuna kiazi mmoja amehoji,
Serikali inachapisha hela, alafu inaziachia kwa watu (inaziingiza kwenye mzunguko) alafu baadaye inaanza kuzitafuta na kukusanya kutoka kwa watu tena,
si hela zikija wachukue zao mapema ndio tusisumbuane tena
mkuu ni utani tu 😂😂😂Haiziachii kwa watu, huwalipa wale tu waliovujia jasho ile pesa na kuipa thamani, maana pesa ni karatasi tu na hupata thamani baada ya jasho kumwagika, vinginevyo ukichapisha tu pesa bila uzalishaji ili kuipa thamani, pilipili moja tunanunua trillioni 10. Lakini pia kuchapisha pesa ni njia moja wapo inayotumika kukusanya kodi, ila hii njia husababisha pesa kushuka thamani.
Hii hoja ni fikirishi sana na yenye mantiki ingawa watakuja wasomi wetu bandia wenye ma A ya karatasi waliokesha chuo kua na degree za computer science na kupata first class ilhali hata PC hawakua nazo[emoji16],watakuja wasomi wenye masters za economy kukukejeri hapa ilhali hata blockchain,Defi na cryptocurrencies hawajui zinafanyaje kazi na zina impact gani kwenye world economy[emoji1787][emoji1].Nina wasiwasi hawa tunaowapa kazi ya kuchapisha pesa zetu wanachapisha na makontena ya ziada na kuyaingiza kwenye mzunguko kimya kimya. Should i be concerned?
Shillingi bandia kwenye circulation zipo za kutosha mno......tena haya ma-MPESA yameongeza watu wanaofanya ilegal money transfer kuziingiza kwenye circulation.........cheki hiki kisa[emoji117][emoji3578]Sembuse shillingi
Kwahiyo hiyo mining ya Crypto currencies ni kama kuuza processing power ya computer yako, chief ingridient being power? au ni inakuwaje sasa?Shillingi bandia kwenye circulation zipo za kutosha mno......tena haya ma-MPESA yameongeza watu wanaofanya ilegal money transfer kuziingiza kwenye circulation.........cheki hiki kisa[emoji117][emoji3578]
Iran imewekewa vikwazo na USA,so pesa ya Iran,1usd= Iran Rial elfu 40,000......na benki nyingi duniani zimekatazwa na hazifanyi, transaction ya USD to Iranian Rial,kasoro benki mbili tu zipo U.A.E[emoji1][emoji1787].
Lakini uchumi wa Iran ni stable kuliko uchumi wa nchi yeyote ile Africa,unajua hawa waajemi wanachokifanya?
Shuka na mimi hapa
Wao bidhaa zao hawauzi tena kwa Iran Rial au usd.....wanatumia system of blockchain,unatuma let's say cryptos kdhaa wanakupelekea mafuta au gesi.....then wao wanabadili his crypto kua pesa yeyote wanayoitaka duniani,hapo wanakua na double advantage,kuzuia inflation ya pesa yao dhidi ya USD,pili ni low transactions fee,......pia vijana wengi wanainvolve na issue za mining ya cryptos.....so wakilipwa mining fee,wanaziconvert into usd na kuagiza bidhaa zozote zile wanazohitaji duniani.
Itakuhitaji kua na Iran Rial 80,000 kunywa kikombe cha kahawa Iran,[emoji16][emoji119]lakini hio si kitu kwao......haina effect kwenye economy yao.
1 Tsh =18 Iran Rial,ila uchumi wa Iran ni mara elfu 1 ya uchumi wa Tanzania.
That is the future of decentralized currencies,watu hawapangiwi cha kufanya kuhusu uchumi na pesa zao.[emoji1]
Imefika kipindi hadi umeme umekua mdogo,wadau wanakula units za kutosha mjini Tehran ili kumine coins za kutosha waweze kujiachia na international transaction[emoji119][emoji119][emoji119]
Hizi nondo hata Professa wa uchumi UDSM Hajawahi kuzisikia sema ndio watu wanazitumia kupata mkate wao wa kila siku........ninyi endeleeni kukalilishana notes za miaka ya 1929[emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji16]
View attachment 1808328
Mkuu siku hizi uwepo wa internet umefanya kila mtu awe na uwezo wa kutembea na maktaba.......google hivi vitu vifuatavyo utafaidika kama si wewe basi watoto wako ama wajukuu zako.Kwahiyo hiyo mining ya Crypto currencies ni kama kuuza processing power ya computer yako, chief ingridient being power? au ni inakuwaje sasa?
Nani alisema inahitaji uwekezaji mdogo?
HahahahahaNimewaza ingekuwa Tanzania tumepewa kazi ya kuchapisha noti za Kenya, tungewafanya kitu kibaya sana, sijui tumetumia akili za kichwani au za wapi kuwapa watu wengine kazi ya kuchapisha pesa zetu, halafu tunawalipa pesa hizo hizo walizochapisha kama malipo ya kazi yao, hivi vichwani mwetu kuna funza au ni nini?! 😂
Sawa ni ya noti, ila nauliza, Bank zilizopo Tanzania, huwa wanatoa wapi security?
NimekuelewaAnayechapisha fedha ni sawa na anaye chapisha kitabu Cha tiketi,kitabu Cha tiketi hakina thamani kwa mchapishaji.
Sijasema security za note, Mtu akikwambia ‘bank grade security’ huwa unaelewa nini? Hiyo ndio security ninayozungumziaSasa benki zetu security za noti wahangaike nazo za nini wakati wao hawachapishi pesa? Wanawapa hiyo kazi makampuni ya kuprint noti kama De larue na mengine.
Sie ni kusema tu tunataka noti zetu ziwe na ABC na security za aina flani ili watu wasitoe bandia kirahisi, sijajua unaongelea security gani kwenye mabenki yetu wakati iliyotajwa hapa inahusika na noti ambazo sie hatuzitengenezi.
Sijasema security za note, Mtu akikwambia ‘bank grade security’ huwa unaelewa nini? Hiyo ndio security ninayozungumzia
Nafahamu, ninachotaka kujua tu, regardless ya chochote kile, bank za Tanzania hutoa wapi security?Sasa mada imejikita kwenye usalama wa mtandao na miamala ya online au utengenezaji wa noti? Unakumbuka ulimnukuu nani kuhusu security na ilikua katika muktadha upi?
Bank grade security unahamia kwenye HTTPS, TLS na SSL. Kwa ufupi unaelekea kwenye mambo ya cyber security. Hiyo inahusiana nini na mjadala wetu wa kuchapisha noti?
Nafahamu, ninachotaka kujua tu, regardless ya chochote kile, bank za Tanzania hutoa wapi security?