Je Ndg. Ramadhani Kailima Mkurugenzi wa Uchaguzi (Katibu wa Tume) ni kada wa CCM?

Je Ndg. Ramadhani Kailima Mkurugenzi wa Uchaguzi (Katibu wa Tume) ni kada wa CCM?

Elvis Legacy

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2017
Posts
4,929
Reaction score
7,927
Kama ni kweli huyu aliyewasainisha vyama vya upinzani kwelikweli vyenye nia ya kuiondoa CCM madarakani kanuni za maadili ya uchaguzi ni kada wa CCM na hii ndio tume huru ya uchaguzi basi itoshe kusema watanzania tunachezewa mchezo mchafu.
 

Attachments

  • NEC.jpg
    NEC.jpg
    201.2 KB · Views: 37
Kama ni kweli huyu aliyewasainisha vyama vya upinzani kwelikweli vyenye nia ya kuiondoa CCM madarakani kanuni za maadili ya uchaguzi ni kada wa CCM na hii ndio tume huru ya uchaguzi basi itoshe kusema watanzania tunachezewa mchezo mchafu.
Mchezo mxhafu tuchezewe mara ngapi? Rais(mwenyekiti wa ccm) hawezi kumteua mtu katika hiyo nafasi hiyo nyeti bila kujua kwanza allegiance yake,na utii wake kwa ccm.
Watendaji wote serikalini wanaofanya maamuzi ya kutatanisha na yenye mlengo wa kukibeba chama cha mapinduzi,ujue nyuma ya pazia ni wanachama. Kumbuka jaji Augustino Ramadhani aliyetoa maamuzi tata yasiyoelewaka kuhusu nafasi ya mgombea binafsi, akaishia kuchukua fomu ya ugombea urais kupitia ccm
 
Hivi hawa CCM hawana hata mshipa wa aibu,nendeni sasa mkashinde kwa kishindo,
naona biashara ya kuhonga wapiga kura,kuiba kura,kuuwa watu ndiyo imeishia hapo,
LISSU akili kubwa sana,kilichobaki sasa hatutapiga tena kura labda wapiga kura mkawasombe na maroli
 
Nadhani mpaka hapa kaelewa
Pole sana ndugu kwa chama chako kutoshiriki uchaguzi. Najua wewe mfuasi wa Mbowe umeumia sana ila hakuna namna ndo Lissu na genge lake washaamua. Ninakushauri hamia PPT Maendeleo ili uendeleze harakati za kisiasa baada ya chama chako kufikia tamati.
 
Kama ni kweli huyu aliyewasainisha vyama vya upinzani kwelikweli vyenye nia ya kuiondoa CCM madarakani kanuni za maadili ya uchaguzi ni kada wa CCM na hii ndio tume huru ya uchaguzi basi itoshe kusema watanzania tunachezewa mchezo mchafu.
WE NEED REFORMS.
 
Back
Top Bottom