Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
😂😂😂 Ndo umejua Leo Mkuu? Huyo jamaa ni mwanaCCM na mwajiliwa wa TISS.Kama ni kweli huyu aliyewasainisha vyama vya upinzani kwelikweli vyenye nia ya kuiondoa CCM madarakani kanuni za maadili ya uchaguzi ni kada wa CCM na hii ndio tume huru ya uchaguzi basi itoshe kusema watanzania tunachezewa mchezo mchafu.