Je Ndg. Ramadhani Kailima Mkurugenzi wa Uchaguzi (Katibu wa Tume) ni kada wa CCM?

Kama ni kweli huyu aliyewasainisha vyama vya upinzani kwelikweli vyenye nia ya kuiondoa CCM madarakani kanuni za maadili ya uchaguzi ni kada wa CCM na hii ndio tume huru ya uchaguzi basi itoshe kusema watanzania tunachezewa mchezo mchafu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ndo umejua Leo Mkuu? Huyo jamaa ni mwanaCCM na mwajiliwa wa TISS.
 
Kama ni kweli huyu aliyewasainisha vyama vya upinzani kwelikweli vyenye nia ya kuiondoa CCM madarakani kanuni za maadili ya uchaguzi ni kada wa CCM na hii ndio tume huru ya uchaguzi basi itoshe kusema watanzania tunachezewa mchezo mchafu.


Kama ni kweli huyu aliyewasainisha vyama vya upinzani kwelikweli vyenye nia ya kuiondoa CCM madarakani kanuni za maadili ya uchaguzi ni kada wa CCM na hii ndio tume huru ya uchaguzi basi itoshe kusema watanzania tunachezewa mchezo mchafu.
Ni zaidi ya kada. Ni mzee wa kitengo, kada na mfanyakazi wa serkali. Wewe unamuonaje?
 
CCM ni chama dola kwa misingi iliyo nayo si rahisi kuiondoa madarakani. CCM ni sawa na CPC ya China tofauti ni uchumi wa China na Tanzania. Hii hbr za Chadema kuishitaki nchi kwa wazungu ni kwasababu wanajua Tanzania bd inahitaji msaada kutoka kwa wahisani, vinginevyo hao nyau wasingelialia kwa wazungu. Ht hivyo nchi yetu ni strong haiwezi kuyumbishwa na hao nyumbu. Kuiondoa CCM si leo wala kesho na si na mtu km Lissu hiyo ni ndoto ya kujidanganya.
 
N
Tanzania nchi pekee iliyowahi kufuta uchaguzi wake na watu wakashangilia ukarudiwa na mshindi tarajiwa akapqtikana na maisha yakaendelea
CCM OYEREEEE
Nchi ya kipekee kivipi, Kenya wanarudiaga chaguzi mara ngapi. Kwanza lini Tanzania imerudia uchaguzi? We poyoyo hujui ht umeandika nini
 
Kama ni kweli huyu aliyewasainisha vyama vya upinzani kwelikweli vyenye nia ya kuiondoa CCM madarakani kanuni za maadili ya uchaguzi ni kada wa CCM na hii ndio tume huru ya uchaguzi basi itoshe kusema watanzania tunachezewa mchezo mchafu.

TUME YA MADILI kuongoza KANUNI ZA MADILI.
 
KINACHONISHANGAZA NA KUSIKITISHA KWENYE USO WAKE ANA SIGDA KUBWAAA.. HATARI SASA SIJUI HUKO MSIKITINI HUWA ANAENDA KUSWALI JINSI YA KUUA WAPINZANI NA KUHARIBU UCHAGUZI AU VIPI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…