Una ving'amuzi vipi na vipi? Game za EPL kuna mtu anaonesha hapo mtaani kwenu?
1. Tatizo mmeigana biashara. Kila mtu angefanya biashara kivyake bila kuibiana wateja.
Kama yeye amewekeza kwenye Azam wewe jikite EPL na La Liga za DSTV kua mbunifu.
2. Kua mbunifu zaidi, weka free Wi-fi.
View attachment 3103100
Nunua router ya Airtel Tsh 110,000/= weka wi-fi bure angalau wateja wa miezi ya mwazo.
3. Siku ya kufungua ilibidi ufanye grand opening, mfano unaweka mechi bure weekend nzima.
Sema ndio ushafungua lakini ulitakiwa uanze na offa kubwa sana.
4. Weka PS siku ambazo hakuna mechi chezesha game kwa bei sawa na bure especially game za soccer.