Je, ndio yamenikuta kwenye banda langu la mpira?

Yaani hadi banda umiza watu wanaroga...

Ndio maana kuna muda unajikuta ushafika banda umiza hata hujui umefikaje na umeacha TV maskani...
Naamini ulozi upo ila sijihusishi na ulozi ila kuna cenario imenisikitisha kuna mzee alilipa jero kwetu la mpira wa yanga ila kaenda kuangalia banda la pili. Nimecheka moyoni
 
Kwa free WiFi hapa ni uongo labda hiyo ps ndio nina mpango wa mchakato huo.
 
Kumbuka mwenzio alijipa muda mpk amejipata. Mafanikio siyo kulala na kumka ni mipango. TULIZA KICHWA,USIACHE. ILA PIA USIWAAMINI SANA WANAOKUJAZA MANENO.
"dogo niliemuachia banda kaniambia tumefungua banda kitoto sana hatujazunguka kwa waganguzi."
Sure deal. Ila kwa taarifa za kunyapia nyapia jamaa upande wa pili kwanza alitafuta sana kwa watu ni nani anataka kufungua mpira pale kwenye lile banda. Hizo habar nimeletewa home .Oya ww anauliziwa huko ww kaa tu kizembe zembe nikawaambia huyo kuniroga mimi kama mimi hawezi labda aroge banda lile watu wasije.
 
mwatulole 👍,
alafu pale mjini kati mitaa ya american chips
 
Unatoka nyumbani unaenda kusikiliza matusi na harufu ya ushuzi maana mtu akijamba na mlivyowengi aisee na joto la dar dunia unaiona chungu siji kufanya huo ujinga
usijarib, tuachie sisi
 
Kufupi hapo hakuna biashara ndg yangu, utazidi kujipa hasara tu ndo maana wenzio walifunga

Biashara hii naijua vizuri changamoto yake
 
hatar sana,, 🤣🤣
 
Kwani hujawahi kuona bar mbili ziko karibu moja inajaa nyingine haijai?
Huyo mwenzio ana wateja wake. Sasa na wewe tafuta wateja wako au mnyang'anye wateja kwa kuwa na kitu bora zaidi sio utopolo ule ule.
🙏🙏
 
Yani mtu unafungua BIASHARA leo kesho unataka umkute mtu mwenye miaka mi-tano kwenye game
 
Wenzako wanafanya hivi, mwanzoni wanakuwa wanatoa ofa, kama ilivyo wabongo wanaingia kwa wingi halafu anachota mchanga anaenda kupiga pini, akianza kutoza hela tayari wale waliopigwa pini hawahami zaidi wataongezeka wapya!
 
Ushauri mzuri wengi wamekupatia, mie naongezea kidogo hapa usiwe serious sana mkuu kiasi kwamba unachojua wewe ni kuchezesha mkono wenye ela kuomba kiingilio, wakati mwingine unakuwa ni mtu wa story za soka za hapa na pale. Ikiwezekana ujulikane unashabikia timu gani ili watani wako wawe wanakuja kukuzongazonga kama utafungwa. Unajifanya kutoa offa hata krate la soda siku moja Kwa moja (unapiga mkwara yenu ikishinda Leo natoa soda)
 
nikawaambia huyo kuniroga mimi kama mimi hawezi labda aroge banda lile watu wasije.
Nakufungulia codes unazo-fail. Biashara na ww ni kit ki1...vita ya kiuchumi hii boss wangu. AMKA....
 
Haujawahi kufanya biashara yeyote ile ndio maana umetoa ushauri wa kipuuzi
 
Yani mtu unafungua BIASHARA leo kesho unataka umkute mtu mwenye miaka mi-tano kwenye game
Hiyo ipo sana sema ndio hivyo vitoto vya humu kila kitu munakijua sijui ni nani kakudanganya eti mteja anakuwa wa kudumu....mteja anapenda sehemu mpya
 
Mganga huyu hapa kamaliza Kila kitu bila hata tunguli
 
Bro kwa kifupi bongo hakuna mfanyabiashara ambae harogi..jiongeze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…