The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
Unashindwa kuelewa kuwa kile unachokifanya chochote kiwe kibaya au kizuri kina malipo yake, sasa mwizi malipo yake unayajua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana broo siko kwenye ramli chonganishi [emoji23][emoji23]Bahatisha nawewe wa stendi
Huu ndio ukweli wenyeweHakuna utabiri wowote amewahi kuutoa huyo Lema.
Anachofanya ni KUWAOMBEA MABAYA tu WABAYA wake kwa kujifanya anawatahadhalisha.
Mfano Magu kafa kwa kudharau COVID-19 na siyo kwasababu eti kawadhibiti wapinzani.
Sabaya ni system imemtema nje baada ya aliyekuwa anamlinda kufa. Ila hata sasa anaweza kusamehewa na akarudi kawaida.
Ndugai kapishana tu na Rais na wala hakuna uadui huo mkubwa maana ataendelea kuwa spika mstaafu.
Si uchawi wala utabiri, anatumika.Je anachofanya Godbless Lema ni uchawi au utabiri?
Kwanini hakupelekwa Mahakamani sasa mwenye cheti feki?Vyeti feki apewe mafao ya nini kwanza alitakiwa apelekwe mahakama kwa makosa ya udanganyifu
Kwahiyo aliondoka kwa COVID 19?Hakuna utabiri wowote amewahi kuutoa huyo Lema.
Anachofanya ni KUWAOMBEA MABAYA tu WABAYA wake kwa kujifanya anawatahadhalisha.
Mfano Magu kafa kwa kudharau COVID-19 na siyo kwasababu eti kawadhibiti wapinzani.
Sabaya ni system imemtema nje baada ya aliyekuwa anamlinda kufa. Ila hata sasa anaweza kusamehewa na akarudi kawaida.
Ndugai kapishana tu na Rais na wala hakuna uadui huo mkubwa maana ataendelea kuwa spika mstaafu.
Huo ndio ukweli💯Kwahiyo aliondoka kwa COVID 19?
hata shekhe Yahya alifanya hivyo piaGod bless Lema kumbuka wakati mwingine huwa ananukuu hata vifungu vya biblia hivyo tunakosa kundi la kumuweka
Hayo ya akina Wangwe na Mwangosi unayajuwa wewe. Ila hii ya Magufuli ni HASIRA za MunguZungumza na ya mbowe dhidi ya chacha wangwe? Juzi juzi mbowe kafiwa na kaka yake kisha baba mdogo, je ni karma ya kumuudhi mungu?
Kifo cha sengodo Mvungi, Mwangosi nk enzi za awamu ya nne zilimfurahisha Huyo Mungu anayemsema?
Kifo ni lazima kwa kiumbe hai yoyote, acheni umbea na uoga.
We jamaa wewe umenifurahisha sanaMatendo ya Magufuli yalikuwa ya HOVYO sana na yalikuwa hayamfurahishi Mungu. Kwa mfano anawatoa kazini wenye vyeti FEKI na kuwanyima mafao, huku unambakiza Makonda mwenye cheti feki kama Mkuu wa mkoa.
Unawabomolea nyumba bila kuwalipa watu wa Kimara, halafu nyumba za wasukuma wa Mwanza unasema zisibomolewe.
Watu wanatoa Kodi lakini wana mbunge wa UPINZANI Magufuli anasema hapekeki maendeleo.
Anawanyanga'anya matajiri fedha kwa kisingizio cha ufisadi kisha kuwatupa rumande.
Halafu Jumapili anakwenda Kanisani na kusema "niombeeni". Tukuombee nini shetani mkubwa Magufuli?
Kwa kweli tulimuombea afe. Na ndiyo maana hata Lema akayaona maombi yetu
Warusuni tu watawale nchi, CCM ipumzike japo kwa miaka 5 hayo yote hamtayasikia!Kuna mambo siyo ya kuyaletea mzaha hata kidogo, Wengi yamewakuta na wengine wametwaliwa moja kwa moja kutokana na kile kinachoitwa ndoto anazooteshwa Godbless Lema iwe kwa kutamka hadharani au kutoa meseji kupitia akaunti yake ya twitter
Mwanzoni nilifikiri Godbless Lema anaangalia afya za wahusika yaani physical appearance na kuwatabiria Kifo na majanga, Hii ya kumuangalia mtu jinsi alivyo, anayoongea hata mimi nikiwa na umri wa utoto kabla ya kuanza kujihusisha na dhambi nilikuwa na uwezo wa kujua huyu ana shida na hata Chukua raundi ataondoka moja kwa moja yaani Kwaheri ya kuonana na Nilitamka kwa ndugu na hata wazazi waliona kama ninatisha tisha hivi lakini niliwaambia nimeota ndoto tu kuwa fulani ataondoka soon na yalitokea hivyo
Naongea haya kwa kuwa kuna wakati alimtabiri kiongozi wetu kifo na kusema ameoteshwa, Lema alikamatwa na kufungwa kwa mashtaka ya uchochezi lakini alipotoka jela bado alisema ndoto yake inajirudia rudia kuwa lazima huyo afe kama hajabadilika tabia
Godbless Lema Yeye haogopi anamwambia muhusika moja kwa moja kuwa yatamkuta matatizo mazito na Wengine anawaambia utakufa moja kwa moja, Nikiwaangalia baadhi naona hata afya zao zina mashaka makubwa sana
Uchawi ni sayansi kama sayansi zingine onyefu, Kuna baadhi ya watu wana maruani na viumbe vya kutisha wanatembea navyo huku wao wenyewe hawajijui ambavyo vinawapa nguvu kuona mambo ya hatari na yasiyoweza kuonekana kwa macho haya ya kawaida, Hawa wanapata taarifa ya msiba wako na ugonjwa wako kabla hata wewe huna dalili wala hujui lakini wao hufahamu na wanakuonea huruma
Utabiri upo karne na karne, Hata kwenye maandiko tunaambiwa kuna watu walikuwa na uwezo wa kusoma nyota na maandishi ya ajabu ajabu yasiyokuwa na maana lakini wao walitumia kutoa onyo au kutoa mawazo yao nini kinakwenda kutokea mfano wale Mama Jusi wa mashariki walipoona nyota tu wakahisi kuna kitu tofauti kabisa
Je anachofanya Godbless Lema ni uchawi au utabiri?
Kama ni utabiri kwanini utabiri wake unawakumba wale tu anaowatamkia uovu Wanaofanya na wala atabiri mambo ya Furaha kama mvua kunyesha vizuri na mengine mazuri
Kama ni sayansi ya uchawi kwanini tusimuombee aondokane na hayo maruani ya kutabiri vifo na mambo mabaya
Nimeanza kutishwa baada ya kuona Godbless Lema bado anawang'ang'ania watu fulani na mtu fulani kuwa ataondoka soon, Sasa ndoto hizi zinatufanya wana ccm kuanza kumuogopa maana akikutabiria unaweza ukapata presha kabla ya ndoto kutumia na watu wakatumia ndoto ya Lema kumbe tatizo ni Presha
🤣🤣🤣Kuna mambo siyo ya kuyaletea mzaha hata kidogo, Wengi yamewakuta na wengine wametwaliwa moja kwa moja kutokana na kile kinachoitwa ndoto anazooteshwa Godbless Lema iwe kwa kutamka hadharani au kutoa meseji kupitia akaunti yake ya twitter

🤣🤣🤣